Unataka niangalie nini!?Unaangalia upande wa ukatili tu sio ,tatizo lako umebase kweny kulaumu ila neema nyingi huzioni ...
Angalau siku moja upate ulemavu ndio utajua umuhimu wa kuwa kimwili na afya kuwa njema.
Hoja ni hii ambayo imekushinda wewe kujibuUnalazimisha na hauna hoja zaidi ya kulalamika sijaona hoja zako zaidi unalalamika..
Au nionyesha hauna hoja kifupi unalalamika kwa nn yule yupo hivi ? Huyu yupo hivi ? Sio hoja hizo ni vile wewe unataka ..
We umekuwa unalalamika tu hutoa hoja🤣🤣
Kwa uzoefu wangu Mungu hatetewi na wala hajitetei kwa kiumbe mmoja mdogo kama wewe.Hata wewe unaye jidai kumtetea na kumjua Mungu Utakufa na kupita.
Mfano wako huu wa kwamba "tunapita" Hauna mantiki yeyote ya kuonesha uwepo wa Mungu.
Thibitisha Mungu yupo na si mawazo yako ya kufikirika.
Hakuna sehemu sayansi ina madai hayoWanasayansi wanavyosema binadamu ametokana na sokwe unaamini ni kweli
Ungeuliza tu sasa hivi ningekuwa nakujibu.
Si muda naacha mazungumzo nayeye.Huyo utahangaika tu mkuu,
Siku zote Huwa Haelewi hata anachokijibu.
Hajui hata mantiki ni kitu gani
Hivi swala la ndoa linakuaje kwa sisi non religious people?Ungeuliza tu sasa hivi ningekuwa nakujibu.
Wapo mkuu, inakubidi ujipange tu mbona hata kwa wasioamini wapo wa jinsia zote.hivi swala la ndoa linakuaje kwa sisi non religious people?
kwa hapa tz utapata kweli wa kuendana nae?
Unataka niangalie nini!?
Si napima upendo wa Mungu!?
Kwanini wewe unataka tuangalie mazuri pekee!?
Anampima binadamu kwa vile kampa akili.! Ndio jibu nimekujibuHoja ni hii ambayo imekushinda wewe kujibu
Unajibu jibu lisilohusiana na ulichoulizwa.
Ni nini dhumuni la Mungu kutaka kupima watu?
Je Mungu si mjuzi wa yote na hajui matokeo ya vitu anavyotaka kuvipima!?
1.Radi
2.Kutokea kwa Usiku na mchana
3.Mechanism za mwili (ikiwemo sperm zinapotoka)
4.Tetemeko la ardhi
5. Sayari kuzunguka jua
We bro unachekesha sana Yani hayo ndio mamba ambayo binadamu ameweza kuyafahamu na kuyaelezea pasipo dhana ya uwezo wangu ? Nani aliyekudanganya? Wewe Wala haujasoma Sayansi hayo mambo uliyoyataja hapo yote wanasayansi wamechemka
1) RADI
Radi inatokana na mvutano wa electron zenye chaji zinazofana either zote ni +ve au zote ni -ve
Nani aliyetengeneza hizo electron wanasayansi hawana majibu
Nani amezifanya hizo electron zibebe change wanasayansi hawana majibu
Umeme wa radi wanasayansi wameshindwa kuuchukua na kutumia pia Wanashangaa jinsi ulivyo na mamilioni ya voltage
Katika hili Mungu amebaki kuwa Mungu
2) KUTOKEA USIKU NA MCHANA
Usiku na mchana unatokea Kwa sababu Dunia inajizungusha yenyewe
Wanasayansi wanasema Ili kitu kimuvu lazima kuwe na external force
External force inayoifanya Dunia uzunguke ni ipi Hadi Leo wanasayansi hawana majibu na kwanini rotation speed ya Dunia ipo constant pia wanasayansi hawana majibu
3) MECHANISM ZA MWILI
Mechanism zote za mwili zinatumia umeme Hadi Leo hii wanasayansi hawajui source ya huo umeme Nini
4) TETEMEKO LA ARIDHI
Hadi Sasa wanachujua wanasayansi ni kupima ukubwa wa tetemeko yaliyobakia yote wanabahatisha na ndio maana nchi kama Uturuki Wana wanasayansi wengi lakini walishindwa kujua tetemeko litatokea LIni , saa ngapi na Lina ukubwa gani
5) SAYARI KUZUNGUKA JUA
Ingia katika website ya NASA Kila siku wanagundua vitu vipya maana yake ni kwamba hawana majibu sahihi kuhusu mfumo wa ulimwengu
Yani kama Kuna mtu amekuambia wanasayansi wanajua Kila kitu kuhusu huu ulimwengu na viumbe wake basi amekudanganya
We endelea tu kukaa na ujinga wako kuwa hakuna Mungu
Mbona hazizuki Sayari nyingine na viumbe vingine vipya kama Kila kitu kimezuka
View attachment 2750610
Tafuta kitabu kinaitwa A brief history of humankind halafu kisome mpaka utakapokutana na hiyo picha ndio utaelewa hii kelele ya Mungu inaanzia wapi...kimeandikwa na Yuval Noah Harrari....Pia bwana hawking na yeye si wa kumpuuzia pata nakala ya brief history of time...brief answers to big question...ukimaliza hivi vitabu mtafute Lex Fridman kwenye upande wa podcast kuna wataalamu wanaielewa hii dunia kupita kiasi huwa wanapiga story na jamaa...
Kwa watakaouliza Lex Fridman ni nani? Huyu ni proffesor kutoka chuo cha MIT....ukimaliza hutakuwa na haja ya kubishana na mtu yoyote juu ya uwepo wa kisichokuwepo...cha msingi tuu ni kwamba ni vizuri akawepo kwenye akili yako ili ikusaidie katika kuboresha afya ya subconcious mind yako kwa sababu huwa inafanya kazi katika kanuni ya morality...
Tofauti na hivyo utaishia kuwa ni mtu wa grief ukiniuliza ni kwanini jibu ni jepesi ukimkataa wanayemuita Mungu hasa kwa Tanzania ambapo elimu bado ipo chini utakuwa umeyakataa maisha..ambayo mimi binafsi nnamini watu walitumia miaka mingi sana kuimagine reality ambayo ndio imekuwa coded mpaka kwenye DNA yetu na ndio maana ni rahisi hata mtu kuamini kuwa Mungu yupo kwasababu hayo ndio maisha yenyewe..ilisafiri vipi?? Usisahau kuhusu inheritance
Nimalizie kwa kusema life would have been tragic if it weren't funny...
Uzoefu wako upi?Kwa uzoefu wangu Mungu hatetewi na wala hajitetei kwa kiumbe mmoja mdogo kama wewe.
Na huyo Mungu alitokea tu?Kwamba hakuna Mungu? Binadamu katokea tu si ndio unachotaka kumaanisha?
Uliza mkuu
If you can't say that something is as it is, simply because is as it is,We Can never learn anything from the Atheist perspective. They just have nothing to stand for coz literally you can't say that something is as it is simply bcoz it's as it is [emoji1787]