Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Umewahi kuona, Kushika au kuisikia HEWA ?
Kitu kinaweza kuwepo angalau kwa namna moja ya kuonekana, kushikika, kusikika na kuhisika.

Hewa ipo kwa " kusikika na kuhisika" pia huweza kuwekwa hata kwenye chombo kama mitungi na ika shikika.

upepo unapovuma tuna usikia kwa masikio kabisa upo, Na hewa hiyo ya upepo tuna ihisi kwenye ngozi zetu.

Ndio maana tunahisi joto au baridi.

Hewa hiyo hiyo huweza kuwekwa kwenye mitungi na ikatumika. Mfano mzuri ni mitungi ya hewa ya "Oxygen"inayo tumika hospitalini.

Divers 🏊 ( waogeleaji /wapiga mbizi) pia hutumia mitungi ya hewa ya Oxygen.

Sasa hapa unaona kwamba Hewa ipo na inaweza hata kuwekwa kwenye chombo kama mitungi na Hewa hiyo ika shikika.
Vivyo hivyo kuhusu Mungu, Ukiwa na imani "utahisi uwepo wake"
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.

Mungu huyo hayupo katika uhalisia, ni dhana ya kufikirika tu.

Imagination just an illusion.
 
Tusaidie hicho chanzo ni nini mkuu
Chanzo si lazima kiwepo.

Ukianza kuweka ulazima wa kuwepo chanzo cha kila kitu, Basi hata Mungu mwenyewe lazima awe na chanzo.

Ili muundo ule ule wa ulazima huo ufuatwe kwa vitu vyote, pasiwepo kitu chochote kilicho jitokeza chenyewe pasipo mwanzo.

Maana kitu hicho kitazua 👇

"Contradiction na maswali mengi" kwamba, kimewezaje kuwepo bila chanzo? Na kitavuruga muundo mzima wa ulazima huo.

Yaani itakuwa ni lazima, Chanzo cha Mungu kiwe na chanzo, Na chanzo cha chanzo chake Mungu kiwe na chanzo. Na chanzo cha "chanzo chake Mungu" kiwe na chanzo.

Ili muundo ule ule ufuatwe to infinity hukooooo...

Hapa sasa kutakuwa na Vyanzo vingi visivyokuwa na mwisho
(Endless sources)

Kama umeweza kuamini Mungu usiyemjua hana chanzo, unashindwaje pia kuamini dunia haina chanzo?

Kwa nini uweke ulazima wa kwamba dunia lazima iwe na chanzo?

Kisha umu Exclude Mungu kwamba yeye hana chanzo?

Kama Mungu Hana chanzo, Basi hata Dunia Haihitaji kuwa na chanzo.
 
Ambacho hicho chanzo ni yeye maana yeye ni alfa na ni omega. Au huelewi ila unajifanya atheist
 
Ambacho hicho chanzo ni yeye maana yeye ni alfa na ni omega. Au huelewi ila unajifanya atheist
Kabla ya Mungu kuwa chanzo, Alikuwa wapi?

Huko aliko kuwa, Kabla ya yeye kuwa chanzo kulitoka wapi?

Thibitisha kwamba Mungu ni chanzo.

Mungu huyo aliwezaje kuwa chanzo from nothing?
 
Kadri navyozidi kujua uislamu nachoka kabisa
 
Wewe wa kupigwa makofi. Soma swali lako vizuri ulilo uliza kama umemtaja mzazi pale.
 
Yah nimeelewa ni jau
 
Asa ulichouliza is unrelated ..asa unauliza kwa Nini watu wanaongezeka unataka ujibiwe Nini...wewe ukimwagia demu ndani akapata mimba matokeo yake nini si mtoto, asa mi nikae naelezea reproduction kwa mababa kabisa
 
Mungu hakupanga jamaa apigwe bastola.
Asa ukisema hivyo utalazimika kusema Mungu anabagua, anapendelea watu coz kila siku watu wanakufa kwa bastola na wengine kuteswa mpaka wanakufa... so huyu Mungu muweza yote mjua yote hawezi Tena kuwa mpenda wote. Halafu hizi circumstances zipo, ingetokea mvua ya chura Kama kwenye story za wajinga wayahudi tungesema kweli Mungu ila bunduki kugoma ni circumstances za kawaida... n wat if hio video ni staged vitu vingine mnajikosha tu
 
Yeye ndie anayepanga si unaona maishani hatupo sawa😂...Kwani nan asiyependa kuwa Ellon musk ila yule ni neema yake wewe hukupangiwa.
 
Nasisitiza sana nyinyi sio Waislamu.

Huwezi kulinganisha uandishi wa kitabu chochote kile na Qur'aan. Qur'aan imeandikwa Mtume mwenyewe yuko hai, ikahakikiwa.

Biblia imeandikwa Yesu hayupo, na ina mapungufu mengi sana

Naam, hakuna mtu anae weza kuandika maneno kama Qur'aan. Wenzenu waliikubali Qur'aan baada ya kuisikia na kuisoma na kuilewe. Ile ni kweli tupu isiyo kuwa na shaka ndani yake.

Biblia inaweza kuwa ni uthibitisho wa kuwepo Ukristo ila ikawa sio kweli yenye haki. Hapa tupo duniani kuutafuta ukweli na kuufanyia kazi.

Sababu Qur'aan ni maneno ya Allah, kwa nyakati zilizo pita kulikuwa na Zaburi, Taurati, msahafu wa Ibrahimu na Injili ya Yesu, lakini vitabu hivyo vyote Leo hii havipo kipo kimoja tu ambacho ni Qur'aan sababu hivyo vingine wakati wake umepita.

Bali ushahidi wa uwepo wa Allah ni mkubwa sana na uko wazi mno kuliko ushahidi wa uwepo wako wewe.

Lakini nashangaa mambo ya Biblia yameingiaje hapa ? Hata uwepo wako wewe unathibitisha uwepo wa Mungu.
 
Asa hizi sifa za Mungu anaamua nani, kwani we ni nani mpaka umpangie mtu ..bac na Mimi nasema Mungu hawezi kusikiliza kiarabu tu so Allah hawezi kuwa Mungu na brahma kasema kwenye kitabu chake Cha dini Kama nyie mlivyoambiana in Quran na Hinduism existed way before any Abrahamic religion and it's the oldest organized religion in the world.
 
Bado hujaniumbua kijana, sababu wewe si msomaji. Unanitpotezea muda.

Nataka uje na hoja na ukijue ulicho kinukuu vizuri, na ukubali kujibu maswali nitakayo kuuliza.
 
U can't prove a negative ushaambiwa, Sasa we jizungushe🤣
 
Nenda NASA kawaulize
 
Okay bac ukimaliza kujikosha na jibu la Mungu tuambie huyo mwanasayansi wa kutengeneza hayo yote nae katokeaje tu out of nowhere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…