Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kama umeweza kujua Mungu yupo, unashindwaje kujua umbo lake?Unataka awe na umbo?
Kuteseka huko kwa Stephen Hawking kunathibitisha kuwa Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.😂😂😂Wewe unamjua na aliyetengeneza aliambiwa je ina usalama kiasi gani je alijibu vip?
Yule zombie wenu stephen hawking na uongo wake mbona kateseka kama zombie na alikuwa mzima mpaka akafa😂😂😂.
Yaani tatizo lake la kuparalyse kalishindwa mpaka kawa kama zombie ,wew unamuamini kwa kusema hamna Mungu.
Huamini vitabu na usiamini tulia tuende taratibu tunaongelea uwepo wa Mungu ,usikurupuke ...Hata vile vitabu vya binadamu ni nyani ni upatu na utapeli wa kifikra.Kwahyo umekubali vitabu hivyo vya Mungu ni mauongo tu yaliandikwa na watu kupiga upatu!?
Nilishakuambia hata milango ya fahamu ina udhaifu ndio maana haiwezi kutumia kila kitu..Kama umeweza kujua Mungu yupo, unashindwaje kujua umbo lake?
Niambie Mungu huyo yupo kwa namna gani?
Vinginevyo ni mawazo yako ya kufikirika tu, imaginations just an illusion.
Najua ila angalia origin ya swali langu ndo utajua kwa nini niliuliza na niliyemuuliza hajijibu mpaka sasaUpo kwenye open forum kwahyo utajibiwa na yeyote panapobidi, hili nalo hulitambui?
😂😂😂😂😂😂😂Kuteseka huko kwa Stephen Hawking kunathibitisha kuwa Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.
Kulishindwa tatzo lake ni inaonesha level ya sayansi yetu ilipo tu,
Lakini mbona hujaapreciate namna alivyoweza kuwasiliana.?
Imagine umeokota TV afu watu wanakuja na manual tofauti wote wanasema ni manual ya TV hio uliyookota..kila mmoja na sheria zake za kutumia hio tv na wote wanasema manual zinatoka kwa aliyetengeneza TV. We utamwamini nani..so far umenionyesha utaamini ambae baba Ako anamwamini kuwa ndo ana manual ya kweli ya tv uliyoiokota
Kama milango yetu ya fahamu ina udhaifu, ulitumia kitu gani kusema na kutambua huyo Mungu yupo?Nilishakuambia hata milango ya fahamu ina udhaifu ndio maana haiwezi kutumia kila kitu..
Wanavyoeleza kuhusu oxygen utaambiwa ni colourless ,odourless na wala huwezi huwezi kuiona ila ni matter maana unachukua nafasi ...Ila unahisi unapovuta the same kwa Mungu uwepo wake upo kuhisia na sio kuona wala kugusa maana milango yako ya fahamu ina udhaifu mkubwa...
Ni kweli msingi wA Imani ni kuwa na uhakika na kitu ambacho hujawahi kukiona, kukikuta/kutana nacho.Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.
Kitu kikiwepo hakuna haja ya imani kujua kwamba kitu hicho kipo.
Kitu kinaweza kuwepo angalau kwa namna mojawapo ya kuonekana, kusikika, au kushikika.
Mungu hayupo kwa namna yoyote ile Haonekani, Hasikiki, Hashikiki ,Haisiki Zaidi Mungu huyo ni mawazo ya kufikirika tu, imaginations just an illusion.
Mungu hayupo katika uhalisia bali katika dhana ya kufikirika. Illusion.
Kwanza hapa sikusema kwamba Imani ni kuwa na uhakika, Nilisema kwamba msingi wa imani ni KUTOKUWA NA UHAKIKA.Ni kweli msingi wA Imani ni kuwa na uhakika na kitu ambacho hujawahi kukiona, kukikuta/kutana nacho.
Hapa pia, Akili Haipo katika uhalisia. neno Akili ni dhana ya kufikirika kuonesha hali fulani ya mwanadamu, Hivyo Huwezi kuthibitisha kwamba una Akili. Sawa na maneno kama tamaa, wivu, hasira,chuki,hofu, wasiwasi yote haya ni maneno ya kufikirika tu.Iko hivi ndugu, Mwenyezi Mungu tunaamini yupo kwa kuangalia DALILI Unaona kabisa hizi Ni Ishara (Kwa Wenye Akili lakini)
Kwa nini unadhani kuna superpower ina endesha mambo haya Duniani?za Kwamba Kuna Superpower Inaendesha Mambo haya duniani.
Hapa kwanza ni nje kabisa ya hizi dini bali ni kwanza kwa kutumia Akili tu Unajua Maana hizi dini ni Just ways za kumfikia Mwenyezi Mungu. Sasa hebu angalia Ishara zifuatAzo ndugu.
Vyote hivi vipo na si lazima awepo awepo aliye viweka.. Uwepo wa Ulimwengu na vilivyomo Uwepo wa Uhai na Kifo
Haya yote yanawezekana kwa jinsi nature ilivyo, Lakini si LAZIMA kwamba kuna aliye yafanya haya.3️⃣. Uwepo wa Nishati hii ya Jua(Nishati ya Ajabu kuwahi Ishuhudia)
4️⃣. Uwepo wa Majanga Mbali Mbali yanayokuikumba hii dunia (kwa mwenye Akili atajua tu ni Result ya Uwepo wake na sio tu result ya Natural Mechanisms pekee kama wanasayansi wanavyodai)
5️⃣. Uwepo wa Kiumbe Mwanadamu ambaye hata wanasayansi wamejaribu kuiga kutoa kopy yake Maabara lakini wameshindwa.
6️⃣. Disparities Mbali mbali zilizoko miongoni mwa Binadamu hao eg. Races, morphological structures na Ethnicity Backgrounds.
7️⃣. Uwepo wa Viumbe wengine nje na Binadamu (Hii ntakuelezea baadae kwa Mujibu wa Islamic Religion Highlights)
8️⃣. Usiku na Mchana (Hapa utaniambia ni result ya sijui rotation of Earth 😀) In real Sense nop isn't true according to the Holly books
9️⃣. Uwepo wa Misimu ya Mwaka/Majira (Hapa pia utasema revolution na bla blah kibao but si kweli). It was purposefully brought so as to make the critical thinkers understand the power of the Almighty Allah. S. W
🔟. Hivi through your Logic can you tell me how comes you Plant a single corn seed and as a result it bears a hundred + corns? How do you see that possible???
Acha nipose kidogo hapa ila ni Vingi sana. Hizi zote ni Dalili za Uwepo wa Mwenyezi Mungu ndugu yangu.
Nyuzi za hivi zinazidi kuongezeka humu jamiiforums, Kiranga kila siku unabadili I'd unaandika tu mambo ya hovyo kuhusu Muumba, inakusaidia nini sasa, wewe Kiranga kama huamini uwepo wa Mungu si upige kmy tuu utapata majibu yako ukifa na wala sio mbali sana.Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu
Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea
Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata
Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje
Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake
Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair
Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu
Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously [emoji15]?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani[emoji15]
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk
Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi
Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa
This is the biggest scam ever
Oxygen imetambulika kwamba ni Colourless na Odourless, Baada ya Kufahamika ,Kujulikana na Kuthibitishika ipo.Nilishakuambia hata milango ya fahamu ina udhaifu ndio maana haiwezi kutumia kila kitu..
Wanavyoeleza kuhusu oxygen utaambiwa ni colourless ,odourless na wala huwezi huwezi kuiona ila ni matter maana unachukua nafasi ...Ila unahisi unapovuta the same kwa Mungu uwepo wake upo kuhisia na sio kuona wala kugusa maana milango yako ya fahamu ina udhaifu mkubwa...
Kwani wanao andika mambo mengine ya kumhusu Mungu huyo wao ina wasaidia nini?
Hakina faida.Fanya nlichokwambia
Thibitisha madai yako.
Ndugu tunapobishania haya na wewe hebu leta Facts zako (NB: Zisiegemee kwenye Imani) ya Kwamba hivi vitu (Dunia, Jua, Binadamu nk) vinatoka wapi? Usiishie tu kusema ni Nature!!Kwanza hapa sikusema kwamba Imani ni kuwa na uhakika, Nilisema kwamba msingi wa imani ni KUTOKUWA NA UHAKIKA.
Kitu kikiwepo na kika thibitishika kipo hakuna haja ya imani ya kujua kwamba kitu hicho kipo.
Hapa pia, Akili Haipo katika uhalisia. neno Akili ni dhana ya kufikirika kuonesha hali fulani ya mwanadamu, Hivyo Huwezi kuthibitisha kwamba una Akili. Sawa na maneno kama tamaa, wivu, hasira,chuki,hofu, wasiwasi yote haya ni maneno ya kufikirika tu.
Kwa nini unadhani kuna superpower ina endesha mambo haya Duniani?
Je unadhani Dunia imeshindwa kujiendesha yenyewe mpaka iwe na huyo Superpower?
Kama kila kitu LAZIMA kiwe na superpower inayo kiendesha, Hata hiyo superpower Haiwezi kutokea tu from no where, kisha ika anza kuji endesha na Kuendesha vitu vingine. Lazima na yenyewe iwe na superpower wake na kwa maana hiyo kutakuwa na Endless superpowers, Wasio na mwisho. ili kwamba order nzima ya kusema
"kila kitu lazima kiendeshwe na Super Power fulani" iweze ku make sense kwa kufuata muundo wa ULAZIMA huo.
Vyote hivi vipo na si lazima awepo awepo aliye viweka.
Ila kama lazima awepo aliye viweka, na kila kitu lazima kiwe na aliye kiweka, Hata huyo Mwekaji wa vitu hivi lazima awe amewekwa, ili kanuni hii ifuate muundo wa ULAZIMA huo.
Haya yote yanawezekana kwa jinsi nature ilivyo, Lakini si LAZIMA kwamba kuna aliye yafanya haya.
Spiderman man yupo wapi?😂😂😂Usingekuwa unabisha wala kujua neno Mungu.!!
Huwezi kubishana kwa jambo ambalo halipo .
Hapo ni kwamba unataka kulazimisha tu ili upalilie hoja yako, ilihali imeota nyasi,Walikuwa wanaabudu na angalia jamii zote ,ukitaka kujua hili hata wazungu wanapotray jamii za msituni kweny movies zao au jamii ya zamani ,wanaonyesha mila zao za kuabdu kama ni miti ,masanamu.