Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Ndio maana nakwambia hivi 👇Binadamu kaumbwa kuhangaika mpaka kufa huo ndio mfumo wake yeye sio wwe unavyotaka.😂😂
Mungu huyo ni mkatili sana.
Ka amua kuumba binadamu waje wateseke.
Mungu huyo ni muovu sana.