Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

[emoji23] Haya tufanye mi mtu wa hali ya chini. Twende kwenye hoja Sasa taratibu.

Hatumuhitaji mungu kujua kwamba madawa na kudhulumu ni tabia mbaya. Umeuliza kwa sheria zipi sheria za nchi zimekataza. Sisi wanadamu tuna uwezo wa kusema hichi hakifai na tukatoa na sababu kwanini hakifai. Tunazo sababu za kueleweka kwanini usambazaji wa madawa haufai ndio maana hiyo sheria ipo.

Kutokuamini mungu sio kosa kwasababu hakuna maelezo wala ushahidi wowote logical unaosadifu uwepo wake. Kama upo utoe hapa. Na dhana ya mungu haina hoja ya msingi inayoibeba zaidi ya vitisho. Kama tunaweza kuhoji vitu vingine kwanini tusihoji hii dhana?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
🤣So Kati ya Morocco na Tanzania wapi Kuna waislamu wengi...bana hii metric unayotaka leta ni point ya kijinga Sana...🤣
 
Unanichosha ujue kijana ?

Kwanini hujibu maswali yangu ?
🤣Yaani we unaona ni freshi coz umedanganywa dini yako ya ukweli na wengine watachomwa...🥺kumbe mmelishwa matangopori na muarabu
 
Kila kinachotokea ni sababu ya kuishi bila kufuata kanuni na asili ya ulimwengu ambayo inatoka kwake ndio maana majanga yanaongezeka kama mvua vimbunga moto na hizo asili ndizo zinauangamiza ulimwengu
So unataka uniambie binadamu ana effect kusababisha volcanic eruption...🥺mkuu geography form 4 una ngapi,💔F au
 
Dunia imeonyesha wala wema sio wale wenye kufanya wema wakitegemea malipo ya peponi. Wema ni wale hawaamini uwepo wa pepo ya mbinguni ila wanafanya wema. Mtenda wema kwa kuogopa mungu ni mnafiki tu ila mtenda wema kwa kuamini ubinadamu tu ndio mwema.
Very true afu watu wa dini ndo wabaya zaidi coz wanaweza wakaua au kutenga wenzao kisa kitabu Chao kimewaambia... ushahidi mzuri magaidi wa kiislamu.
 
Hakuna sehemu nimekuambia kutokuamini Mungu ni kosa ,wala huwezi kupangia maisha ya mtu vile mimi sio mtoa rikizi zaidi ya Mungu mmoja ,na siwez kuhukumu mtu..

Basi kuuza madawa ndio njia yake anayopatia riziki maana ndio imani yake ,wapo watu wanadhulumu ,Mabaya menginu ni kweny imani maana naweza kukuambia ulevi ni kosa ukakataa na wala Sikulazimishi.

Mungu anasamehe huwezi kusema muuza madawa labda asipewe riziki then apew adhabu wakati bado yupo hai ,je akija kubadilika akaachana na biashara hiyo akawa mtu mwema... Kikubwa mtu yupo hai anao mda wa kubadilika ndio maana akili za binadamu wanahukumu haraka ila sio Mungu wetu mkuu.

Hata kama huamini Mungu sio kosa kwa vile uko hai ni Atheists wangapi walikuja kukubali baadae kuwa Mungu yup ,bado una nafasi ya kujifunza .
 
🤣Or else atakaangwa tu au sio
 
Basi niambie mwenye hii oxygen ya asili ni nani wewe msomi ulielimika na unipe na ushahidi wa kisomi kwamba ni yake.

Aliyekufa respiratory system haifanyi kazi tena na baada ya mda mwili utaoza hautakuwepo carbon na nutrients zinarudi kwenye udongo mimea inatumia inazalisha chakula carbon cycle inaendelea wengine wanaendelea kuishi kama kawaida.

Mtu akishindwa kupumua atasaidiwa na mashine za upumuaji ikishindikana atakufa.

Hiyo neema unayosema wewe inaingiaje tena hapa? Mi sioni neema hapa naona nature na uboreshwaji wa huduma za kiafya Kwa binadamu.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Anatumia kitabu alafu aliye mpa kitabu afikishie waumini wake alikuwa illeterate
 
Hili wazo lako haliongezei chochote zaidi ya kuwapotosha wanadamu kuendelea kufanya mabaya
Ukikaribia kufa futa huu uzi mkuu maana utakuhukumu sku ya mwisho
Hii kitu inaishi unajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…