Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Binadamu kaumbwa kuhangaika mpaka kufa huo ndio mfumo wake yeye sio wwe unavyotaka.😂😂
Ndio maana nakwambia hivi 👇

Mungu huyo ni mkatili sana.

Ka amua kuumba binadamu waje wateseke.

Mungu huyo ni muovu sana.
 
Ndio maana nakwambia hivi 👇

Mungu huyo ni mkatili sana.

Ka amua kuumba binadamu waje wateseke.

Mungu huyo ni muovu sana.
Zote sifa zake mbona neema zake kama kupumua huoni?😂😂

Wewe ni binadamu ni kawaida kuangalia uovu hata mtu akutendee mazuri 100 ,utakuja kumchukia kwa kosa 1.
 
Hauna hali nzuri mjomba acha uongo ,wewe ni wakawaida sana na Mungu hajakupa neema kubwa ya kiuchumi ndio maana unapiga kelele.

[emoji23][emoji23]Pambana na umaskini hilo ndio fungo lako unayo nafasi ya Mungu ni mengi

Kwahiyo huyu mungu katuleta hapa duniani aje kutuhangaisha tu wakati tayari kashatupangia kila kitu

Yaani amekwisha panga kwamba kutakua na JF na kutakua na memba anajiita Mayu na atamkufuru mungu kwa kutoamini uwepo wake na utakuwepo wewe mkuu ambaye utamtetea
 
Na wewe mbona huoni uovu wake?

Anza na wewe ambaye hutaki kuzungumzia mabaya ya huyo Mungu.

Una lazimisha Mungu aonekane mwema, Kumbe ni mkatili sana.

Nakwambia hivi 👇

Kama Mungu huyo ana sifa zote, Basi ni mkatili sana na muovu sana.
 
Dunia ni mihangaiko kama unabisha jaribu kulala na kuwa mvivu .

Binadamu kapewa akili ili ili akabiliane na maisha yake.
 
Nimekwambia ana sifa zote 😂😂...Wewe unakazania uovu tu ..
 
Dunia ni mihangaiko kama unabisha jaribu kulala na kuwa mvivu .

Binadamu kapewa akili ili ili akabiliane na maisha yake.

Ndio maana unaambiwa huo upendo wote wa mungu hauna mantiki

Inakuaje atuumbie mashida yote hayo wakati alikua na uwezo wa kutoziumba?
 
Tuishie hapa maana hujengi hoja kwa logic na kufikiri.

Ila unajenga hoja kwa Ubishi.

You're meandering.
Wapi umejeng hoja zaidi ya kutaka dunia iwe vile unataka 😂😂😂.

Sijaona hoja zako ebu nionyeshe.
 
Ndio maana unaambiwa huo upendo wote wa mungu hauna mantiki

Inakuaje atuumbie mashida yote hayo wakati alikua na uwezo wa kutoziumba?
Binadamu kapewa akili ili apate mitihani na kutatua ,sasa mtu aumbwe duniani aje kukaaa tu ,asifanye kazi ,wala kutafuta chochote kile ..

Jambo ambalo halipo .
 
Mkuu,

Kuna watu ni vichwa ngumu, kuelewa Logic.

Wanacho taka ni ubishi na mijadala isiyo kwisha.

Wamesha chagua kubisha kwa vyovyote vile.
 
Kwani Adam na Hawwa kabla ya kudanganywa na iblis walikua wanaishi maisha gani?

Si ndio hayo maisha alikua amemkusudia binadam ?
 
Kwanini mlazimishe Watu kutoamini uwepo wa Mungu?

Mkikataa ninyi uwepo wa Mungu basi inatosha wala si lazima muaminishe mawazo yenu yakubaliwe na wengine Mleta mada na wanaokubaliana na wewe.
Wanaokubali pia uwepo wa mungu inatosha sio lazima mawazo yao yakubaliwe na kila mtu. Mashahidi wa yehova wasigonge milango yetu kutuletea habari njema, walokole wapunguze kuja kutuhubira wakae tu na mawazo yao.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Mkuu,

Kuna watu ni vichwa ngumu, kuelewa Logic.

Wanacho taka ni ubishi na mijadala isiyo kwisha.

Wamesha chagua kubisha kwa vyovyote vile.

Wanajitia hamnazo wakati wana akili timamu

Haya ndio mathara ya kuaminishwa ujinga bila kutumia akili timamu
 
Hauna hali nzuri mjomba acha uongo ,wewe ni wakawaida sana na Mungu hajakupa neema kubwa ya kiuchumi ndio maana unapiga kelele.

[emoji23][emoji23]Pambana na umaskini hilo ndio fungo lako unayo nafasi ya Mungu ni mengi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbona unakimbilia kuniita maskini badala ya kujibu hoja (halafu hata hunijui[emoji23][emoji23]). Hii fallacy kwenye logical argument inaitwa Ad Hominem. Ni ujanja wa mtu kukwepa kujibu hoja ndo utaskia kwanza una sura mbaya huna neema ya sura nzuri, mara ohh we maskini huna neema ya utajiri. Maskini ndo wanaongoza kwenda kanisani kulia lia, kutolewa mapepo hutamkuta mtu mwenye uchumi mzuri anililia neema.

Nimeuliza na waliopata utajiri Kwa madawa, kudhulumu, wezi wa mashirika makubwa Hawa pia ni mungu ndo alipanga

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Zote sifa zake mbona neema zake kama kupumua huoni?[emoji23][emoji23]

Wewe ni binadamu ni kawaida kuangalia uovu hata mtu akutendee mazuri 100 ,utakuja kumchukia kwa kosa 1.
[emoji23][emoji23][emoji23] kupumua sio neema ndugu yangu tuna respiratory system kwenye miili yetu. Ikifunuliwa njia ya upumuaji wa binadamu utaweza kunionyesha sehemu ambayo hiyo neema ipo inasaidia upumuaji? Au kuna sehemu kwenye njia ya upumuaji inaitwa neema sisi hatujui?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Kwanini mlazimishe Watu kutoamini uwepo wa Mungu?

Mkikataa ninyi uwepo wa Mungu basi inatosha wala si lazima muaminishe mawazo yenu yakubaliwe na wengine Mleta mada na wanaokubaliana na wewe.
Mleta mada hajazalimisha mtu kutomwamini Mungu.

Ameandika hoja zake kuonesha kutokuwepo huyo Mungu, Si kwamba ana lazimisha. Anajenga hoja za kutokuwepo huyo Mungu.

Kama ninyi mnavyo sema na kudai Mungu yupo na hamkosolewi,

Nasi tunasema Mungu hayupo.

Unapo anza kukosoa hoja za kutokuwepo Mungu, Kwa kudai imani yako ya Uwepo wa huyo Mungu ndio ya ukweli, Lazima uthibitishe hilo.
 
Back
Top Bottom