Kumbe unamkuball Kristo na Allah!?Mkuu wewe ni mpinga kristo na Allah. Kwa uzi wako huu tu, mbinguni utapasikia redioni tu....hufiki ng'o!
Siku zao za wapi!?Siku zao za kufa zimefika hakun mpango wa kuishi milele na haiwezekani.
Tatizo hamsomi vitabu vya dini alafu mnakuja kuleta bra bra, mngesoma mkaelewa,Siku zao za wapi!?
Mungu hakuilowesha dunia kwa ghadhabu na kuua mamilioni ya watu!?
Kitendo hiki kinatafsiriwa kuwa ni upendo wote!?
Yes absolutely🤣Ushaambiwa binadamu hahitaji Mungu ila Mungu anahitaji binadamu kuexist...ndio maana vitabu vyote ni binadamu wameandika, makanisa misikiti hekalu zote ni binadamu wapo sio Mungu sio malaika ni binadamu ndo ujiulize 🤣 man created god in his own image
Kwamba uislamu usifananishwe na dini zingine wakati zote zinafundisha mauongo tu!?Inna Dina indallah l-slam.
Usiufananishe uislamu na vitu vingine kijana.
Wewe uliye practice hiyo MeditationUna uhakika unachokizungumza bwana mdogo ? Au ilimradi upinge tu....Kwa nlivyokusoma ni kwamba umeshadhamiria "KUKATAA" yani ni mtu ambae haupo tayari kujua undani wa jambo ambalo akili yako ilishasema halipo..
Hata hivyo rohoni sio uhalisia kwa maana sio jambo ambalo lipo in physical form so kwa hapo upo sahihi, lakini sio ILLUSION kama madai yako unavyosema...Practice then ulete mrejesho na sio hizi bra bra.
Nna wasi wasi na afya yako ya akili, Nmeshakueleza wazi pamoja na yule mwenzako, Jifunze meditation then mje mlete mrejesho hapa kuwa ile hali anayopitia mtu wakati wa meditation ni nini,Wewe uliye practice hiyo Meditation
Na kusema ipo, Nieleze ipoje?
Ni prove wrong kwamba Meditation sio illusion.
Mbona una zunguka zunguka tu, bila kuelezea muonekano wa hiyo Meditation?
Hata meditation haujui ni nini, ukaja na jibu jepesi eti ni Illusion, yani nyinyi watu mnashangaza kusema kweliWewe uliye practice hiyo Meditation
Na kusema ipo, Nieleze ipoje?
Ni prove wrong kwamba Meditation sio illusion.
Mbona una zunguka zunguka tu, bila kuelezea muonekano wa hiyo Meditation?
Wewe unaye ijua hiyo Meditation, Nakwambia hivi eleza ipo kwa namna gani?Hata meditation haujui ni nini, ukaja na jibu jepesi eti ni Illusion, yani nyinyi watu mnashangaza kusema kweli
Neno "fikra" ni la kufikirika halipo kwenye uhalisia.Kwann mwanadamua anatumia fikra zake zisizoonekana kujadili kisichoonekana na kujihesabia Hali yeye na kujiamini ilhali hazioni fikra zake.
Ni ajabu Kuona m2 anatumia Law of Causality ila m2 huyo huyo kuipinga Sheria hiyo hiyo ikisapoti upande mwingine.
Kuanza na "je" maana yake swali linaulizwaNani akuamini kwa jibu jepesi kama hilo, Hata wewe mwenyewe hujiamini ndio maana umeanza na "Je"
Huoni kuwa unaongelea masazo yako na Yale upendayo.Sasa Mungu hayupo kwa namna yoyote ile kati ya hizo nne hapo Haonekani, Hasikiki, Hashikiki na wala Haisiki.
Kwahiyo hata akili zako hazipo real.Neno "fikra" ni la kufikirika halipo kwenye uhalisia
Akili Haipo kwenye uhalisia.Huoni kuwa unaongelea masazo yako na Yale upendayo.
Kwahiyo hata akili zako hazipo real.
Okay bruh, we done now.
So unajiamin kipi kuwa upo na Absolute truth juu ya Jambo la wenzio unaowapopoa Kama akili unaamini haiwezi kuwa halisia.Akili Haipo kwenye uhalisia.
Akili ni neno la kufikirika tu linalo onyesha hali ya kibinadamu ya kuwa na uwezo fulani.
Kama una Akili, ilete hapa ni ione.
Absolute truth ni nini?So unajiamin kipi kuwa upo na Absolute truth juu ya Jambo la wenzio
Akili ni nini? Ulisha wahi kuiona?unaowapopoa Kama akili unaamini haiwezi kuwa halisia.
Na Kama ni hivyo Taarifa ulizonazo zoote ziweke kwenye mabano Mana yaweza kuja Siku ukawa na hoja tofauti kuzielekea taarifa hizo.
✅Nakuacha na walokole Brother.
Uwanja ni huu, sahihisha makosaTatizo hamsomi vitabu vya dini alafu mnakuja kuleta bra bra, mngesoma mkaelewa,
Anajua akili zake ndio maana anampa mitihani kwa vile kampa akili🤣.Hilo ndio jibu .!!Hujajibu swali,
Hujibu unacho ulizwa, unajibu usivyo ulizwa.
Naku uliza hivi 👇
Mungu huyo hajui Akili za wanadamu zilivyo hadi azipime?
🤣🤣🤣Vitu vipo vingi, tofauti na kiumbe ndio maana hata shule unapewa mtihani kulingana syllabus yaani kitu mlichosoma na kipo ndani ya uwezo wenu, ila bado wengine wanafeli.Unaweza kupima kitu unachokijua?
Kufa ni adhabu? Kifo sio adhabu wala majanga sio adhabu ndio maana kifo unaweza kupata kwa style yeyote ile sio lazima uumwe au upate ajali...Kifo ni mfumo tu kama kuzaliwa yaani kunq kuzaliwa na kufa na wala hamna guarantee ya kuishi miaka fulani kila mtu span of time ya kuishi dunia.Siku zao za wapi!?
Mungu hakuilowesha dunia kwa ghadhabu na kuua mamilioni ya watu!?
Kitendo hiki kinatafsiriwa kuwa ni upendo wote!?