Wapi nimeandika kila kitu lazima kiwe na chanzo ?🤣🤣🤣sababu ni moja .. according to u kila kitu lazma kiwe na mwanzo...so ukisema Allah Hana mwanzo tayari umejicontradict...umefanya special pleading
Ndio maana nikakwambia unipe sababu ambazo yule muumba wa ulimwengu na vilivyomo vipi awe chanzo wakati yeye ni chanzo ?
Onyesha nime jicontradict wapi ?