Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Nimekueleza hapo juu kama ni duara mraba itakuwa na jina jingine.....Maan ni vitu viwili tofauti na mfano haurelate .

Mungu yupo ukiwa tu na akili automatically unajua uwepo ...Hili halina ubishi .!
 
Kisha baraza la maaskofu lililokaribu na mungu linapoteza muda kuandika waraka kwa wezi wa bandari badala ya kumuomba mungu awezeshe maandamano kwa kuwatoa hofu vijana tuweke serikali wajibifu na tuchome ubalozi wa emirates
Why tuchome balozi asa
 
Wangapi waliamini wakaja kupinga uwepo wa Mungu?
 
Hakuna kipo kinachosemwa hakipo ,binadamu hawezi kufikria zaidi nje ya mazigira ila anaweza kuendeleza mazingira yake.

Unaposikiw hata Alliens basi wapo ila wanaopinga wapo pia..


Ndio maana huwezi kuota mtu usiyemjua ..
Hapo kwenye kuota umechemka...😂labda wewe
 
Kwanza hakuna source of the universe, universe ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.

Ukianza kuhoji source of the universe kwamba lazima iwepo na kila kitu kilichopo lazima kiwe na source, Hata hiyo source ya "Source the universe" lazima iwe na source yake.

Hapa sasa kutakuwa na endless sources (Vyanzo visivyo na mwisho) ili kanuni hiyo ya kila kitu lazima kiwe na source iweze ku make sense.

Kuuliza source ya Universe ni ipi,
Ni sawa na kuuliza,
What is the North of the north pole?

Einstein relativity inasema kwamba "The rate at which time passes Depends on your frame of reference"

Kuuliza source ya Universe ni ipi Unauliza kutoka kwa frame ya reference ipi?
 
Hapo kwenye kuota umechemka...😂labda wewe
Huwezi kuota kitu ambachi hukijui labda utaeleza vip😂😂😂...Ndoto inafanyikq ndani ya reference ya ubongo wako vitu ulivyoona na kufikiria hamna kipya hata uwaulize wanasayansi wako.
 
Wangapi waliamini wakaja kupinga uwepo wa Mungu?
Tuangalia idadi kwa uwiano ....Hata wanasayansi wengi wanaamini hawana shaka walijaribu kuumiza kichwa sana...Hizo assumptions kasome kwa philisopher ambao walikuwa na maono yao na wanafunzi wao walifuata ....
 
Nimekueleza hapo juu kama ni duara mraba itakuwa na jina jingine.....Maan ni vitu viwili tofauti na mfano haurelate .

Mungu yupo ukiwa tu na akili automatically unajua uwepo ...Hili halina ubishi .!
Nikilipachika jina Duara hilo la mraba na kusema lipo, pasipo kuthibitisha uwepo wake, uta amini lipo?

Duara hili la mraba halipo katika uhalisia bali katika dhana ya kufikirika.

Vivyo hivyo 👇

Mungu hayupo katika uhalisia ni dhana ya kufikirika tu, imaginations just an illusion.

Ili Mungu huyo awepo, lazima athibitishike yupo kama ambavyo unataka mimi nithibitishe uwepo wa duara la mraba.
 
Mfaho wako haurelate kabisa yaani upo nje ya mada kabisa😂😂😂kwamba duara mraba ...yaani hamna logic kabisa .

Hapa tunaongelea Mungu anayepanga mambo mengi na muweza ...Huo mfano haupo kabisa maana umechanganya duara halafu mraba hapa naongelea Mungu tu pekee sio vitu viwili.
 
Mungu ni nini?
 
Una hoja usikilizwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…