Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Ndio maana nakwambia hivi πBinadamu kaumbwa kuhangaika mpaka kufa huo ndio mfumo wake yeye sio wwe unavyotaka.ππ
Zote sifa zake mbona neema zake kama kupumua huoni?ππNdio maana nakwambia hivi π
Mungu huyo ni mkatili sana.
Ka amua kuumba binadamu waje wateseke.
Mungu huyo ni muovu sana.
Hauna hali nzuri mjomba acha uongo ,wewe ni wakawaida sana na Mungu hajakupa neema kubwa ya kiuchumi ndio maana unapiga kelele.
[emoji23][emoji23]Pambana na umaskini hilo ndio fungo lako unayo nafasi ya Mungu ni mengi
Most people don't really want the Truth, They just want constant reassurance that what they believe is the only Truth.Hakuna mtu amelazimishwa kuamini jambo lolote
Kuna watu imani ya Mungu ikiwa challenged wanaumia kweli
Na wewe mbona huoni uovu wake?Zote sifa zake mbona neema zake kama kupumua huoni?ππ
Wewe ni binadamu ni kawaida kuangalia uovu hata mtu akutendee mazuri 100 ,utakuja kumchukia kwa kosa 1.
Dunia ni mihangaiko kama unabisha jaribu kulala na kuwa mvivu .Kwahiyo huyu mungu katuleta hapa duniani aje kutuhangaisha tu wakati tayari kashatupangia kila kitu
Yaani amekwisha panga kwamba kutakua na JF na kutakua na memba anajiita Mayu na atamkufuru mungu kwa kutoamini uwepo wake na utakuwepo wewe mkuu ambaye utamtetea
Nimekwambia ana sifa zote ππ...Wewe unakazania uovu tu ..Na wewe mbona huoni uovu wake?
Anza na wewe ambaye hutaki kuzungumzia mabaya ya huyo Mungu.
Una lazimisha Mungu aonekane mwema, Kumbe ni mkatili sana.
Nakwambia hivi π
Kama Mungu huyo ana sifa zote, Basi ni mkatili sana na muovu sana.
Tuishie hapa maana hujengi hoja kwa logic na kufikiri.Nimekwambia ana sifa zote ππ...Wewe unakazania uovu tu ..
Dunia ni mihangaiko kama unabisha jaribu kulala na kuwa mvivu .
Binadamu kapewa akili ili ili akabiliane na maisha yake.
Wapi umejeng hoja zaidi ya kutaka dunia iwe vile unataka πππ.Tuishie hapa maana hujengi hoja kwa logic na kufikiri.
Ila unajenga hoja kwa Ubishi.
You're meandering.
Binadamu kapewa akili ili apate mitihani na kutatua ,sasa mtu aumbwe duniani aje kukaaa tu ,asifanye kazi ,wala kutafuta chochote kile ..Ndio maana unaambiwa huo upendo wote wa mungu hauna mantiki
Inakuaje atuumbie mashida yote hayo wakati alikua na uwezo wa kutoziumba?
Nimesha funga mjadala na wewe.Wapi umejeng hoja zaidi ya kutaka dunia iwe vile unataka πππ.
Sijaona hoja zako ebu nionyeshe.
Mkuu,Ndio maana unaambiwa huo upendo wote wa mungu hauna mantiki
Inakuaje atuumbie mashida yote hayo wakati alikua na uwezo wa kutoziumba?
Binadamu kapewa akili ili apate mitihani na kutatua ,sasa mtu aumbwe duniani aje kukaaa tu ,asifanye kazi ,wala kutafuta chochote kile ..
Jambo ambalo halipo .
Wanaokubali pia uwepo wa mungu inatosha sio lazima mawazo yao yakubaliwe na kila mtu. Mashahidi wa yehova wasigonge milango yetu kutuletea habari njema, walokole wapunguze kuja kutuhubira wakae tu na mawazo yao.Kwanini mlazimishe Watu kutoamini uwepo wa Mungu?
Mkikataa ninyi uwepo wa Mungu basi inatosha wala si lazima muaminishe mawazo yenu yakubaliwe na wengine Mleta mada na wanaokubaliana na wewe.
Mkuu,
Kuna watu ni vichwa ngumu, kuelewa Logic.
Wanacho taka ni ubishi na mijadala isiyo kwisha.
Wamesha chagua kubisha kwa vyovyote vile.
Exactly mkuu.Wanaokubali pia uwepo wa mungu inatosha sio lazima mawazo yao yakubaliwe na kila mtu. Mashahidi wa yehova wasigonge milango yetu kutuletea habari njema, walokole wapunguze kuja kutuhubira wakae tu na mawazo yao.
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbona unakimbilia kuniita maskini badala ya kujibu hoja (halafu hata hunijui[emoji23][emoji23]). Hii fallacy kwenye logical argument inaitwa Ad Hominem. Ni ujanja wa mtu kukwepa kujibu hoja ndo utaskia kwanza una sura mbaya huna neema ya sura nzuri, mara ohh we maskini huna neema ya utajiri. Maskini ndo wanaongoza kwenda kanisani kulia lia, kutolewa mapepo hutamkuta mtu mwenye uchumi mzuri anililia neema.Hauna hali nzuri mjomba acha uongo ,wewe ni wakawaida sana na Mungu hajakupa neema kubwa ya kiuchumi ndio maana unapiga kelele.
[emoji23][emoji23]Pambana na umaskini hilo ndio fungo lako unayo nafasi ya Mungu ni mengi
[emoji23][emoji23][emoji23] kupumua sio neema ndugu yangu tuna respiratory system kwenye miili yetu. Ikifunuliwa njia ya upumuaji wa binadamu utaweza kunionyesha sehemu ambayo hiyo neema ipo inasaidia upumuaji? Au kuna sehemu kwenye njia ya upumuaji inaitwa neema sisi hatujui?Zote sifa zake mbona neema zake kama kupumua huoni?[emoji23][emoji23]
Wewe ni binadamu ni kawaida kuangalia uovu hata mtu akutendee mazuri 100 ,utakuja kumchukia kwa kosa 1.
Mleta mada hajazalimisha mtu kutomwamini Mungu.Kwanini mlazimishe Watu kutoamini uwepo wa Mungu?
Mkikataa ninyi uwepo wa Mungu basi inatosha wala si lazima muaminishe mawazo yenu yakubaliwe na wengine Mleta mada na wanaokubaliana na wewe.