Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Huu utoto ndio ambao tunaukemea kila siku, kuleta habari za kusikia. Hivi huna akili hata ya kufatilia mambo ukajua ukweli ?

Ndio maana kwa uzwa uzwa wenu mnadai Mungu hayupo, yaani wajinga sana nyinyi vijana.

Tangu mwanzo naanza huu mjadala, nasema mnatupa kazi mara mbili, kwanza kukosoa mnayo ya nukuu pili kuwakosoa hoja zenu.

Tumeambiana hivyo wapi ? Huu utoto acheni. Leta nukuu iliyo sahihi tujadiliane.

Sasa nije na hoja mara ngapi, na hizi ambazo zipo zinawashinda mnaruka ruka tu.
Quote sehemu niliyosema Mungu hayupo
 
Asiyeamini Mungu kwanini ahangaike kumtafuta alipo?

Tunaoamini tunafahamu kuwa yupo karibu yetu wakati wote.

Qur'an 2:186. Na waja wangu watakapo kuuliza khabari zangu, waambie kuwa Mimi nipo karibu. Naitikia maombi ya mwombaji anapo niomba. Basi na waniitikie Mimi, na waniamini Mimi, ili wapate kuongoka. 186
😭Oooh no Faiza kaja kuharibu Uzi na propaganda zake za kiislaamu ..
 
Once boxer Muhammad Ali was asked as to why he believes in God on tv

He picked up the glass next to him and said “if I tell you this glass with juice within, formed by itself, you will say I am crazy and you want me to believe that this whole Universe formed by itself!!”
Huyo Mungu katoka wapi
 
Wewe unaye ijua hiyo Meditation, Nakwambia hivi eleza ipo kwa namna gani?

Ni prove wrong kwamba Meditation sio illusion?

Si unasema si ijui, ni prove wrong kwamba Meditation sio illusion?

Acha kuzunguka zunguka. Jibu swali.
Inaonekana walimu wako walipata tabu sana.
 
That's like saying,..If a Baker baked a cake then who baked the Baker?

Does a Baker also needs to be baked,like a cake?
Your example is too shallow.

Baker is a Human being, Cake is just a food.

Automatically,This is a Logical non sequitur.

Una unganisha vitu viwili visivyo na UHUSIANO wowote ule kupata Hitimisho potofu.
 
Kuanza na "je" maana yake swali linaulizwa

Yani wewe kigezo chako cha kupima kujiamini au kutokujiamini kwa mtu ni matumizi ya "je" kwenye sentensi?

Swali kubwa lilikuwa kwamba dunia na vitu vyake lazima viwe na muumbaji haviwezi kujileta.

Kusema dunia itakuwepo, ilikuwepo na itaendelea kuwepo na vitu vyake ndani, haina mwanzo wala mwisho na haina mtengenezaji kwako ni jibu jepesi ambalo unadhani hakuna atakaeniamini

lakini ukiulizwa mungu alitokea wapi unakubali kwamba mungu hana mtengenezaji, alikuwepo, ataendelea kuwepo, hana mwanzo wala mwisho na kwako hili unaona sio jibu jepesi.

Kama unakubali mungu anaweza kuwepo bila mtengenezaji kwanini nikikwambia hivyo hivyo kwa dunia unaona ni jibu jepesi ambalo haliwezi kuaminika?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Ukiniuliza habari za kuwa yeye alitengenezwa na nani, Sidhani kama kuna mtu anaefahamu wala atakuja kufahamu...Sisi tumeumbwa tumjue yeye tu,, Hizo habari za alitengenezwa na nani tutaumiza vichwa na kudanganyana na tusijue kamwe.
 
Huyo Mungu katoka wapi
Yeye ndiyo kaumba huko wapi unapojiuliza, wapi hapakuepo kabla yake. Bali yeye ndiyo amefanya wapi kuwepo., Hakuhitaji kutokea mahali popote kwasababu popote hapawezi kuwepo bila yeye kupafanya pawepo.
Hopefully unaelewa hii falsafa!

Omnipresence: God is present everywhere, transcending space and time. This means that God is not limited by physical boundaries and can be experienced and accessed from anywhere.
 
Ukiniuliza habari za kuwa yeye alitengenezwa na nani, Sidhani kama kuna mtu anaefahamu wala atakuja kufahamu..
Kama hakuna anaye fahamu Mungu alitengenezewa na nani,

Aliyesema Mungu yupo alifahamu vipi Mungu huyo yupo?

Alifanya utafiti gani na uchunguzi upi, Akafahamu Mungu yupo?

Kama Mungu aliweza kufahamika yupo, Inashindikana nini kujua yeye alitengenezewa na nani?

Kama mmeweza kujua Mungu huyo yupo, Mnashindwa vipi kujua alitengenezewa na nani?
.Sisi tumeumbwa tumjue yeye tu,,.
Una uthibitisho wa kwamba tuliumbwa?

Kuna ulazima gani wa sisi kuwa tumeumbwa?

Kama ni lazima kwamba sisi tuwe tume umbwa, Mungu huyo na yeye aliumbwa na nani?

Kama Mungu haku umbwa, unashindwaje kuamini dunia Haiku umbwa?
Hizo habari za alitengenezwa na nani tutaumiza vichwa na kudanganyana na tusijue kamwe.
Kama hujui Mungu alitengenezwa na nani, ume juaje yupo?

Ila mnashindwa kumthibitisha yupo.
 
Yeye ndiyo kaumba huko wapi unapojiuliza,
Kabla ya kuumba "Huko wapi" yeye Mungu alikuwa wapi?

Huko aliko kuwa kabla ya kuumba kulitoka wapi?
wapi hapakuepo kabla yake.
Kwamba alitokea tu, from nothing
Kusipokuwepo kitu?
Bali yeye ndiyo amefanya wapi kuwepo., Hakuhitaji kutokea mahali popote kwasababu popote hapawezi kuwepo bila yeye kupafanya pawepo.
Amefanya akiwa wapi?

Hiyo "wapi" ali ifanyia wapi?

Hadi "wapi" hiyo ikaweza kuwepo?
Hopefully unaelewa hii falsafa!
Hii falsafa yako ina Logical Contradiction.
Omnipresence: God is present everywhere, transcending space and time. This means that God is not limited by physical boundaries and can be experienced and accessed from anywhere.
 
Your example is too shallow.

Baker is a Human being, Cake is just a food.

Automatically,This is a Logical non sequitur.

Una unganisha vitu viwili visivyo na UHUSIANO wowote ule kupata Hitimisho potofu.
Wewe ndiyo umeanza kwa kuhusianisha & kuunganisha vitu ambavyo havina uhusiano kabisa.
Sasa kama unajua Cake na Baker ni vitu viwili tofauti na haviwezi kuwa compared kwenye mantiki kama hiyo, kwanini umeshindwa kujua kwamba Mungu na Viumbe ni tofauti?
Yani unataka sifa zilezile za viumbe uzikute kwa Muumbaji.

Pitia hii sifa ya Mungu hapa chini kisha nadhani hoja yako kwamba imekuaje Mungu ana exist from nothingness itakua ime expire, ipo hivi God is eternal being existed before everything else, including the concept of "nothingness."

God is the Uncaused Cause:
This means that God is considered self-existent and not dependent on any external cause or creator. God is posited as the initial and uncaused source from which everything else originates.

Hivyo basi kama still unaamini Muumbaji atakua na sifa kama za viumbe including Universe,yaani na Yeye ana sifa kama zetu mfano kuwa Hai na kufa , upo huru kuendelea na Imani yako Mkuu.
 
Kabla ya kuumba "Huko wapi" yeye Mungu alikuwa wapi?

Huko aliko kuwa kabla ya kuumba kulitoka wapi?

Kwamba alitokea tu, from nothing
Kusipokuwepo kitu?

Amefanya akiwa wapi?

Hiyo "wapi" ali ifanyia wapi?

Hadi "wapi" hiyo ikaweza kuwepo?

Hii falsafa yako ina Logical Contradiction.
Mbona kila kitu kipo wazi, tuliza akili tu

God is eternal and not bound by time or space. Hivyo basi, the concept of "where was God" "before" creation, in the sense of a linear timeline, doesn't not apply to God.

wewe unaamini Ili kitu kiweze kuwepo inahitaji space& time na ndiyo maana unakua obsessed na hilo swali la "Wapi" kwa Mungu haipo hivyo.
 
Yeye ndiyo kaumba huko wapi unapojiuliza, wapi hapakuepo kabla yake. Bali yeye ndiyo amefanya wapi kuwepo., Hakuhitaji kutokea mahali popote kwasababu popote hapawezi kuwepo bila yeye kupafanya pawepo.
Hopefully unaelewa hii falsafa!

Omnipresence: God is present everywhere, transcending space and time. This means that God is not limited by physical boundaries and can be experienced and accessed from anywhere.
So yeye alikuwepo tu
 
Mbona kila kitu kipo wazi, tuliza akili tu

God is eternal and not bound by time or space. Hivyo basi, the concept of "where was God" "before" creation, in the sense of a linear timeline, doesn't not apply to God.

wewe unaamini Ili kitu kiweze kuwepo inahitaji space& time na ndiyo maana unakua obsessed na hilo swali la "Wapi" kwa Mungu haipo hivyo.
Unathibitishaje kwamba God is not bound by time or space?
 
Okay watu ambao walizaliwa na kufa bila kujua injili wanaenda wapi baada ya kufa?
Kila mtu atahukumika kulingana na uelewa wake wa sheria, hata kama injili haijakufikia kujua kwamba "kuua", "kuiba" na "kusema uongo" ni vitu ambavyo vilikuwa vinapingwa kweny jamii zetu hata kabla injili kufika....hivohivo vitu ambavyo ulikuwa unauelewa navyo kuwa havifai kumfanyia mwanadamu mwenzako hivohivo ukahukumiwa navyo sio lazima uisikie injili ndo uwe na moral conviction, kila binadamu amezaliwa na moral conviction, kwasababu mungu ameweka kwa kila binadamu uwezo wa kutambua mema na baya mioyoni mwetu. Nadhani nimeeleweka?
 
Unathibitishaje kwamba God is not bound by time or space?
Imani ni kitu cha ajabu sana kaka, believing in God and to be a believer is to be naive, you believe in something that you didn't see and you can't see but you just believe it's there regardless, that's what it means to be a believer, to be naive.
 
Back
Top Bottom