Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Shida kubwa ni watu Wa aina yenu kuwaza kuwa kanuni mlizojaza (za watu wengine) vichwani mwenu, ndizo kanuni timilifu pekee za kudadavua mambo/vitu vyenye mtanziko
Hili umejuaje wewe!?

Tafuta Mahali nimeweka haya maneno uliyoandika hapa.
Je unakubali kuwa kuna Mungu?
Hizo sifa Kuu za Mungu unazikubali? Kama huzikubali unasemaje kuwa ni sifa zake?
Ntakubalije sifa za kitu kisichokuwepo?

Sifa ya Mungu katika uhalisia ni kutokuwepo tu, hana sifa nyingine

Nimejadili hivyo kwa mujibu wa waamini.

Inaonekana haujui immanent critique ni kitu gani katika mijadala.
Hapa unataka nikujibu kwa kutumia Imani ya waamini Mungu ama ya wasioimini Mungu?
Kutokuamini Mungu nako ni imani?
 
Thibitisha kwanza mmiliki wa hivyo ulivyovitaja kuwa yupo. Hujathibitisha umeleta story za Mtume ambaye alikuwa ni mtu wa kawaida tu.
Soma huu uzi utaona nilipo thibitisha.

Lakini huko mbali, uwepo wako unathibitisha ya kuwa Allah yupo. Sasa onyesha stori hapo ziko wapi ?
 
Hapana hujafikiri vizuri, nmekuuliza anaweza kuumba Mungu mwingine mkubwa kuzidi yeye. Jibu ndio au hapana
Nimekujibu kwa usahihi na kuonyesha ya kuwa kwanza swali lako la uongo na inaonyesha ya kuwa humjui Mungu.

Nimekwambia hivi hakuna chenye kuzidi uwezo wake au ukubwa wake.
 
Tumeanza mbali umejibiwa verses kibao za Quran kuhusu kukosea geography ya primary kabisa...unakimbia kimbia...so it's pointless kubishana na mke wa Muhammad
Jifunzeni kujenga hoja na kukosoa hoja. Unaposema zimekosea unatakiwa uweke lilo sahihi kwa ithibati na ujibu maswali utakayo ulizwa, unaposema hivi mara vile unakuwa unapoteza muda tu.
 
Nimeuliza kama utaweza kumtafsiri mtu anae mchoma mtoto wake kwa kosa lolote kama ana upendo au la, wewe unanijibu mwenye kuchoma ni Allah!

Wala Sijauliza kama ni haramu kuchoma mtu. Nimeuliza tafsiri ya watu wenzako tu ju ya upendo.
Wala sijauliza kuhusu Allah.

Jibu swali langu tafadhali.
Mzazi mwenye kumchoma mtoto wake aliyekosea wewe binafsi utamuona mzazi huyo kama mwenye upendo sana na mtoto wake??
Vijana mnajibiwa maswali kwa usahihi kutokana na ujinga wenu unasema hujajibiwa swali.

Kwanza mzazi huyo unakuwa na makosa. Sasa uliza swali kwa kutoa mfano sahihi ili useme kama sijakujibu.

Huyo atahesabika ana mpenda mtoto ila ametumia njia ambayo haifai yeye kumuadhibu mtoto wake.
 
mtoto mdogo wa kiislam alikufa Muhammad alienda kwenye msiba , Aisha alamwambia Muhammad huyu mtoto mchanga ataenda mbinguni maana ni muislamu na hajawahi kufanya dhambi , Muhammad akamwambia inaweza kuwa tofauti na akaenda motoni kwani Allah anapanga wa motoni na WA peponi kabla hawajazaliwa
  • A'isha, said Allah's Messenger, there is happiness for this child who is a bird from the birds of Paradise for it committed no sin nor has he reached the age when one can commit sin. He said: 'A'isha, it may be otherwise, because Allah created for Paradise those who are fit for it while they were yet in their father's loins and created for Hell those who are to go to Hell. He created them for Hell while they were yet in their father's loins. Sahih Muslim 2662c
Nitaanza tena kujadiliana na wewe siku ukituliza akili na ukijua kunukuu mambo kwa usahihi.
 
Huu ni mtizamo wako tu na si Sheria ya ulimwengu. Usipowaelewa wengine na wewe usishangae wao kutokukuelewa wewe.
Kwanza nani aliye sema kwamba tuna elewana?

Binadamu hawawezi na hatuwezi kuelewana kwa sababu tuna mitazamo tofauti na
pasipo ku kubaliana binadamu hawawezi kuelewana.

Sheria zipo kwa sababu, Binadamu Hatu elewani. Lakini kupitia sheria wote tunalazimika kuelewana kupitia sheria inavyosema.
Hii Sheria ya kwamba Kila chenye chanzo ni Lazima kiwe na chanzo kingine unaziona kama ni kanuni timilifu?
Ndio ni kanuni timilifu ili pasiwepo "Maulizo" yeyote yale kuhusu chanzo cha kitu kingine. Maana na chenyewe lazima kiwe na chanzo chake.

Ili muundo ule ule ufuatwe, pasiwepo kitu kilicho jitokeza tu chenyewe bila chanzo chake maana kitavuruga muundo mzima, kitazua utata na maswali ya "Maulizo" kwamba kimewezaje kuwepo bila chanzo chake?

Kama kanuni hii si timilifu, Basi hata Dunia Haihitaji kuwa na chanzo.

Na si lazima dunia iwe imeumbwa.

Ila kama dunia lazima iwe imeumbwa na lazima dunia iwe na chanzo chake, Basi hata huyo Mungu lazima awe ame umbwa.

Ili muundo wa Kanuni hii ufuatwe, pasiwepo Maulizo ya nani kamuumba mwenzake.

Ni hivi👇

Kama Mungu Hana chanzo, Basi hata dunia si lazima iwe na chanzo.

Kama Dunia lazima iwe na chanzo, Basi hata Mungu lazima awe na chanzo.

Tuseme chanzo cha kokoto ni Mwamba. Jee chanzo cha mwamba ni nini?
Chanzo cha mwamba, ni mwamba wenyewe, Si lazima mwamba huo uwe na chanzo.

Ukianza kuweka ulazima wa mwamba huo uwe na chanzo, Tunarudi kule kule kwenye ile kanuni yetu ya kwamba 👇

Nani, ni chanzo wa chanzo cha mwamba?

Na Maulizo haya yata endelea to infinity (Endless)
 
Inasibitisha uwepo wake sababu amekuumba wewe, wazazi na wengine wote kadhalika.

Naam, Ardhi imeumbwa na yeye Allah.

Sasa kama humjui mbona unasema hayupo ? Kijana una matatizo ya akili.
Hivi kwani kila kisemwacho kipo, lazima kiwepo?

Wakristo waki kuambia wewe Kisai "Yesu na Bikira Maria" wapo utakubali kwamba wapo kwa vile umeambiwa wapo na umesikia wapo?

Kama huwajui "Yesu na Bikira Maria" je ni kwamba hawapo au wapo?

Inaonekana una tetea sana dini yako ya uislamu, Hujengi hoja.

Niambie una amini uwepo wa Yesu kristo?

Na kama huamini, je ni kwamba Yesu huyo hayupo?
 
Hata mm nimewahi kufikiria sana hiki kitu, sababu mzungu alileta ukridto na mwarabu akaleta uisilamu nani alikuwa na dini sahihi? Na wakaweza kuharibu kabisa utamaduni wa mwafrika na ibada zake zilizokuwa na mafanikio kabla ya wao kija. Zote zilikuwa ni mbinu za kuja kitawala africa tu hakuna kingine.
 
Vijana mnajibiwa maswali kwa usahihi kutokana na ujinga wenu unasema hujajibiwa swali.

Kwanza mzazi huyo unakuwa na makosa. Sasa uliza swali kwa kutoa mfano sahihi ili useme kama sijakujibu.

Huyo atahesabika ana mpenda mtoto ila ametumia njia ambayo haifai yeye kumuadhibu mtoto wake.
Nani kijana?

Njia aliyotumia, kwa mtazamo wako (yaani kumuua) ni ya upendo?

Je, ni ya huruma au ni ya ukatili?
Je, itafurahisha au itahuzunisha ndugu, marafiki na jamii.
 
Kwahyo wewe ni bora utengeneze jibu la uongo ili ukidhi haja zako!?

Hapo nimebold juu umetengeneza logical non sequitur

Mimi kutokujua kwangu hakuhalalishi kivyovyote kuwa jibu la Mungu ni jibu sahihi

Hoja ni wewe unapodai kuna Mungu huyo ambae ndo ameweka jua.

Thibitisha kama kuna Mungu bhasi, hiki ndicho ninachokiomba mimi.
Masai mmoja anayehisiwa kuwa na Ugonjwa wa Kusahau Alikwenda hospitali kumweleza doctor kwamba anasumbuliwa na tatizo la jino kumuuma, alipoulizwa tatizo limemuanza lini masai akajibu 'tatizo gani? "🤣
 
Kumbe Unajitoa Ufahamu tu ila Deep down Unatambua Uwepo wa Muumba si ndio 🤣🤣🤣👍
I don't kwa kweli...🤣Ila hii ni issue ya personal belief Kama timu ya kushabikia. It can be any team coz zote Zina ubora wake. Same as the cosmological argument... Ila kusuppose kwamba ur god of ur religion ameumba kila kitu na amekutokea wewe na anatupangia wote pa kumwagia..🤣hapo I'll have a problem
 
Back
Top Bottom