Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Thibitisha ya kuwa kweli Brahmna Amesema katika kitabu chake.

Mungu anajielezea yeye mwenyewe kupitia vitabu vyake na wajumbe wake.

Kwani nani amekwambia Mungu anasikiliza Kiarabu tu ? Hivi unaandika nini kijana ?

Soma Uhindu utajua dini dini hiyo imeanzia wapi ? Kwanini hamsomi vijana ?
 
We Can never learn anything from the Atheist perspective. They just have nothing to stand for coz literally you can't say that something is as it is simply bcoz it's as it is 🤣
Same as u can't say god did it and not explain how he did it, n also where he came from
 
Yeye ndie anayepanga si unaona maishani hatupo sawa😂...Kwani nan asiyependa kuwa Ellon musk ila yule ni neema yake wewe hukupangiwa.
Bac sio all loving huwezi sema unapenda watoto wako sawa halafu mmoja unamsomesha Dubai mwingine st kayumba...
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Bac bible inasema Yahweh ndo Mungu wa ukweli na ilitangaza manabii feki ambaye ndo alikuja Muhammad
 
🤣Ushaambiwa binadamu hahitaji Mungu ila Mungu anahitaji binadamu kuexist...ndio maana vitabu vyote ni binadamu wameandika, makanisa misikiti hekalu zote ni binadamu wapo sio Mungu sio malaika ni binadamu ndo ujiulize 🤣 man created god in his own image
 
Bac sio all loving huwezi sema unapenda watoto wako sawa halafu mmoja unamsomesha Dubai mwingine st kayumba...
😂😂Bro kuna hekima kubwa ya kuwa na makundi ,ebu fikiria binadamu wote tungekuwa sawa na angemuongoza mwingine.


Binadamu wote tupate matatizo kwa wakati mmoja ndani angemuuguz mwenzio ,wote tuwe maskini nan angeweza kumsaidia mwenzie.
 
😂😂Bro kuna hekima kubwa ya kuwa na makundi ,ebu fikiria binadamu wote tungekuwa sawa na angemuongoza mwingine.


Binadamu wote tupate matatizo kwa wakati mmoja ndani angemuuguz mwenzio ,wote tuwe maskini nan angeweza kumsaidia mwenzie.
🤣Mbona unaruka ruka ukuta nimekupa swali dogo Sana... we una watoto wawili mmoja yupo anasoma Dubai na mwingine st kayumba afu pia baadae utakuja kumwazibu mmoja kwa Moto na mwingine utampa mazawadi unlimited je Kuna mtu atakuona wewe ni baba mwenye upendo
 
Watoto tena huoni kwa akili za binadamu atapendelea watoto wake.

Kwani hakuna watu wanasomesha watoto sehemu tofauti?

Inawezekana kabisa kutokana na mahitaji ,mimi baba angu mdogo watoto wa kike wamsome shule ya dini tena private na ni shule tofauti mmoja kasomq maawal (mkubwa) na mdogo kasoma Kirinjiko ni Arusha huko...Na wakiume hakuna aliyesoma shule ya private na wamefaulu vizuri tu....Mmoja kapiga one fome 4&6 alikuwa kichww balaa na kasoma shule ya government tangu msingi.
 
Wewe wa kupigwa makofi. Soma swali lako vizuri ulilo uliza kama umemtaja mzazi pale.
Jaribu kufuatilia maswali yangu kwa mtiririko kisha uniambie kama sikumtaja mzazi.

Nimeyaquote hapo chini kama nilivyo kuuliza na kubold neno mzazi pale nilipo litumia.

Njia aliyotumia, kwa mtazamo wako (yaani kumuua) ni ya upendo?

Je, ni ya huruma au ni ya ukatili?
Je, itafurahisha au itahuzunisha ndugu, marafiki na jamii.


Anyway. Pengine hukuona. Pengine hukuelewa. Tusipoteze muda.
Naandika maswali yangu tena hapa chini.

Kitendo cha mzazi kumuua mtoto wake kwa kumchoma moto kama adhabu kitakua cha upendo?
Je, kitakua cha huruma au kitakua cha chuki?
Je, kitakua cha furaha kwa ndugu, marafiki na jamii?


Majibu tafadhali.
 
Inna Dina indallah l-slam.
Usiufananishe uislamu na vitu vingine kijana.
 
Wewe huwezi kujenga hoja.

Kwa vile una egemea upande mmoja tu wa imani yako na kutetea dini yako ya uislamu.

Unapingana na Biblia ila unataka Quran yako hiyo ionekane ndio ya kweli?

Vivyo hivyo unge zaliwa na kufunzwa mafundisho ya kikristo na Biblia tangu utotoni mwako, Ungekuwa unasema Biblia ndio uthibitisho wa uwepo wa Mungu.

Yaani wewe unatumia, Quran kuhalalisha mawazo yako na kuita Quran hiyo eti ndio uthibitisho.

Huwezi kufikiri kabisa wewe.

Achana na Quran na vitabu vya kidini fikiria kwa uhalisia kwa kichwa chako na ufahamu wako.

Maandiko ya kidini yote Biblia na Quran ni fictions stories na Haziwezi kuwa uthibitisho.

Quran hiyo ni kitabu kama vitabu vingine.
 
Bado hujaniumbua kijana,
Nakutaka usirudie kudanganya umma , unadanganya eti mtoto atafika peponi atakuzwa awe mkubwa ajaribiwe ,
Allah ameweka wazi kaumba wa motoni na WA peponi kabla hawajazaliwa na hakuna kitu unaweza Fanya kubadili ata uswali kwa sarakasi kama moto ni moto tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…