Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Ww si umesema wewe ni tajiri[emoji23][emoji23]? wewe sio tajiri acha kudanganya watu ,wewe ni mtu wa hali ya chini ndio maana una makasiriko na neema za Mungu.

Hata hao pia Mungu kapanga ,Mungu anatoa kwa wanadamu wote hapa duniani na wala hatoi adhabu hapo kwa hapo....kwani wewe ukitoa logic yako hayo madawa na kudhumulumu kwako sio dhambi kwa vile huamini kweny Mungu.

Una wasiwas gani kwa wauza madawa na wanaodhulumu wakati huamini Mungu[emoji23]?

Haina mantiki kabisa kumsema muuza madawa wakati unaamini hamna Mungu,umejuaje kama kuuza madawa ni kosa kwa sheria zipi ?
[emoji23] Haya tufanye mi mtu wa hali ya chini. Twende kwenye hoja Sasa taratibu.

Hatumuhitaji mungu kujua kwamba madawa na kudhulumu ni tabia mbaya. Umeuliza kwa sheria zipi sheria za nchi zimekataza. Sisi wanadamu tuna uwezo wa kusema hichi hakifai na tukatoa na sababu kwanini hakifai. Tunazo sababu za kueleweka kwanini usambazaji wa madawa haufai ndio maana hiyo sheria ipo.

Kutokuamini mungu sio kosa kwasababu hakuna maelezo wala ushahidi wowote logical unaosadifu uwepo wake. Kama upo utoe hapa. Na dhana ya mungu haina hoja ya msingi inayoibeba zaidi ya vitisho. Kama tunaweza kuhoji vitu vingine kwanini tusihoji hii dhana?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kulinganisha na kule.

Bali Tanzania ina bahati Kuna watu wengi wanafata Ile dini sahihi kabisa.

Mfano kipindi kile janga lililo ikuta Haiti, ukifatilia unakuta zaidi ya asilimia 80, watu wake ni washirikina na wanaabudu mizimu (kama wanavyo dai). Huu ni mfano tu.
🤣So Kati ya Morocco na Tanzania wapi Kuna waislamu wengi...bana hii metric unayotaka leta ni point ya kijinga Sana...🤣
 
Unanichosha ujue kijana ?

Kwanini hujibu maswali yangu ?
🤣Yaani we unaona ni freshi coz umedanganywa dini yako ya ukweli na wengine watachomwa...🥺kumbe mmelishwa matangopori na muarabu
 
Kila kinachotokea ni sababu ya kuishi bila kufuata kanuni na asili ya ulimwengu ambayo inatoka kwake ndio maana majanga yanaongezeka kama mvua vimbunga moto na hizo asili ndizo zinauangamiza ulimwengu
So unataka uniambie binadamu ana effect kusababisha volcanic eruption...🥺mkuu geography form 4 una ngapi,💔F au
 
Dunia imeonyesha wala wema sio wale wenye kufanya wema wakitegemea malipo ya peponi. Wema ni wale hawaamini uwepo wa pepo ya mbinguni ila wanafanya wema. Mtenda wema kwa kuogopa mungu ni mnafiki tu ila mtenda wema kwa kuamini ubinadamu tu ndio mwema.
Very true afu watu wa dini ndo wabaya zaidi coz wanaweza wakaua au kutenga wenzao kisa kitabu Chao kimewaambia... ushahidi mzuri magaidi wa kiislamu.
 
[emoji23] Haya tufanye mi mtu wa hali ya chini. Twende kwenye hoja Sasa taratibu.

Hatumuhitaji mungu kujua kwamba madawa na kudhulumu ni tabia mbaya. Umeuliza kwa sheria zipi sheria za nchi zimekataza. Sisi wanadamu tuna uwezo wa kusema hichi hakifai na tukatoa na sababu kwanini hakifai. Tunazo sababu za kueleweka kwanini usambazaji wa madawa haufai ndio mas a hiyo sheria ipo.

Kutokuamini mungu sio kosa kwasababu hakuna maelezo wala ushahidi wowote logical unaosadifu uwepo wake. Kama upo utoe hapa. Na dhana ya mungu haina hoja ya msingi inayoibeba zaidi ya vitisho. Kama tunaweza kuhoji vitu vingine kwanini tusihoji hii dhana?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Hakuna sehemu nimekuambia kutokuamini Mungu ni kosa ,wala huwezi kupangia maisha ya mtu vile mimi sio mtoa rikizi zaidi ya Mungu mmoja ,na siwez kuhukumu mtu..

Basi kuuza madawa ndio njia yake anayopatia riziki maana ndio imani yake ,wapo watu wanadhulumu ,Mabaya menginu ni kweny imani maana naweza kukuambia ulevi ni kosa ukakataa na wala Sikulazimishi.

Mungu anasamehe huwezi kusema muuza madawa labda asipewe riziki then apew adhabu wakati bado yupo hai ,je akija kubadilika akaachana na biashara hiyo akawa mtu mwema... Kikubwa mtu yupo hai anao mda wa kubadilika ndio maana akili za binadamu wanahukumu haraka ila sio Mungu wetu mkuu.

Hata kama huamini Mungu sio kosa kwa vile uko hai ni Atheists wangapi walikuja kukubali baadae kuwa Mungu yup ,bado una nafasi ya kujifunza .
 
Kama wewe ni Mkristo

Tafuta sana maarifa ya Neno la Mungu usije ukaangamia bila hiyo. Otherwise utubu kwa hayo maandiko unayopotosha nayo watu ili wakuamini. Tangu mwanzo wa maandiko yako hadi mwisho hakuna hata quote moja inayotoka kwa vitabu vya Munngu ikimaanisha ni mawazo yako ya kufikirika. Mungu huyo huyo akusamehe tu bure
🤣Or else atakaangwa tu au sio
 
Aliyekufa hana respiratory system [emoji23][emoji23]? Anayelipia oxygen ili kupumua akiwa hospital hana respiratory sytem?


Kama tunalipia oxygen kipind fulani kutokana na matatizo ,je hii oxygen ya asili tunayopumua ya nan?

Mbona hamna hoja kama sio wasomi..
Basi niambie mwenye hii oxygen ya asili ni nani wewe msomi ulielimika na unipe na ushahidi wa kisomi kwamba ni yake.

Aliyekufa respiratory system haifanyi kazi tena na baada ya mda mwili utaoza hautakuwepo carbon na nutrients zinarudi kwenye udongo mimea inatumia inazalisha chakula carbon cycle inaendelea wengine wanaendelea kuishi kama kawaida.

Mtu akishindwa kupumua atasaidiwa na mashine za upumuaji ikishindikana atakufa.

Hiyo neema unayosema wewe inaingiaje tena hapa? Mi sioni neema hapa naona nature na uboreshwaji wa huduma za kiafya Kwa binadamu.

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Why muweza wa yote anatumia kitabu....? Wewe Leo ukitaka kujua kitu unatafuta kitabu au si unaingia mtandaoni unatafuta credible unbiased source, halafu hizi story za kutokeana kwa Nini asingesubiria tupate technology ya anga na ya internet na camera tuweze record Musa akivuka bahari, Muhammad akigawa mwezi, afu why no archaeological evidence au shetani ndo kaficha ili Mungu atutest...[emoji42]all of this doesn't make sense yo
Anatumia kitabu alafu aliye mpa kitabu afikishie waumini wake alikuwa illeterate
 
Hili wazo lako haliongezei chochote zaidi ya kuwapotosha wanadamu kuendelea kufanya mabaya
Ukikaribia kufa futa huu uzi mkuu maana utakuhukumu sku ya mwisho
Hii kitu inaishi unajua
 
Back
Top Bottom