Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Safi sana mkuu.
Kifupi bible inaposema, "Hapo mwanzo, mungu aliumba mbingu na nchi" inachomaanisha ni kwamba
Hapo mwanzo=Time, God created time
Mbingu= Space, God created space(the thing that holds/occupies all the matter in the universe)
Nchi= Matter, God created matter(stars, planets, comets etc)
These are the basic things our universe is made up from.
So if "God" created these things he is not bound by them, its very simple to understand, if he is God he has to be boundless.
He does not follow our timeline, he is not bound to our timeline.
He is not bound to our space, he can go in and out of our space.
Things like space and time mean nothing to him.

Nitoe mfano mmoja, sisi binadamu tumetengeneza computer, computer ina uzito(matter) na inachukua nafasi(occupies Space) na ina mwanzo wake(tulipoitengeneza ndo mwanzo wake(time)), sasa niulize swali, sisi binadamu kama mungu wa computer......
Je tuko ndani ya hio computer??
Je sisi binadamu lazima tuwe ndani ya hio computer ili ifanye kazi??
Je sisi binadamu tunaweza kutafsiriwa na hio computer tulio itengeneza(computer inaweza kweli ikachambua ubinadamu wetu wakati tulikuwepo kabla yake na sisi ndio tuliofanya iwe kitu)??
 
Akili yako ipo limited kujua mambo, Hautokaa ujue mpaka unatoweka kwenye uso huu wa dunia usipoifungua.

Labda nkuulize kwa ufahamu wako, Binadamu wa kwanza ilitokeaje akawa ni binadamu ?
 
Akili yako ipo limited kujua mambo, Hautokaa ujue mpaka unatoweka kwenye uso huu wa dunia usipoifungua.

Labda nkuulize kwa ufahamu wako, Binadamu wa kwanza ilitokeaje akawa ni binadamu ?
Kwa nini unadhani binadamu alitokea?

Binadamu yupo tu, Hajatokea.

Ukianza kuweka ulazima wa kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Basi Hata Mungu lazima ueleze aliko tokea.

Unavyo weza kuamini Mungu usiyemjua Hana chanzo Basi hata binadamu hana chanzo.
 
Imani ni kitu cha ajabu sana kaka, believing in God and to be a believer is to be naive, you believe in something that you didn't see and you can't see but you just believe it's there regardless, that's what it means to be a believer, to be naive.
Mkuu, Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika.

Na ukweli Hauendani na imani, ukweli una endana na kujua, uwepo wa proofs, evidences, Logic na facts.

Mtu akisema ana "imani" ,Maana yake ni kwamba hana uhakika wa kitu hicho kwamba ni kweli kipo au hakipo

Ana bahatisha tu.
 
Unathibitishaje kwamba God is not bound by time or space?
Siwezi kukuthibitishia kwa kukufanya uone, usikie lakini unaweza ku feel kwa kwa kutumia akili yako na Ina make sense.
Tuanze na suala la kutokua limited by space., Ipo hivi najua unafahamu kwamba Mchoraji hahitaji mchoro wake Ili aweze ku exist., So Let's assume the whole universe ime vanish hiyo inamaanisha hakuna space tena as per our knowledge, Lakini Hiyo haimaanishi kwamba Muumbaji atakua hayupo eti kisa Space haipo tena,
So, Just as an artist exists independently of the canvas they paint on, God exists independently of the space that makes up the universe.

Tuje upande wa kutokua limited by time,.. Just as an author's thoughts persist even when they pause from writing. Even if time were to stop, God would remain unaffected and continue to exist,
 
Umeelezea vizuri sana Mkuu,.. mtu asipoelewa na hapa sasa itakua ni ubishi tu,

Well said kaka 🤝🏼
 
Yes ni kweli, umeongea kilekile nilicho ongea but kwa kutumia maneno mengine.
Imani ni kubahatisha sawa, lakini je maisha haya si ni kubahatisha tuu?
Unalala usiku Huna uhakika kama utaamka asubuhi but you hope kwamba mambo yataenda sawa na utaamka asubuhi, maisha ni kama ku-bet kuna mambo tunafanya hatujui yataleta matunda gani but we do it anyway, si ndio? We are not sure of anything.
Maisha yetu yanaweza kuondoka muda wowote lakini bado tunapambana kila siku kuboresha yetu kwa sababu tuna imani we will live but we are not sure.

SHIDA YA KIBADANAMU SIO KWAMBA ANATAKA KUJUA MUNGU YUPO AU HAYUPO, SHIDA YA BINADAMU HATAKI MUNGU AWEPO KWA SABABU KAMA MUNGU KWELI YUPO, MAANA YAKE YEYE SIO MKUU TENA, KUJUA KWAMBA KUNA AMBAYE NI MKUU ZAIDI YAKE SIO KITU AMBACHO BINADAMU ATAFURAHI KUGUNDUA.
BINADAMU ANA TAMANI YEYE NDO AWE MUNGU ILI AWE FREE KUFANYA ANACHOTAKA NA ANACHOPENDA NDO MAANA ANAPOTEZA MUDA BUILDING LOGIC AND CRAFTING SCIENTIFIC FACTS ILI APPROVE KWAMBA MUNGU AYUPO ILI YEYE AWE MUNGU.
 
Kabla ya "Hapo mwanzo" Mungu huyo alikuwa wapi?

Huko alikokuwa kabla ya
"Hapo mwanzo" kulitoka wapi?

Unataka kusema Mungu huyo alitokea tu, Vuuuuuuuuuuh! 😄😄 Akaanza uumbaji?
Computer ili ifanye kazi lazima binadamu aamue ifanye kazi.

Computer iko Programmed kufuata matakwa ya binadamu kufanya kazi yake.

Computer Haiwezi kujiamulia kitu yenyewe, Pasipo command ya mwanadamu.

Sasa niambie, Je na Binadamu yuko programmed kama computer?

Kama Binadamu yuko programmed, Mbona Mungu huyo anashindwa kumzuia binadamu huyo asifanye uovu na mabaya?

Ilhali yeye Mungu muumbaji hapendi uovu na mabaya?

Je yeye Mungu mtengenezaji wa Binadamu, Hakujua binadamu aliye mtengeneza atakuja kufanya uovu na mabaya?
Je sisi binadamu tunaweza kutafsiriwa na hio computer tulio itengeneza(computer inaweza kweli ikachambua ubinadamu wetu wakati tulikuwepo kabla yake na sisi ndio tuliofanya iwe kitu)??
Computer Haiwezi kujiamulia mambo yenyewe tu, pasipo mwanadamu kui process na kuipa command.

Sasa Mungu huyo aliumba ulimwengu na Binadamu ambao Hawezi kuwa control, Hadi wakaweza kufanya dhambi na mabaya?

Mungu huyo yupo kweli?
 
Kwa hiyo ulitaka binadamu wote wawe sawa🤣🤣logic ya Mungu haipo hivyo matabaka ndio mfumo kaweka .

Nimekupa mfano wa binadamu ila Mungu hayupo hivyo na wala huwezi kufananisha kwa matamanio ya mwanadamu anayejipendelea ,hata binadamu angekuwa anatoa riziki angependelea hata viongozi tunaona wanavyojilimbikizia mali wakati wengine wanapata tabu.

Logic ya Mungu kwa mifano ya binadamu haviendani kabisa jaribu kutumia akili then uliza tena!?
.
 
Maswali yote hayo uliyoniuliza yana majibu, sema nimechoka kutype mzee na yanahitaji ufafanuzi mkubwa sana na sidhani kama nina hizo nguvu za kuandika majibu unayotaka.
Na cha muhimu zaidi sidhani kama kweli unataka kujua au unataka kubishana tuu😅
 

Kama Mungu alitaka binadamu wote tumjue yeye yupo, Alishindwaje kuumba Binadamu wenye UFAHAMU wa kumtambua yeye yupo kwa wakati wote?

Na kutu ondolea, kufuta na kudhibiti UFAHAMU wa sisi Binadamu Kutomtambua yeye hayupo?
 
Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu
Kama kitu hukielewi huna justification ya kuita utapeli.
Mungu hajakuumba ukosee lakini ili akuangamize ndio maana kuna room ya kuomba msamaha, Pia Mungu asingeweza kutuumba kama Maroboti tuwe tu tunamtii, Ni sawa na wale wanawake wanaowatengeneza wake au waume zao kiuchawi, hapo ndoa inakuwa na raha gani? Unaishi na lijitu ndani kama ndondocha,

Mungu ametupa uhuru tuchague mema tuishi milele au tuchague mabaya atuangamize.

Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje
Unahitaji kuomba ndio upewe, hii ni kanuni ya Dynasties zote Duniani, hata kwa Mungu iko hivo.
 
Broo naomba nikuulize swali, ww unaamini katika nn?
Kwamba hakuna mungu au mungu wapo wengi, atheism or polytheism??
 
Maswali yote hayo uliyoniuliza yana majibu,

Yalete hayo majibu na uya thibitishe.
Mungu huyo aliwezaje kutokea tu Vuuuuuuuuuuh! 🤣🤣Akaanza uumbaji?

Kwamba hakuna sehemu yeyote aliyo kuwepo kabla ya uumbaji.
sema nimechoka kutype mzee na yanahitaji ufafanuzi mkubwa sana na sidhani kama nina hizo nguvu za kuandika majibu unayotaka.
Na cha muhimu zaidi sidhani kama kweli unataka kujua au unataka kubishana tuu😅
 
Mungu muweza wa yote, Alishindwaje kuumba Binadamu wema tu wasio na uwezo wa kutenda mabaya?

Kwa nini awa angamize wabaya? Wakati uwezo wa kuwafanya watende mema alikuwa nao, na anao?

Kama Mungu hapendi mabaya, kwa nini Aumbe binadamu na dunia yenye mabaya?

Wakati uwezo wa kuumba Binadamu wema tu na dunia Isiyo na mabaya anao na alikuwa nao?
Unahitaji kuomba ndio upewe, hii ni kanuni ya Dynasties zote Duniani, hata kwa Mungu iko hivo.
 
Mungu siyo katili kiasi hicho, hiki kipindi chote amemuacha Shetani ili watu wachague sides zao. Lakini mwisho wa siku bado atamuangamiza.

Jehanamu iliumbwa kwa ajili ya Shetani na wale wote walioasi. Sisi wanadamu tukawa deceived na Shetani hivyo haya majanga na magonjwa tunayopata ni kwa sababu ya uasi wetu pia.
Walikuwa na ugeni upi wakati Mungu aliwaweka wazi juu ya mti wa Ujuzi wa mema na mabaya?


Hii migawanyiko ni kwa sababu watu wameacha kufuata biblia takatifu wanafuata mafundisho ya watu.

Haya yote manabii walishayatabiri na tunakoenda mambo yatakuwa worse zaidi.

Mungu azidi kukupa neema ya uhai labda kuna siku utaunderstand hivi vitu better.

Sisi wengine tumeshatendewa miujiza katika maisha yetu. Kwa hiyo kuturudisha ambako umechagua wewe kuwepo ni ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…