Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

🤣🤣🤣sababu ni moja .. according to u kila kitu lazma kiwe na mwanzo...so ukisema Allah Hana mwanzo tayari umejicontradict...umefanya special pleading
Wapi nimeandika kila kitu lazima kiwe na chanzo ?

Ndio maana nikakwambia unipe sababu ambazo yule muumba wa ulimwengu na vilivyomo vipi awe chanzo wakati yeye ni chanzo ?

Onyesha nime jicontradict wapi ?
 
Akili ya kawaida inakubali ya kuwa kama Mungu ni mmoja basi dini ya Mungu lazima itakuwa Moja, mitume wote na manabii walikuwa Waislamu.

Sababu nyinyi sio wasomaji mnasikia sikia tu, ukisoma Historia ya hizo dini nyingine utaona uongo wake wa wazi.

Mbinguni huendi kwa kubahatisha, bali kwa elimu na kuitendea kazi elimu husika.
Uislam umeanza lini....tuanzie hapo..
Ndio tujue nabii muislam alitokea lini
 
Nataka ukosoe hayo kwa elimu na hoja.

Jua linatembea au halitembei ?

Suala la kuzama matopeni hili limeshaelezwa zaidi ya mara moja humu ndani.

Naam jua linaomba ruhusu, sababu ni kiumbe.

Hivyo vitu huvijui wewe, na hakuna zaidi ya Allah.

Nitakuuliza hivyo vitu vinaweza kuwa na sifa gani ?

Kwamba jua ni kiumbe kinatembea na kila siku linaomba rukhusa kwa Allah lichomoze?........ mkuu are you serious?

Kwamba vimondo tunavyo viona huwa vinampiga shetani?

Wakati mwingine kuamini na kutetea hizi imani inabidi ujitie uchizi kidogo kwa matumaini ya kuja kula bata milele huko peponi
 
🤣🤣🤣🤣🤣Jua halizunguki dunia msianze kujikosha cjui milky way...nitafutie sehemu yoyote Quran nzima iliyotaja milky way...waislamu mnapenda kujikosha na kuforce vitu ambavyo havipo in ur books...🤣so usiku badala ya jua kua Brazil huko kumbe linaenda kumpigia magoti Allah lichomoze uarabuni Tena mtume alione...🤣 geography yenu nimeipenda
Jifunze kunukuu, sijasema Jua linazunguka. Nimekuuliza Jua linatembea au halitembei ? Unakuja kusema nimeandika linazunguka ?

Sasa Qur'aan itaje Milk Way ili iweje ? Yaani ifate mawazo ya Wajinga ?

Qur'an siyo kitabu Cha Sayansi kijana, kile ni kitabu Cha muongozo kinasema ya kweli na haki.

Sasa thibitisha ya kuwa Jua halitembei, Jua halisujudu Jua halifanyi hayo yote ?
 
Moja ya ushahidi wenu wa uwepo wa Mungu ni kwamba hii dunia na vyote vilivyopo LAZIMA kuna aliye viumba
Na ni MUNGU

Mkiulizwa na Mungu ameumbwa na nani kama kanuni inasema kila kitu lazima kimeumbwa na muumbaji?

Mnaanza ngonjera za kumuwekea Mungu u special kwamba alikuwepo tu

kanuni yenu inatoa hitimisho moja tu

Mungu ameumba dunia baada ya yeye kuwa aliumbwa, na aliye muumba na yeye aliumbwa....... infinity
Nakuuliza hivi nipe sababu tatu ambazo zinalazimisha ya kuwa Muumba wa Mbingu na ardhi na vilivyomo lazima awe na chanzo au lazima awe ameumba ?

Kanuni inasema hivi "Kila kitu kina chanzo isipokuwa Allah". Sababu Allah ndio chanzo chenyewe.

Unakubali kuna "Infinity Series" ? Kama inakubali ya kuwa kuna "Infinity" wewe huna akili, na ni makosa kuendelea kujadiliana na wewe.

Hao Wanasayansi mnao waamini wenyewe wanapinga ya kuwa hakuna Infinity series. Fatilia ishu za Entropy au fatilia Ile Second Law of Thermodynamics.
 
Kwamba jua ni kiumbe kinatembea na kila siku linaomba rukhusa kwa Allah lichomoze?........ mkuu are you serious?

Kwamba vimondo tunavyo viona huwa vinampiga shetani?

Wakati mwingine kuamini na kutetea hizi imani inabidi ujitie uchizi kidogo kwa matumaini ya kuja kula bata milele huko peponi
Naam, Sasa wewe onyeshe ya kuwa ni uongo.

Usilete stori za kijiweni.

Naam vinampiga Shetani.

Sasa unachotakiwa wewe ufanye hapa, ni kuwa uonyeshe ya kuwa haya ni uongo mtupu.

Nimekaa hapa nasubiri hilo.
 
Jifunze kunukuu, sijasema Jua linazunguka. Nimekuuliza Jua linatembea au halitembei ? Unakuja kusema nimeandika linazunguka ?

Sasa Qur'aan itaje Milk Way ili iweje ? Yaani ifate mawazo ya Wajinga ?

Qur'an siyo kitabu Cha Sayansi kijana, kile ni kitabu Cha muongozo kinasema ya kweli na haki.

Sasa thibitisha ya kuwa Jua halitembei, Jua halisujudu Jua halifanyi hayo yote ?
Jana niliku uliza swali lakini bado hujajibu,

Naku uliza tena hivi[emoji116]

Ulisema kwamba "Quran" ya Allah mnaweza kuifanyia tasfiri (translation) kwa lugha zingine.

Sasa, idhini na ruhusa ya kufanya tasfiri ya Quran aliwapa nani?

Au ni maamuzi yenu ya kibinadamu kufanya tasfiri ya Quran ya "Allah" aliyo ileta kwa kiarabu?

Kama "Allah" alitaka binadamu wote tuijue Quran hiyo, Alishindwaje kuileta kwa lugha zote ulimwenguni za binadamu wote?

Kwa nini Allah huyo alete Quran kwa lugha moja tu ya kiarabu, Kisha ninyi muanze kuifanyia tafsiri kwa niaba yake?

Kama Allah huyo alifahamu binadamu tupo kwa lugha tofauti, Kwa nini alete Quran hiyo kwa lugha ya kiarabu?
 
N
Na wewe kabla ya yote leta Unachokijua kuhusu 'JUA' limetoka wapi na siyo Mungu aliyelileta?
Mbona nimeandika kila kitu kwenye bandiko langu uliloliquote!!?

Nmekwambia sijui.

Nakutokujua kwangu haimaanishi ni Mungu ndiyo kalileta jua.

Hivi wewe ukiamka asbuhi ukakuta majani mlangoni kwako, ukaanza kujiuliza ni nani kaleta majani hayo hadi mlangoni kwako.

Ukiwa haujui nani kayaleta hapo mlangoni kwako utasema ni Mungu ndiye kayaleta!?

Kama ww unajua kwamba Jua limewekwa na Mungu, bhasi thibitisha kuwa huyo Mungu wako yupo kwenye uhalisia ili jibu lako likubalike.

Tofauti na hapo wewe hujui jua limetoka wapi, zaidi unajua jibu la uongo tu.

"" Adui mkubwa wa maendeleo ya mwanadamu sio ujinga (ukosefu wa maarifa)
Bali ni illusion ya knowledge
""
 
Pia ni muovu na mkatili sana.

Sifa zote ni zake.

Acha kumtetea kwenye upande mmoja wa mazuri tu, na kujifanya kwamba huoni upande wa pili.
Mungu anasamehe hata wanaomini mizimu wanadai inakasirika na kuleta maafa...Ila ukiomba msahama unasamehewa.
 
Naam, Sasa wewe onyeshe ya kuwa ni uongo.

Usilete stori za kijiweni.

Naam vinampiga Shetani.

Sasa unachotakiwa wewe ufanye hapa, ni kuwa uonyeshe ya kuwa haya ni uongo mtupu.

Nimekaa hapa nasubiri hilo.

Mimi siwezi kuthibitisha kama ni UONGO ingawaje sitaamini

Tunarudi pale pale kwenye concept ya Russle

Nikikwambia Kuna kibuyu cha kinyiramba kinazunguka kwenye orbt ya jua utaamini?

Ofcoz hutaamini lakini pia huwezi kuprove kama sio kweli
Ni wajibu wangu kujuthibitishia

Sasa kazi kwako kuthibitisha ukweli huu
 
N
Na wewe kabla ya yote leta Unachokijua kuhusu 'JUA' limetoka wapi na siyo Mungu aliyelileta?
Kanuni ipo hivi, [emoji116]

Kama kila kitu kilichopo kinahitaji chanzo chake, Basi hata huyo Mungu lazima awe na chanzo chake, Na chanzo chake Mungu lazima kiwe na chanzo chake, Na chanzo chake Mungu chanzo chake, Lazima kiwe na chanzo chake.

Sasa hapa kutakuwa na Vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho (Endless), ili kanuni hii ifuate muundo huo huo wa [emoji116]

"Lazima kuwepo chanzo cha kila kitu"

Huwezi kuamini Mungu huyo hana chanzo, Halafu uanze kulazimisha Jua [emoji3508] na Ulimwengu mzima uwe na chanzo.

Utakuwa unaenda kinyume na kanuni ya "Lazima kuwepo chanzo cha kila kitu".

Do You get the point?

Think big...!!!
 
Mungu anasamehe hata wanaomini mizimu wanadai inakasirika na kuleta maafa...Ila ukiomba msahama unasamehewa.
Acha kuzunguka zunguka kwenye maelezo yako uliyo yatoa mwenyewe kwamba,

Mungu ana sifa zote.

Kama ana sifa zote, Pia Mungu huyo ni mkatili na muovu sana.

Maana yeye ana sifa zote.

Acha kuzunguka zunguka na kukwepesha maneno yako mwenyewe ya kwamba Mungu ana sifa zote.
 
Acha kuzunguka zunguka kwenye maelezo yako uliyo yatoa mwenyewe kwamba,

Mungu ana sifa zote.

Kama ana sifa zote, Pia Mungu huyo ni mkatili na muovu sana.

Maana yeye ana sifa zote.

Acha kuzunguka zunguka na kukwepesha maneno yako mwenyewe ya kwamba Mungu ana sifa zote.
Sasa mbona unaeleza sifa mbaya tu ...Wewe leo mzima huoni kakupa afya ,hauna ulemavu kwa nn usishukuru.

Akili ndogo unaangalia maovu ila sio mema uliyopewa ,binafsi nashukuru leo ni mzima na Mungu ni mwema.


Ngoja siku upate kilema ndio utaelewa .
 
Swali lako la uongo. Kwa mujibu wa Imani yangu Mola pekee ndio anaadhibu kwa kuchoma na hayo kwa kuchoma. Kingine Mola wangu Hana mtoto Wala watoto, kama unamkusudia Mola.

Kama unamaanisha mwanadamu, kwa Imani yangu mwanadamu haruhusiwi kuwa kwa kuchoma moto. Kwahiyo kwangu Mimi siwezi kuua mwanangu au kuadhibu kwa kuchoma moto, sababu ni haramu jambo hili.
Huo ni mfano dhahania ili ujaribu kupima dhana hii ya Mungu mwenye upendo wote.

Wewe ambae huna upendo wote umedai huwezi kumchoma mwanao.

Je huyo Mola mwenye upendo wote kitendo cha kuchoma watu moto kutamfanya aendelee kuwa wa upendo wote!!?
 
Kwanini Mungu huyo kwa uwezo wote alionao anatuma watu kuhubiri na sio malaika?

Nlitegemea huko makanisani na miskitini wangekuwa wanahubiri malaika.

Sisi ni binadamu na hatutegemei uwepo wa mungu ili tuwepo.

Lakini Mungu hawezi kuwepo bila binadamu. Mungu huyo anategemea uwepo wa watu kwamaana tumemuumba sisi aishi kama wazo, ili atusaidie kujibu maswali magumu yaliyotukabili hapo awali.

kwasasa mambo mengi tumeweza kuyaelewa na kuyaelezea bila haja ya kuweka dhana ya Miungu.

Wewe uliyeshikilia mambo ya miungu, ni kwamba umeshikwa kwenye uzamani tu na hutaki kubadilika.

Yaani kama ni nguo umevalia fashion ya mwaka 1653.

Kwa miaka yote hyo kwanini Mungu huyo kajificha!?

Kwanini tunahitaji vitabu hivyo ulivyovitaja ama wahubiri na manabii kumhubiri na asijihubiri mwenyewe!?

Ukweli kwamba Mungu hawezi kufanya jambo hili yeye mwenyewe ni ushahidi mzuri ambao unakuonesha Mungu huyo hayupo.
Dahhh! Umeongea mambo mazito sana yanayotokana na ujinga wa akili yako

Niambie bro ni mambo gani hayo Kwa Sasa mliyoweza kuyaelewa na kuyaelezea bila ya haja ya kuweka dhana ya Mungu

Nitajie 5 tu Ili nikuonyeshe kuwa wewe ni mjinga
 
Mambo hayako hivi kijana, ndio hapa utaona madhaifu ya hizo logic. Lazima ijalishe sababu uzito wa makosa unatofautiana na namna ya ufanyaji wa makosa kadhalika.

Yaani ana upendo ulio kamili.

Nani amekwambia hivyo ya kuwa haimfanyi kumuadhibu ? Upendo kwako wewe ni kukalia kimya mambo na kuacha yaende hata kama ni mabaya ? Huu sio upendo huu ni ubwege. Shida yenu hamtumii akili na kuangalia uhalisia. Wewe mwenyewe Leo hii kama una mtoto, akifanya makosa ukamuonya akaendelea sana kufanya vile vile lazima utamuadhibu, na hii haimaanishi kwamba humpendi bali una mtengeneza, Sasa kwa Mola wetu ndio ana upendo ulio kamili Sasa anakuonya, anakupa muongozo, ana samehe na ni mkali wa kuadhibu.
Mimi sina upendo wote kwahyo hata nkimuadhibu mimi sijajipinga.

Sifa ya Mungu ni upendo wote.

Yaani hakuna gape hata kidogo la upendo.

Ingekuwa upendo huo unapimwa kwenye kikombe, bhasi upendo wa mungu ni wote unajaa hadi pale alipoishia fundi.

Yaani upendo uliokamilika, hata kama nkikosea ni kwamba hawezi kunidhuru kabisa!!!

Mimi upendo wangu kwa mwanangu sio wote.
Hivyo nkimuadhibu hakuna shida kwamaana upendo sio wote.

Mfano wako ni batili.

Sasa Mungu huyu mwenye upendo uliokamilika/wote inakuwaje adhibu viumbe vyake!?

Tena pamoja na upendo wote uliokamilika ametengeneza hadi matetemeko na vimbunga vikali vinaangamiza hadi watoto wachanga.

Huyo Mungu hayupo in real dimensions.

Ni utapeli tu
 
Back
Top Bottom