Uongo kuhusu ATCL ni tone tu kwenye bahari, Tumedanganywa mengi tu!


privatisation waulize rwanda nn kinaendelea, na kama hujamaliza rwwanda fuatilia kenya airways! mind you kenya ways ilikua privatised way before covid ni miaka mingi nyuma results zake umeziona lakini?
 
Muwe mnaona na aibu kidogo basi...
 
An ndege tu watu wanataka na kulia je yakija ya bwawa na reli c Atakufa mtu
 
hakuna biashara inaanzishwa apo apo inamke profit, for an airline bussiness its even worse you have to do trial and error nyingi tafauti but you still need to pay your workers.
Sasa kwanini tuambiwe imeleta faida wakati siyo kweli? Sasa kwanini ununue ndege nyingi hivyo bila business plan ikiwa trial na error ni nyingi?
 
Sasa kwanini tuambiwe imeleta faida wakati siyo kweli? Sasa kwanini ununue ndege nyingi hivyo bila business plan ikiwa trial na error ni nyingi?


Shauri ya Mwendazake hiyo.
 
privatisation waulize rwanda nn kinaendelea, na kama hujamaliza rwwanda fuatilia kenya airways! mind you kenya ways ilikua privatised way before covid ni miaka mingi nyuma results zake umeziona lakini?
Usipoteze muda na mahangaiko ya wengine. Ukishafanya kosa la kuanzisha shirika la ndege bila mpango maalum inabidi utafute njia ya kuliendesha bila hasara. Hao wote uliowataja wanahangaika kivyao kutatua matatizo waliyojiletea. KQ na SAA wako ndani ya tabu miaka mingi tu. Wamekalia ulaji badala ya kuwa makini na kufufua mashirika yao.

Na sisi tumefanya kosa kufikiri kufufua ATC ni kutumia pesa za umma kununua ndege kwa cash bila business plan inayoeleweka. Sasa sharti tutafute solution. Vinginevyo tuendelee kumwaga mabilioni kutengeneza hasara zaidi kwa kisingizio cha kufufua shirika. Sisi katika kutafuta ubia tunatakiwa kuwa makini zaidi badala ya kushabikia mafisadi walioshindwa kwao. Kosa limeshafanyika. Kama una jawabu bora leta.
 
Angepigwa ganzi kama jicho lililopigwa na kibanzi.
 

ni kweli kabisa unachosema! nadhan sasa ni mda mwafaka wa kutafuta suluhisho
 
Sasa kwanini tuambiwe imeleta faida wakati siyo kweli? Sasa kwanini ununue ndege nyingi hivyo bila business plan ikiwa trial na error ni nyingi?

tayar kosa limeshafanyika na hatuwezi jua alikua na plan gan kusema uongo, yameshapita apo mm nnachopingana nacho ni hawa wadada ambao wanataka mradi mzima uuzwe, yaaani kuna watu ni ulezi tu hii nchi
 
Kwani nilini hiyo Atcl ilisha leta faida toka enzi za Nyerere? Magufuri amelikuta shirika limekufa mpaka limeoza, ndio kwanza ananunua ndege,nyinyi nmagagania faida,hivi nyinyi mnajua serikali ikuwa inapata asara gani kulipa mshahara wafanyakazi wasio na vitendea kazi?
 
Pamoko..
 
Kuna watu wanataka kupinga ripoti ya CAG,,
Tanzania yetu
Wewe acha ujinga,umeulizwa hizi ndege zimefanya kazi miaka mingapi?wakati hizi azina miaka mitatu.hiyo miaka mitano mnaesabu hipi?wakati Magufuri hajakuta hata ndege hata moja?
 
Kwenye ukweli uwongo ujitenga.

Soon tutayajua tusiyoyajua.

Mkuu ule uongo tulikuwa tunaujua na tulikuwa tunasema kuwa ule ni uongo, kwa sasa labda tusubiri kujua kwa uhakika uongo ule ulikuwa wa kiasi gani. Na huyu mama asipoweka ule uongo wazi, ataonekana ameshindwa kazi.
 
Kwa lipoti hipi!msilisema Atcl ilikuwa aikaguliwi tangia Magufuri ameingia madarakani?

Kama ilikuwa inakaguliwa tuambie mwaka jana ripoti ilisema ni hasara au faida kiasi gani. Hapo ndio utajua kuwa hujui.
 
Gawiwo linakikokotoo chake halihusiani na faida uliza ueleweshwe. Tatizo lenu you are overdoing hoja itakapojibiwa mtaaibika maana mnakubaliana na conclusive statements badala ya kutoa room of doubt. Haya endeleeni na sherehe.
Acha uongo unatoaje gawio wakati hujatengeneza faida mbona mnaona watu wote wajinga.
Na pia alienda zaidi kwa kutwambia imetengenezwa faida ya bil 28
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…