Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

🤣Si DNA mbwa wewe, au binadamu nae ana metamorphosis...mbona unauliza maswali ya kitoto sana...Kuna binadamu anabadilika kuwa species nyingine...🤣Aaaah kweli ukiwa mdini inabidi uvute kidogo
 
🤣🤣🤣Yaani maswali mengine asa apo unataka ujibiwe Nini...Aya kwa Nini mchwa wanaongezeka... 🤣Mshaanza kuwa watoto
 
Huoni Kama umeharibu
 
So ma mia wanapigwa Risasi kila siku Mungu hawapendi
 
Inasibitisha uwepo wake sababu amekuumba wewe, wazazi na wengine wote kadhalika.

Naam, Ardhi imeumbwa na yeye Allah.

Sasa kama humjui mbona unasema hayupo ? Kijana una matatizo ya akili.
🤣Hata brahma kasema ameumba mbingu ardhi na kila mtu...hata Zeus pia...so lazma mmoja awe mkweli au wote wawe wanadanganya
 
Mtu akishiba sawasawa ,anajiona mjuaji wakati hiyo simu anayotumia wenzake wametengeneza kwa kuomba MUNGU muumbaji nawanatoa sadaka
 
Jifunzeni kujenga hoja na kukosoa hoja. Unaposema zimekosea unatakiwa uweke lilo sahihi kwa ithibati na ujibu maswali utakayo ulizwa, unaposema hivi mara vile unakuwa unapoteza muda tu.
🤣🤣🤣Watu washakuchoka wewe...Kama unatetea ujinga eti jua linaenda kuomba ruhsa kwa Allah usiku ili lichomoze... unategemea nani atakaa kubishana na wewe...we pekee ndo unabaki kutetea dini yako ya mchongo... wenzako wanatetea uumbaji something outside religion we bado unakomaa na pedophile mudi
 
Mtu akishiba sawasawa ,anajiona mjuaji wakati hiyo simu anayotumia wenzake wametengeneza kwa kuomba MUNGU muumbaji nawanatoa sadaka
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wenzetu hawatengenezi Simu tu wanatengeneza na rocket wameenda mpaka mwezini mpaka Pluto huyo Mungu wa mawinguni hawajamwona...hio sehemu Yesu alipaa na kufika au Muhammad alienda na farasi anaepaa hawakuiona afu useme wanasali ndo wanatengeneza Simu ..bac bongo tuchukue manabii wote Hawa wasali viwanda vya magari Simu etc vitokee mnadhani maisha marahisi hivyo
 
Nani alikwambia Jua ni nyota ? Ndio huwa mnasema Jua ni "Nyota kubwa" sio ?
Tofautisha Muhammad aliyejua jua linazunguka dunia afu nyota ni mapambo na silaha za kupiga mashetani wasikaribie the throne of allah na wanasayansi waliothibitisha jua ni nyota. Wewe na elimu yako ya 690 AD huwezi elewa ukiambiwa nyota zile zipo mbali sana ndo maana zinaonekana vile na kuwa jua ni dogo compared to hizo nyota
 
Dini ni utapeli tu.

Rais wa Kenya jomo Kenyatta alisema kwamba 👇

"When the Missionaries came to Africa, They had a Bible we had the Land. They said let us pray we closed our eyes when we opened them, They had the land we had the Bible"
 
Mtu akishiba sawasawa ,anajiona mjuaji wakati hiyo simu anayotumia wenzake wametengeneza kwa kuomba MUNGU muumbaji nawanatoa sadaka
Wewe unaye mtumikia Mungu na kutoa sadaka, Umegundua nini kwenye hii dunia?

Simu haitengenezwi kwa kuomba Mungu, Simu ime tengenezwa na watu walio fanya utafiti na kuumiza vichwa vyao kurahisisha mawasiliano.

Ume unda dhana mbili zisizo na uhusiano wowote, kupata jibu potofu.

Logical non sequitur.
 
Ngoja nifanye refrence ya hio hadithi kuihakiki isije ikawa imechakachuliwa
  • Kuna kisa Al Khidr alimuua Mtoto wa kiume , Muhammad kaelezea wazi huyu mtoto alipangiwa na Allah atakuwa Kafir, allah alimpangia atakuwa Kafir na akapanga auliwe kwa sababu kampangia hivyo, na dogo akachinjwa kikatili
    • Koran 18:80. Na ama yule kijana, wazazi wake walikuwa ni Waumini. Tukakhofu asije watia mashakani kwa uasi na ukafiri.
      • Prophet (ﷺ) said: "The boy that Al-Khidr killed was destined to be a disbeliever the day he was created.'" Jami` at-Tirmidhi 3150
 
Huoni Kama umeharibu
  • Kuna kisa Al Khidr alimuua Mtoto wa kiume , Muhammad kaelezea wazi huyu mtoto alipangiwa na Allah atakuwa Kafir, allah alimpangia atakuwa Kafir na akapanga auliwe kwa sababu kampangia hivyo, na dogo akachinjwa kikatili
    • Koran 18:80. Na ama yule kijana, wazazi wake walikuwa ni Waumini. Tukakhofu asije watia mashakani kwa uasi na ukafiri.
      • Prophet (ﷺ) said: "The boy that Al-Khidr killed was destined to be a disbeliever the day he was created.'" Jami` at-Tirmidhi 3150
 
🤣🤣🤣Yaani maswali mengine asa apo unataka ujibiwe Nini...Aya kwa Nini mchwa wanaongezeka... 🤣Mshaanza kuwa watoto
Jifunze kujibu hoja.

Jee hakuna sababu maalum ya watu kuongezeka?

Mnasema Kila kitu Lazima kiwe na chanzo, au siyo?

Kwa miaka Mingi wapinga Mungu walikuwa wanajadili kati ya Yai na kuku kipi kimetangulia?

Mwisho Wa siku wamekuja kusema kuwa Yai ndio limetangulia. Wakiulizwa Yai nalo limetoka wapi Wanasema eti lilikuwepo tu!!!

Hivi siyo utoto kudhani kuwa dunia ipo tu haina Mwanzo Wala mwisho??

Hofu ni kusema kama Ina Mwanzo basi Lazima isemwe ilianzaje, na ukisema ilianzaje itabidi ukiri yupo aliyeanzisha na kama Ina mwisho mwisho wake utakuwaje.

Nadharia nyingi mnazotumia kupinga kwamba Kuna Mungu ni za kukariri toka watu wengine na ndiyo maana mkiulizwa maswali rahisi mnasema ni maswali ya kitoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…