SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
😴We ni sawa na mtoto kunitishia Santa Claus kutonipa zawadi kisa siamini he's real😂😂Sasa yupo anayeratibu ... Ngoja ushinwe kupumua ukalipie utajuu neema za Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😴We ni sawa na mtoto kunitishia Santa Claus kutonipa zawadi kisa siamini he's real😂😂Sasa yupo anayeratibu ... Ngoja ushinwe kupumua ukalipie utajuu neema za Mungu.
🤣🤣🤣Si ujibuHili swali la kipumbavu. Unarudia rudia maswali.
[emoji23] Haya tufanye mi mtu wa hali ya chini. Twende kwenye hoja Sasa taratibu.Ww si umesema wewe ni tajiri[emoji23][emoji23]? wewe sio tajiri acha kudanganya watu ,wewe ni mtu wa hali ya chini ndio maana una makasiriko na neema za Mungu.
Hata hao pia Mungu kapanga ,Mungu anatoa kwa wanadamu wote hapa duniani na wala hatoi adhabu hapo kwa hapo....kwani wewe ukitoa logic yako hayo madawa na kudhumulumu kwako sio dhambi kwa vile huamini kweny Mungu.
Una wasiwas gani kwa wauza madawa na wanaodhulumu wakati huamini Mungu[emoji23]?
Haina mantiki kabisa kumsema muuza madawa wakati unaamini hamna Mungu,umejuaje kama kuuza madawa ni kosa kwa sheria zipi ?
🤣So Kati ya Morocco na Tanzania wapi Kuna waislamu wengi...bana hii metric unayotaka leta ni point ya kijinga Sana...🤣Huwezi kulinganisha na kule.
Bali Tanzania ina bahati Kuna watu wengi wanafata Ile dini sahihi kabisa.
Mfano kipindi kile janga lililo ikuta Haiti, ukifatilia unakuta zaidi ya asilimia 80, watu wake ni washirikina na wanaabudu mizimu (kama wanavyo dai). Huu ni mfano tu.
Hamna sehemu umetishwa ....Mungu ndio mkuu wa watu vitu vyote hapa duniani especially uhai ,riziki ya mwanadamu.😴We ni sawa na mtoto kunitishia Santa Claus kutonipa zawadi kisa siamini he's real
🤣Yaani we unaona ni freshi coz umedanganywa dini yako ya ukweli na wengine watachomwa...🥺kumbe mmelishwa matangopori na muarabuUnanichosha ujue kijana ?
Kwanini hujibu maswali yangu ?
Ur point is?Ila hakuna nchi inayo zidiana na nchi nyingine kwa masaa 24.
Hio nguvu lazima ikupangie pakumwaga shahawa?Mungu ni chanzo cha kila kitu duniani. Sisi kaballah tunaamini kuna nguvu kuu ambayo ndio inaendesha ulimwengu
So unataka uniambie binadamu ana effect kusababisha volcanic eruption...🥺mkuu geography form 4 una ngapi,💔F auKila kinachotokea ni sababu ya kuishi bila kufuata kanuni na asili ya ulimwengu ambayo inatoka kwake ndio maana majanga yanaongezeka kama mvua vimbunga moto na hizo asili ndizo zinauangamiza ulimwengu
Sawa...,🤣asinipangie pa kumwagiaHamna sehemu umetishwa ....Mungu ndio mkuu wa watu vitu vyote hapa duniani especially uhai ,riziki ya mwanadamu.
Very true afu watu wa dini ndo wabaya zaidi coz wanaweza wakaua au kutenga wenzao kisa kitabu Chao kimewaambia... ushahidi mzuri magaidi wa kiislamu.Dunia imeonyesha wala wema sio wale wenye kufanya wema wakitegemea malipo ya peponi. Wema ni wale hawaamini uwepo wa pepo ya mbinguni ila wanafanya wema. Mtenda wema kwa kuogopa mungu ni mnafiki tu ila mtenda wema kwa kuamini ubinadamu tu ndio mwema.
Hakuna sehemu nimekuambia kutokuamini Mungu ni kosa ,wala huwezi kupangia maisha ya mtu vile mimi sio mtoa rikizi zaidi ya Mungu mmoja ,na siwez kuhukumu mtu..[emoji23] Haya tufanye mi mtu wa hali ya chini. Twende kwenye hoja Sasa taratibu.
Hatumuhitaji mungu kujua kwamba madawa na kudhulumu ni tabia mbaya. Umeuliza kwa sheria zipi sheria za nchi zimekataza. Sisi wanadamu tuna uwezo wa kusema hichi hakifai na tukatoa na sababu kwanini hakifai. Tunazo sababu za kueleweka kwanini usambazaji wa madawa haufai ndio mas a hiyo sheria ipo.
Kutokuamini mungu sio kosa kwasababu hakuna maelezo wala ushahidi wowote logical unaosadifu uwepo wake. Kama upo utoe hapa. Na dhana ya mungu haina hoja ya msingi inayoibeba zaidi ya vitisho. Kama tunaweza kuhoji vitu vingine kwanini tusihoji hii dhana?
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
🤣Kwanini mlazimishe Watu kutoamini uwepo wa Mungu?
Mkikataa ninyi uwepo wa Mungu basi inatosha wala si lazima muaminishe mawazo yenu yakubaliwe na wengine Mleta mada na wanaokubaliana na wewe.
Huko huru.Sawa...,🤣asinipangie pa kumwagia
🤣Or else atakaangwa tu au sioKama wewe ni Mkristo
Tafuta sana maarifa ya Neno la Mungu usije ukaangamia bila hiyo. Otherwise utubu kwa hayo maandiko unayopotosha nayo watu ili wakuamini. Tangu mwanzo wa maandiko yako hadi mwisho hakuna hata quote moja inayotoka kwa vitabu vya Munngu ikimaanisha ni mawazo yako ya kufikirika. Mungu huyo huyo akusamehe tu bure
Basi niambie mwenye hii oxygen ya asili ni nani wewe msomi ulielimika na unipe na ushahidi wa kisomi kwamba ni yake.Aliyekufa hana respiratory system [emoji23][emoji23]? Anayelipia oxygen ili kupumua akiwa hospital hana respiratory sytem?
Kama tunalipia oxygen kipind fulani kutokana na matatizo ,je hii oxygen ya asili tunayopumua ya nan?
Mbona hamna hoja kama sio wasomi..
Kajifunga kiaina fulani hvi[emoji11]Asante kwa kunijibu...[emoji1787]
Anatumia kitabu alafu aliye mpa kitabu afikishie waumini wake alikuwa illeterateWhy muweza wa yote anatumia kitabu....? Wewe Leo ukitaka kujua kitu unatafuta kitabu au si unaingia mtandaoni unatafuta credible unbiased source, halafu hizi story za kutokeana kwa Nini asingesubiria tupate technology ya anga na ya internet na camera tuweze record Musa akivuka bahari, Muhammad akigawa mwezi, afu why no archaeological evidence au shetani ndo kaficha ili Mungu atutest...[emoji42]all of this doesn't make sense yo