Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

So mimea Ina roho? Na plasmodium?
Plasmodium ni uelewa wako mimea upande wa bialogy pia ina roho maana inakuwa na uhai ...Kama unavyaombiwa na biology unavyoambia mime hutoa oxygen ambayo wewe hutumia katika kupumua.
 
Sperm Ina roho
 
Kuna ulazima wa kuinvoke god...kwani hizo cells si alikuwa nazo naturally tokea anazaliwa na circumstances zimetokea kawa vile na madoctor wanaelewa...Kuna haja ya kusema god did it
Doctor ni kama wewe tu hajui kesho yake na huyupo accurate kwa 100%...wangemponya celine Dion .!!
 
Plasmodium ni uelewa wako mimea upande wa bialogy pia ina roho maana inakuwa na uhai ...Kama unavyaombiwa na biology unavyoambia mime hutoa oxygen ambayo wewe hutumia katika kupumua.
So majani yakianguka yanaenda wapi
 
Sperm Ina roho
Roho ndio uhai wa kiumbe ,ebu fikiria ile process ya kuanzia sperm (majimaji) mpaka kuwa kijusi mpake kuwa mtoto kamili nan anafanya yote haya..

Kwa nn binadamu awe hivyo kuzaliwa kuna process ? Mbona wengine watoto wanakufa tumboni ? Mbona panazaliwa watoto walemavu?
 
Doctor ni kama wewe tu hajui kesho yake na huyupo accurate kwa 100%...wangemponya celine Dion .!!
Yaani we unalazimisha watu waishi milele which is unnatural and impossible kazi ya science ni kurahisisha maisha zamani life expectancy ilikuwa average 40 years if not 30 magonjwa kibao hayatibiki, vita nyingi, mateso, utumwa, njaa, etc Leo hii hujawahi lala njaa sokoni vyakula vipo, hujawahi skia bomu, hujawahi teswa au kufanywa mtumwa, magonjwa mengi sana yanatibika at early stages ..hii yote imesababishwa na binadamu kutaka kuelewa how the world works na sio tu kusema I'll talk to myself(god) and all problems zitaisha..ndo maana Hadi Leo nchi ambazo Zina more scientific development ni nchi ambazo wananchi wengi hawana Imani potofu
 
Tthis issue is confusing,but all in all there is a creator or a power of origin, but how better to live,we must avoid confusion among us,about heaven may be we should die and confirm de reality
 
😂Nani? Kwa Nini usiseme Nini? Why unaforce awe nani? That's begging the question... nikikuambia Babu Christmas anafanya utabisha? 😂😂Utoto mwingi unao wewe...afu maswali ya watoto Kufa tumboni na kuzaliwa walemavu inabidi wewe umuulize huyo Mungu wako wa upendo na haki sio mimi .😂au huyu wa tumboni anaenda mbinguni direct na sperm zote zilizokufa zinaenda mbinguni?
 
So majani yakianguka yanaenda wapi
Mbona ni mechanism za kusurvive kwa mme katika kuangusha majini angalia asilimia kubwa ya majani ni ya aina gani ni yale loose hayawezi tena kufit yanakuwa yamekauka ..


Unataka majani yaende wapi? Unataka binadamu afanane na mimea wakati ni viumbe tofauti...Viumbe hai vipo vya tofauti ila vinakuwa hai (kwa kuwa na roho ) huo ndio uhai wao hata viishi miaka million ila zinakuja kupotea kwa namna yeyote ile .
 
Asa kwa Nini binadamu na sisi usielezee hivyo kama natural process lazma uforce miungu moto mbinguni etc
 
Ona sasa science ndio imeweka huo utaratibu na wao wametafuta sababu ya huo utaratibu
.

Nan kaweka huo utaratibu 😂😂😂?mtu kuzaliwa mpaka kufa?
 
Asa kwa Nini binadamu na sisi usielezee hivyo kama natural process lazma uforce miungu moto mbinguni etc
Nan kafanya kiumbe awe hivyo ,mbona watu wanatengeneza magari na kuweka mifupo mpaka inatembea.!

Hata kuendesha gari kuna mechanism kutokana na utaratibu wa gari lilivyotengenezwa ,unaweza usijtengeneza gari ila ukajua kwa kusoma jinsi linachanya mpaka litembee.
 
Kisha baraza la maaskofu lililokaribu na mungu linapoteza muda kuandika waraka kwa wezi wa bandari badala ya kumuomba mungu awezeshe maandamano kwa kuwatoa hofu vijana tuweke serikali wajibifu na tuchome ubalozi wa emirates
 
Nk

Nakuonyesha kiuhalisia binadamu yeyote anatambua uwezo wa Mungu hata wanaoishi porini lazimq kuna kitu wanaabudu...Jaribu kusoma documentary ndio utajua.

Usiwe mbishi kwa kitu hujui ,hakuna jamii ambayo haiabudu tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Unaposema binadamu yeyote anatambua uwezo wa Mungu Mbona mimi sitambui hata uwepo wa huyo Mungu!?
 
Unaposema binadamu yeyote anatambua uwezo wa Mungu Mbona mimi sitambui hata uwepo wa huyo Mungu!?
😂😂😂Usingekuwa unabisha wala kujua neno Mungu.!!

Huwezi kubishana kwa jambo ambalo halipo .
 
Kama ni hivyo basi hata uovu,mabaya, dhambi, mateso na ukatili wote hapa duniani Ulipangwa na huyo huyo Mungu.

Mungu huyo pia atakuwa mkatili sana, Kwa kupanga Dunia yenye kila aina ya uovu na mateso.
 
😂😂😂Usingekuwa unabisha wala kujua neno Mungu.!!

Huwezi kubishana kwa jambo ambalo halipo .
Hata Uongo upo pia.

Kitu kuwepo si lazima kiwe ni ukweli kipo, Hata kwa uongo kinaweza kuwepo.

Mungu kuwepo ni Uongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…