Wapi nimeandika kila kitu lazima kiwe na chanzo ?🤣🤣🤣sababu ni moja .. according to u kila kitu lazma kiwe na mwanzo...so ukisema Allah Hana mwanzo tayari umejicontradict...umefanya special pleading
Uislam umeanza lini....tuanzie hapo..Akili ya kawaida inakubali ya kuwa kama Mungu ni mmoja basi dini ya Mungu lazima itakuwa Moja, mitume wote na manabii walikuwa Waislamu.
Sababu nyinyi sio wasomaji mnasikia sikia tu, ukisoma Historia ya hizo dini nyingine utaona uongo wake wa wazi.
Mbinguni huendi kwa kubahatisha, bali kwa elimu na kuitendea kazi elimu husika.
Nataka ukosoe hayo kwa elimu na hoja.
Jua linatembea au halitembei ?
Suala la kuzama matopeni hili limeshaelezwa zaidi ya mara moja humu ndani.
Naam jua linaomba ruhusu, sababu ni kiumbe.
Hivyo vitu huvijui wewe, na hakuna zaidi ya Allah.
Nitakuuliza hivyo vitu vinaweza kuwa na sifa gani ?
Jifunze kunukuu, sijasema Jua linazunguka. Nimekuuliza Jua linatembea au halitembei ? Unakuja kusema nimeandika linazunguka ?🤣🤣🤣🤣🤣Jua halizunguki dunia msianze kujikosha cjui milky way...nitafutie sehemu yoyote Quran nzima iliyotaja milky way...waislamu mnapenda kujikosha na kuforce vitu ambavyo havipo in ur books...🤣so usiku badala ya jua kua Brazil huko kumbe linaenda kumpigia magoti Allah lichomoze uarabuni Tena mtume alione...🤣 geography yenu nimeipenda
Za uovu, ubaya, na ukatili wote.Ana sifa zote
Adamu alikuwa Muislamu, Nuhu, Idriss, Hud, na wengine wote.Uislam umeanza lini....tuanzie hapo..
Ndio tujue nabii muislam alitokea lini
Yaani ukisoma sifa utajua zote ila zaidi ni kwamba anasamehe .Za uovu, ubaya, na ukatili wote.
Hapa logic imekamilika sasa.
Nakuuliza hivi nipe sababu tatu ambazo zinalazimisha ya kuwa Muumba wa Mbingu na ardhi na vilivyomo lazima awe na chanzo au lazima awe ameumba ?Moja ya ushahidi wenu wa uwepo wa Mungu ni kwamba hii dunia na vyote vilivyopo LAZIMA kuna aliye viumba
Na ni MUNGU
Mkiulizwa na Mungu ameumbwa na nani kama kanuni inasema kila kitu lazima kimeumbwa na muumbaji?
Mnaanza ngonjera za kumuwekea Mungu u special kwamba alikuwepo tu
kanuni yenu inatoa hitimisho moja tu
Mungu ameumba dunia baada ya yeye kuwa aliumbwa, na aliye muumba na yeye aliumbwa....... infinity
Naam, Sasa wewe onyeshe ya kuwa ni uongo.Kwamba jua ni kiumbe kinatembea na kila siku linaomba rukhusa kwa Allah lichomoze?........ mkuu are you serious?
Kwamba vimondo tunavyo viona huwa vinampiga shetani?
Wakati mwingine kuamini na kutetea hizi imani inabidi ujitie uchizi kidogo kwa matumaini ya kuja kula bata milele huko peponi
Jana niliku uliza swali lakini bado hujajibu,Jifunze kunukuu, sijasema Jua linazunguka. Nimekuuliza Jua linatembea au halitembei ? Unakuja kusema nimeandika linazunguka ?
Sasa Qur'aan itaje Milk Way ili iweje ? Yaani ifate mawazo ya Wajinga ?
Qur'an siyo kitabu Cha Sayansi kijana, kile ni kitabu Cha muongozo kinasema ya kweli na haki.
Sasa thibitisha ya kuwa Jua halitembei, Jua halisujudu Jua halifanyi hayo yote ?
Pia ni muovu na mkatili sana.Yaani ukisoma sifa utajua zote ila zaidi ni kwamba anasamehe .
Mbona nimeandika kila kitu kwenye bandiko langu uliloliquote!!?N
Na wewe kabla ya yote leta Unachokijua kuhusu 'JUA' limetoka wapi na siyo Mungu aliyelileta?
Mungu anasamehe hata wanaomini mizimu wanadai inakasirika na kuleta maafa...Ila ukiomba msahama unasamehewa.Pia ni muovu na mkatili sana.
Sifa zote ni zake.
Acha kumtetea kwenye upande mmoja wa mazuri tu, na kujifanya kwamba huoni upande wa pili.
Naam, Sasa wewe onyeshe ya kuwa ni uongo.
Usilete stori za kijiweni.
Naam vinampiga Shetani.
Sasa unachotakiwa wewe ufanye hapa, ni kuwa uonyeshe ya kuwa haya ni uongo mtupu.
Nimekaa hapa nasubiri hilo.
Kanuni ipo hivi, [emoji116]N
Na wewe kabla ya yote leta Unachokijua kuhusu 'JUA' limetoka wapi na siyo Mungu aliyelileta?
Acha kuzunguka zunguka kwenye maelezo yako uliyo yatoa mwenyewe kwamba,Mungu anasamehe hata wanaomini mizimu wanadai inakasirika na kuleta maafa...Ila ukiomba msahama unasamehewa.
Sasa mbona unaeleza sifa mbaya tu ...Wewe leo mzima huoni kakupa afya ,hauna ulemavu kwa nn usishukuru.Acha kuzunguka zunguka kwenye maelezo yako uliyo yatoa mwenyewe kwamba,
Mungu ana sifa zote.
Kama ana sifa zote, Pia Mungu huyo ni mkatili na muovu sana.
Maana yeye ana sifa zote.
Acha kuzunguka zunguka na kukwepesha maneno yako mwenyewe ya kwamba Mungu ana sifa zote.
Huo ni mfano dhahania ili ujaribu kupima dhana hii ya Mungu mwenye upendo wote.Swali lako la uongo. Kwa mujibu wa Imani yangu Mola pekee ndio anaadhibu kwa kuchoma na hayo kwa kuchoma. Kingine Mola wangu Hana mtoto Wala watoto, kama unamkusudia Mola.
Kama unamaanisha mwanadamu, kwa Imani yangu mwanadamu haruhusiwi kuwa kwa kuchoma moto. Kwahiyo kwangu Mimi siwezi kuua mwanangu au kuadhibu kwa kuchoma moto, sababu ni haramu jambo hili.
Dahhh! Umeongea mambo mazito sana yanayotokana na ujinga wa akili yakoKwanini Mungu huyo kwa uwezo wote alionao anatuma watu kuhubiri na sio malaika?
Nlitegemea huko makanisani na miskitini wangekuwa wanahubiri malaika.
Sisi ni binadamu na hatutegemei uwepo wa mungu ili tuwepo.
Lakini Mungu hawezi kuwepo bila binadamu. Mungu huyo anategemea uwepo wa watu kwamaana tumemuumba sisi aishi kama wazo, ili atusaidie kujibu maswali magumu yaliyotukabili hapo awali.
kwasasa mambo mengi tumeweza kuyaelewa na kuyaelezea bila haja ya kuweka dhana ya Miungu.
Wewe uliyeshikilia mambo ya miungu, ni kwamba umeshikwa kwenye uzamani tu na hutaki kubadilika.
Yaani kama ni nguo umevalia fashion ya mwaka 1653.
Kwa miaka yote hyo kwanini Mungu huyo kajificha!?
Kwanini tunahitaji vitabu hivyo ulivyovitaja ama wahubiri na manabii kumhubiri na asijihubiri mwenyewe!?
Ukweli kwamba Mungu hawezi kufanya jambo hili yeye mwenyewe ni ushahidi mzuri ambao unakuonesha Mungu huyo hayupo.
Mimi sina upendo wote kwahyo hata nkimuadhibu mimi sijajipinga.Mambo hayako hivi kijana, ndio hapa utaona madhaifu ya hizo logic. Lazima ijalishe sababu uzito wa makosa unatofautiana na namna ya ufanyaji wa makosa kadhalika.
Yaani ana upendo ulio kamili.
Nani amekwambia hivyo ya kuwa haimfanyi kumuadhibu ? Upendo kwako wewe ni kukalia kimya mambo na kuacha yaende hata kama ni mabaya ? Huu sio upendo huu ni ubwege. Shida yenu hamtumii akili na kuangalia uhalisia. Wewe mwenyewe Leo hii kama una mtoto, akifanya makosa ukamuonya akaendelea sana kufanya vile vile lazima utamuadhibu, na hii haimaanishi kwamba humpendi bali una mtengeneza, Sasa kwa Mola wetu ndio ana upendo ulio kamili Sasa anakuonya, anakupa muongozo, ana samehe na ni mkali wa kuadhibu.