Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kitu kinaweza kuwepo angalau kwa namna moja ya kuonekana, kushikika, kusikika na kuhisika.Umewahi kuona, Kushika au kuisikia HEWA ?
Hewa ipo kwa " kusikika na kuhisika" pia huweza kuwekwa hata kwenye chombo kama mitungi na ika shikika.
upepo unapovuma tuna usikia kwa masikio kabisa upo, Na hewa hiyo ya upepo tuna ihisi kwenye ngozi zetu.
Ndio maana tunahisi joto au baridi.
Hewa hiyo hiyo huweza kuwekwa kwenye mitungi na ikatumika. Mfano mzuri ni mitungi ya hewa ya "Oxygen"inayo tumika hospitalini.
Divers 🏊 ( waogeleaji /wapiga mbizi) pia hutumia mitungi ya hewa ya Oxygen.
Sasa hapa unaona kwamba Hewa ipo na inaweza hata kuwekwa kwenye chombo kama mitungi na Hewa hiyo ika shikika.
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.Vivyo hivyo kuhusu Mungu, Ukiwa na imani "utahisi uwepo wake"
Mungu huyo hayupo katika uhalisia, ni dhana ya kufikirika tu.
Imagination just an illusion.