Tetesi: Uongo juu ya JKT

Muda wa kozi kila mtu lazima ale kozi haijalishi kambi gani labda uwe mgonjwa wa kudumu
Ni sawa ila naona ujaelewa nilicho andika ...mfano shuleni unaweza kukuta tukio lenye kufanana la mwanafunzi kumtukana mwalimu kisha kupewa adhabu ya kuchapwa fimbo 4 ila kwenye tukio sawa na ilo mwanafunzi akapewa adhabu ya kupigwa viboko na walimu zaidi ya watatu viboko 4 kila mwalimu ...maana yake mnaweza kuwa kwenye kozi moja ila suluba ni tofauti
 
Anhaaa nimekuelewa mkuu🙏
 
Mwanafunzi wa 4m 6 anayeenda JKT, Labda amekosa cha kufanya huku home, au laah ana ndoto ya kuwa mjeda.

Vinginevyoo ataenda kuteseka huko hatariiii.
 
Mtoa mada ni mbea iwe iwavyo jeshini ni pagumu mno mno mnoo.Japo ni desturi kanuni na taratibu zake.Sijui LENGO lake ni nini?
 
Hata wa Mujibu wenyewe ni mateso km kawaa, unless yeye mtoa mada anapenda ujeda. Lol
Dawa ni kukimbia na kujificha porini asubuh hadi jioni,unaonekana muda wa kula tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…