Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

😂Unaongea tafkiri we jirani yangu vile...endelea kujikosha
Ndio maana nakuambia tutumie akili tu wewe uko limited huwezi kufirikia zaidi ya kufuata mawazo ya wanasayansi ambao hata kesho yao hawaijui😂😂.
 
Mkuu unaijua biblia yako kweli??
Biblia imeonyesha mara nyingi sana Mungu akiwa katili ntakukumbusha Sehemu chache...
  • Sodoma na Gomora
  • Wakati wa nuhu
  • WAKATI wa Musa na Herodi ( Kuacha watoto wote wauwawe na kupreserve only Musa na Yesu)
  • Na nyakati zingine zozote...
Pia naomba nikukumbushe hata yesu mwenyewe alikiri kuleta ubaya duniani...

Mathayo 10:34-35
"Msidhani ya kuwa nimekuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga.
Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwe mtu;"

tukiachana na hapo Mungu mwenyew kajinasini kuleta huo uovu..

Soma Isaya 45:7
"Mimi niliumba nuru, na kuliumba giza; mimi nafanya suluhu, na kutengeneza ubaya; Mimi ni Bwana, niyatendaye hayo yote."

MAOMBOLEZO 3:37-38
"Ni nani asemaye neno nalo likafanyika, Ikiwa Bwana hakuliagiza? J
e! Katika kinywa chake Aliye juu Hayatoki maovu na mema?"

hivyo ni vichache tu ila viko Vingi sana vinaonyesha ulichokataa
 
Sijaongelea bible wala dini pia soma jina langu sijawahi kuwa mkristo ....Tufikirie kwa akili.

Tuweke dini pembeni na wewe uweke elimu yako ya kukariri pembeni maana wameandika binadamu kama wewe ,tutumie akili za binadamu ili tuende sawa.
 
Sijaongelea bible wala dini pia soma jina langu sijawahi kuwa mkristo ....Tufikirie kwa akili.

Tuweke dini pembeni na wewe uweke elimu yako ya kukariri pembeni maana wameandika binadamu kama wewe ,tutumie akili za binadamu ili tuende sawa.
Ok nimeweka pembeni vyote nakusikiliza lakini nikiweka vyote pembeni unakumbuka hata kuongea Ni matokeo ya mazingira na mafunzo uliyopata ukiwa mtoto...
Tabia ulonayo ni matokeo ya mazingira ilokulia ...
Sasa niliweka vyote nitajitambulisha mimi ni nani wakato hata lugha sikuja nayo nilifundishwa...
Sometimes you have to be stupid to learn not to be stupid
 
Kama uliona sehemu niliquote hata mstari wa kitabu ,nataka utumie akili sio elimu ambayo hata kinjiti ya kibiriti huwezi kuunda.

Nimekumbia hata jamii zote zinatambua uwepo wa Mungu ndio maana kuna wanaabudu mzimu hata hapa Tanzania ni maprofessor ila wanafanya kafara kweny mizimu yao ,wanaheshimu mila na tamaduni zao katika kuamini na kutukuza mizimu yao na maisha yanaenda..

Huo ni mfano kuna kitu nje ya uwezo wa binadamu kinaratibu mambo ya dunia ndio maana nikakupa ishu ya mizimu pia wapo wanaoabdu miti ...Hapa nimekuwa hisia za binadamu juu ya uwepo wa Mungu sio dini wala sijaandikq maandiko nimetumia akili ya kuzaliwa...

Binadamu kama binadamu kiumbe chenye akili kinajipenda na kuweka ubinafsi ,jaalia leo binadamu anapanga yeye maisha yake (kuwa tajiri au laah) au anapanga muda wq kuishi ,anapanga kuzaliwa jamii fulani au hata jinsiq gani aww akiwa hapa duniani..

Katika mambo yote duniani yanayotokea licha ya tofauti zetu kiuchumi, akili ,elimu ,asili hata utaifa na vingine ....Kuna mambo yanatufanya tuwe sawa kwa tabia za binadamu sasa sana ni kuhsu hatma ya maisha yetu ndio maana sote tuna furaha na huzuni pia hakuna anayejua kesho yake katika viumbe wote hakuna mweny uwezo huo isipokuwa Mungu pekee.
 
Hapa kidogo nimeona Umeandika Point yenye maana sana...
Na yenye nguvu sana na ndo Maana ukisoma Mystery za Wamisri waliwaita Mungu watawala wao
 
😂😂😂okay naona Iran Ina ustawi kuliko Sweden sawa...

Countries with Highest Rape Rates​

1. Botswana – 96.87
2. Lesotho – 89.29
3. Grenada – 88.87
4. Sweden – 87.97
5. Eswatini – 82.73
6. South Africa – 70.22
7. Saint Kitts and Nevis – 56.4
8. Panama – 53.98
9. Iceland – 46.3
10. Suriname – 43.3

 
Hakuna ujasiri wowote mkuu

Dhana nzima ya Mungu does not make sense at all
Hao make sense kivipi ?

Fafanua tuone, maana sisi wengine wengine tunaona hilo haliwezekani.
 
Sasa Mungu hayupo kwa namna yeyote ile, Haonekani, Hashikiki wala Hasikii.
Swali la msingi, umejuaje kama hayupo ?

Shida yenu wakana Mungu huwa mnaona jukumu la uthibitisho lipo kwa wale wanao kiri, wakati kiuhalisia nyinyi ndio mnatakiwa muanze kuthibitisha ya kuwa umejuaje kama Mungu hayupo ?

Na utuambie kitu ambacho hakipo kina sifa gani ? Na je kitu ambacho hakipo na hakijawahi kuwepo umekidiriki vipi kama hakipo ?

Msikimbie hili swali la msingi.
 
Wewe unamuamini Mungu kwasababu umelelewa na kukuzwa kuamini hivyo

Ila Mungu hayupo
Ila akili iliyo salama inakiri uwepo wa Mungu. Ukiona unakana uwepo wa Mungu ujue akili yako ina shida au unafikiria mambo kitoto sana au juu juu sana.

Mimi nataka utuambie umejuaje kama Mungu hayupo ?
 
Onyesha wapi dhana ya uwepo wa Mungu ina mashaa, kisha nikuulizie maswali kadhaa ujibu.
 
Nimeipenda hii, watu tunaangamizwa na wachungaji wengi ndio wavunja ndoa za watu, hasa wanawake wamekuwa kama mazombie hawaelewi cha mume wala nini wao wanamsikiliza Nabii Tu, ukija Kwa masheikh nako balaa, watu wanfundishwa karate na majambia Tu, eti wampiganie Allah, hivi Mungu gani hawezi kujilinda mwenyewe???
 
Dini ni usanii tu wa Muddy na Issa wake, hakuna lolote
 
Swali la msingi, umejuaje kama hayupo ?
Hayupo kwa sababu haonekani, Hashikiki, Hasikiki wala Haisiki.

Hayupo kwa namna yeyote ile, zaidi ya mawazo ya kufikirika tu.

Mungu huyo Hayupo katika uhalisia bali ni dhana ya kufikirika tu, imaginations just an illusion.
Shida yenu wakana Mungu huwa mnaona jukumu la uthibitisho lipo kwa wale wanao kiri, wakati kiuhalisia nyinyi ndio mnatakiwa muanze kuthibitisha ya kuwa umejuaje kama Mungu hayupo ?
Kitu kinaweza kuwepo angalau kwa namna mojawapo ya kuonekana, kusikika, kushikika au kuhisika.

Sasa, Mungu huyo Hayupo kwa namna yoyote ile.
Na utuambie kitu ambacho hakipo kina sifa gani ? Na je kitu ambacho hakipo na hakijawahi kuwepo umekidiriki vipi kama hakipo ?
Kitu ambacho hakipo, Kina sifa ya kutokuwepo katika uhalisia wa kuonekana, kushikika, kusikika au kuhisika.

Sifa yake ni mawazo ya kufikirika tu imaginations.

Hivyo hakipo kwa namna yoyote ile.

Msikimbie hili swali la msingi.
Sasa kama unajua Mungu yupo,

Niambie Mungu huyo yupo katika namna gani?

Kama unajua Mungu yupo Niambie ana umbo gani?

Kama umeweza kujua Mungu yupo elezea, umewezaje kujua yupo elezea yupo kwa namna gani, Na si mawazo yako ya kufikirika tu.
 
Hivi,huwa unasoma biblia Kama wewe ni mkristo?Umewahi kupata miongozo ya namna ya kuisoma?Huwa unauliza unapotatizika au huwa unakimbilia kulalama tu?Unaamini katika lipi hadi sasa?
Acha kuamini mavitabu yanayokinzana yenyewe Kwa yenyewe, Aya Kwa aya,mavitabu yenyewe yameletwa kwenye majahazi na walewale waliowatesa babu na Bibi Zetu, waliwalawiti, waliwauza kama maboga, eti hao hao ndio wageuke Leo watuletee kitu Cheney faida kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…