Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Kwa maelezo nliyokupa na ulivyoanza kujibu, no dhahiri shahiri ulikuwa ukimaanisha kwamba nmesema kifo ni adhabu.

Nlikuwa naongelea ghadhabu ya Mungu wako hadi akaua watu kwenye gharika.
Je kitendo hicho kinadefine upendo wote!?
Sasa kuua watu sio ghadabu maana kila mtu atakufa kama ulizaliwa basi utakufa tu.
 
Kwanini unatoa mfano ambao hauwezi kuiweka katika hiki tunachokijadili ?

Ukiambiwa huna akili utasemaje ? Jenga hoja kwa hoja ninazo simama nazo Mimi.

Huu utoto usiandike tena.
Huelewi maana ya mfano,

Huelewi kwamba nkitoa mfano pia ni sehemu ya kujenga hoja kwa picha iliyo rahisi.

Huna ulijualo, communication skills tu zero.

Hujui kujibu maswali, unaulizwa hiki unajibu vingine

Unarekebishwa unalazimisha mambo.

Haujui hata umuhimu wa mantiki

Umefungwa akili na Uislamu

Yaani umezidiwa na mtu asiyejua kusoma na kuandika.

Kujadiliana na wewe ni bure kabisa
 
Haya maswali nilishakujibu na hapa nakujibu tena.

Kwa mzazi sababu ni mwanadamu atakuwa amefanya kosa kutumia moto kumuadhibu mwanae, hii ni kwa sababu jambo hilo lipo kwa Mola pekee.

Lakini, kama alikusudia kumuonya na si kumuua, tutasema alikuwa na nia njema kwa mwanae na mapenzi ila alitumia njia ambayo si sahihi. Sababu Kuna adabu za kuadhibu na kumpiga mtoto.

Suala la ndugu au rafiki kuwa na furaha au huzuni hili si swali la msingi, lakini jalia ni jambo la msingi hawataangaliwa hao ndugu na jamaa.
Nimeuliza wapi kama mzazi atakua amefanya kosa au la?? Hilo ni jibu la swali gani kati ya maswali matatu niliyouliza?

Naomba majibu ya maswali yangu tu. Hayo unayo yasema sijauliza popote.

Nimeuliza kuhusu mzazi anaye muua mtoto wake kwa moto kama adhabu. Yaani adhabu anyoitoa ni ya kumuua kwa moto.
Yaani ameamua kutumia njia hiyo (ya kuua).

Ukisema "kama alikusudia kumuonya na sio kumuua" unaleta mawazo yako ambayo mimi sijayauliza. Mimi nimeuliza kuhusu kuua na si kuonya.
Unaweza kuonya kwa kuua?

Mzazi kumuua mtoto wake kama adhabu ni kitendo cha upendo?


Nakuuliza kama kitendo cha mzazi kumuua mtoto wake kama adhabu kitakua cha furaha kwa ndugu, marafiki na jamii.

Wewe unajibu.
Swala la ndugu au rafiki kuwa na furaha au huzuni si swala la msingi pasipo hata kujaribu kujibu!

Niliyekuuliza nimeona ni swala la msingi ndiyo maana nikata majibu yake. Nisingeona msingi wa swali nisinge uliza.

Hakuna sehemu ulipo jibu swali langu hata moja
1. Kitendo cha mzazi kumuua mtoto wake kwa kumchoma moto kama adhabu kitakua cha upendo?

2. Je, kitakua cha huruma au kitakua cha chuki?

3. Je, kitakua cha furaha kwa ndugu, marafiki na jamii?


Nijibu tuendelee na mjadala.
 
Watu kama ninyi si watu wa kujadiliana nao.

Kumbe hata kiswahili tu hatuelewani
Umeshindw nenda kwani lazima 😁😁...Mtu mwenyewe wa kawaida na hauna hoja .


Ghadhabu zipi ?hakuna ghadhabu ya kifo atakupa Mungu zaidi kifo chako kimefika ni wajibu.
 
Umeshindw nenda kwani lazima 😁😁...Mtu mwenyewe wa kawaida na hauna hoja .


Ghadhabu zipi ?hakuna ghadhabu ya kifo atakupa Mungu zaidi kifo chako kimefika ni wajibu.
Unaelewa hata ghadhabu bhasi!!
 
Jibu swali uliloulizwa
Mungu hana ghadhabu ya kuua na wala hawezi kukuua kwa vile umefanya makosa ...Nimejibu mara kibao kwani hujui kusoma ?

Wewe ndio umesema sijui ghadhabuza kuua watu👇👇 aliyeandika hapa ni nan ?

Maana sijakuambia kwamba Mungu anatoa adhabu wala ghadhabu ya kuua ,usijitungie swali tulia kweny mada .!!
Screenshot_20230916-205713.png
 
Mungu hana ghadhabu ya kuua na wala hawezi kukuua kwa vile umefanya makosa ...Nimejibu mara kibao kwani hujui kusoma ?

Wewe ndio umesema sijui ghadhabuza kuua watu👇👇 aliyeandika hapa ni nan ?

Maana sijakuambia kwamba Mungu anatoa adhabu wala ghadhabu ya kuua ,usijitungie swali tulia kweny mada .!!
View attachment 2751470
Embu niambie ghadhabu inamaana gani?
Halafu tuone nani mjinga mjanja
 
🤣🤣🤣🤣Duu...so kaumba dunia kamweka nyoka atutese ili kuprove ye ana nguvu. It's lyk useme wazazi wako wakuzae afu wakutupe barabarani miaka na Miaka ili waone Kama utaweza kuishi afu baadae ndo wanarudi...🤣how is this not evil
Mungu hakumpa nyoka uwezo wa kusema ila huyu malaika mwovu muasi shetani ibilisi ambaye ni mchongezi na mpinzani wa mungu ,alitumia nyoka kumdanganya hawa

Ikiwa tungeumbwa kwa jinsi mungu anavyotaka tusingekuwa na tofaut na roboti mungu ametuumba tufurshie maisha na tumpende na kumtii kwa hiari yetu si kulazimishwa
 
Watoto tena huoni kwa akili za binadamu atapendelea watoto wake.

Kwani hakuna watu wanasomesha watoto sehemu tofauti?

Inawezekana kabisa kutokana na mahitaji ,mimi baba angu mdogo watoto wa kike wamsome shule ya dini tena private na ni shule tofauti mmoja kasomq maawal (mkubwa) na mdogo kasoma Kirinjiko ni Arusha huko...Na wakiume hakuna aliyesoma shule ya private na wamefaulu vizuri tu....Mmoja kapiga one fome 4&6 alikuwa kichww balaa na kasoma shule ya government tangu msingi.
Naona unajikosha unataka Arusha na wapi cjui... na private na government inategemea ni wapi ila sometimes tofauti ni ndogo sana... wewe Kama baba Leo hii umsomeshe mtoto secondary Dubai afu mwingine st kayumba just coz umeamua hautakuwa a fair parent kwa mtu yoyote afu hapo nimegusa tu elimu...sijaenda mambo mengine ya chakula nguo malazi etc huwezi kusema una mapenzi na wote wakati clearly mmoja anapendelewa
 
...ko wanafanya kurithishana? Kwanini unasema zimeanzishwa na matapel?... Na vp kuhusu MUNGU, MOHAMED, NA YESU Unaweza niambia kwa uelewa wako mkuu? Natanguliza Shukurani... SimbaMpole123
They were either mad au liers... Muhammad inajulikana alikuwa anatunga sheria on the fly na anasema ni revelation yaani anaulizwa kitu hiki vipi afu Mungu ana "reveal" verse hapo hapo na hadiths kibao zimesema hivi. kuhusu Yesu there is little to no evidence of his existence ukitoa christian sources so siwezi comment on his existence ila Sina shida if he existed. Ila kwenye hizi hizi story za Yesu in the 4 gospels Kuna contradictions kibao kuhusu kuzaliwa, kufa na kufufuka kwake which makes it seems obvious kwamba walifabricate story yake ili kutimiza maandiko ya zamani. Yaani self fulfilling prophecy
 
Mungu hakumpa nyoka uwezo wa kusema ila huyu malaika mwovu muasi shetani ibilisi ambaye ni mchongezi na mpinzani wa mungu ,alitumia nyoka kumdanganya hawa

Ikiwa tungeumbwa kwa jinsi mungu anavyotaka tusingekuwa na tofaut na roboti mungu ametuumba tufurshie maisha na tumpende na kumtii kwa hiari yetu si kulazimishwa
Huwezi kumwambia mtu aenjoy maisha afu umchome moto kisa kumwaga tumboni
 
View attachment 2750610
Tafuta kitabu kinaitwa A brief history of humankind halafu kisome mpaka utakapokutana na hiyo picha ndio utaelewa hii kelele ya Mungu inaanzia wapi...kimeandikwa na Yuval Noah Harrari....Pia bwana hawking na yeye si wa kumpuuzia pata nakala ya brief history of time...brief answers to big question...ukimaliza hivi vitabu mtafute Lex Fridman kwenye upande wa podcast kuna wataalamu wanaielewa hii dunia kupita kiasi huwa wanapiga story na jamaa...

Kwa watakaouliza Lex Fridman ni nani? Huyu ni proffesor kutoka chuo cha MIT....ukimaliza hutakuwa na haja ya kubishana na mtu yoyote juu ya uwepo wa kisichokuwepo...cha msingi tuu ni kwamba ni vizuri akawepo kwenye akili yako ili ikusaidie katika kuboresha afya ya subconcious mind yako kwa sababu huwa inafanya kazi katika kanuni ya morality...

Tofauti na hivyo utaishia kuwa ni mtu wa grief ukiniuliza ni kwanini jibu ni jepesi ukimkataa wanayemuita Mungu hasa kwa Tanzania ambapo elimu bado ipo chini utakuwa umeyakataa maisha..ambayo mimi binafsi nnamini watu walitumia miaka mingi sana kuimagine reality ambayo ndio imekuwa coded mpaka kwenye DNA yetu na ndio maana ni rahisi hata mtu kuamini kuwa Mungu yupo kwasababu hayo ndio maisha yenyewe..ilisafiri vipi?? Usisahau kuhusu inheritance

Nimalizie kwa kusema life would have been tragic if it weren't funny...
Ndo aliyesema kwamba hauwezi mfanya nyani akupe ndizi yake after u promise it unlimited bananas in monkey heaven
 
Back
Top Bottom