Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Wewe unaweza kumtengeneza Mke wako ili awe kama ndondocha ili awe anakutii tu?
 
Mungu siyo katili kiasi hicho, hiki kipindi chote amemuacha Shetani ili watu wachague sides zao. Lakini mwisho wa siku bado atamuangamiza.
Kama Mungu huyo anataka watu wote wachague "side" yake kwa nini ana mwacha shetani awepo?

Kama Mungu hataki sisi tuchague "side" ya shetani kwa nini aendelee kumwacha shetani?
Jehanamu iliumbwa kwa ajili ya Shetani na wale wote walioasi. Sisi wanadamu tukawa deceived na Shetani hivyo haya majanga na magonjwa tunayopata ni kwa sababu ya uasi wetu pia.
Mungu mwenye kujua yote tangu mwanzo na hata milele, Je Hakujua kwamba Shetani atakuja kuwepo duniani amdhibiti na kumzuia mapema?
Walikuwa na ugeni upi wakati Mungu aliwaweka wazi juu ya mti wa Ujuzi wa mema na mabaya?



Hii migawanyiko ni kwa sababu watu wameacha kufuata biblia takatifu wanafuata mafundisho ya watu.
Mungu muweza wa yote na mwenye kujua yote, Je Hakujua kwamba Adamu atakula tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya amzuie na kumdhibiti mapema?
 
Mfano nliokupa haujaendana na jambo..!? Au ni kwamba wewe tu umeshindwa kuelewa dhana nliyoiwasilisha.

Unaelewa hata nlikupa mfano kuonesha nini?
 
Kwaio unaamini Big bang theory na theory of evolution si ndio??
Hapana mkuu.

Maana ukianza kusema hivi ni vyanzo vya ulimwenguni.

Lazima maswali yataibuka kwamba

Big bang yenyewe ilianzia wapi?

Huko ilikotoka "Big bang" kulianza vipi.

Hatuwezi kujua, tusicho kijua.

Ila tunapunguza tusivyo vijua kadiri muda unavyokwenda.

Na amini Dunia ipo tu, Haina mwanzo wala mwisho.

Theory zote za kidini na kisayansi HAZINA chanzo halisi cha ulimwengu.

Maana kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo, Basi muundo
huu huu wa "ulazima wa vyanzo" lazima u apply kwa vitu vyote.

Pasiwepo kitu chochote kilicho jitokeza chenyewe tu, Pasipo mwanzo. Maana kitavuruga muundo mzima wa ulazima huu.
 
Hujajibu swali, Au unakwepa swali

Binadamu wa kwanza alizaliwa na nani ?
Yani alikuwepo kutokea wapi ?
 
Kuna sehemu umeandika "Ila tunapunguza tusivyo vijua kadiri muda unavyokwenda".

Sasa kwanini hili swala linalohusu Mungu haujalipa mda kulijua ila umeshahitimisha kwenye akili yako kuwa hayupo ?
 
Hujajibu swali, Au unakwepa swali

Binadamu wa kwanza alizaliwa na nani ?
Yani alikuwepo kutokea wapi ?
Binadamu wa kwanza Hayupo.

Binadamu wapo tu, kama walivyo.
Hawana mwanzo wala mwisho.

Hakuna Binadamu wa kwanza, Na Hakutakuwa binadamu wa mwisho.

Ndio maana kila siku watu wanakufa, na watoto wana zaliwa.

Ukianza kuweka ulazima wa kwamba kila kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo. Basi hata "chanzo" lazima kiwe na chanzo,
Na "chanzo cha chanzo" kiwe na chanzo.

Na "chanzo cha vyanzo" kiwe na chanzo,
Na chanzo cha "chanzo cha vyanzo" kiwe na chanzo.

Yaani, Pasiwepo kitu chochote kilicho jitokeza chenyewe pasipo mwanzo maana kitavuruga muundo wa "ULAZIMA AWEPO CHANZO" na kitakuwa kime enda kinyume na ulazima huo.

Hivyo Dunia si lazima iwe na chanzo.

Dunia Haina chanzo. Ipo tu.
 
Chenga tupu, Hauna point kabisa.

Uwe na mchana mwema chief.
 
Kuna sehemu umeandika "Ila tunapunguza tusivyo vijua kadiri muda unavyokwenda".

Sasa kwanini hili swala linalohusu Mungu haujalipa mda kulijua ila umeshahitimisha kwenye akili yako kuwa hayupo ?
Swala la uwepo wa Mungu ni dhana ya kufikirika tu. Haina uthibitisho wowote ule.

Maana wanasema Mungu yupo, ila hamjui yupo kwa namna gani?
Alianzaje kuwa Mungu?
Huko aliko anzia kuliumbwa na nani?

Zaidi ya mawazo ya kufikirika tu, kwamba yupo.
 
🤣Bac sihitaji kujua sheria zenu za kutokula nguruwe au kutokuvaa material tofauti Kama naturally naweza kuwa nice bila kuimpose supernatural bullshit
 
Swala la uwepo wa Mungu ni dhana ya kufikirika tu. Haina uthibitisho wowote ule.

Maana wanasema Mungu yupo, ila hamjui yupo kwa namna gani?
Alianzaje kuwa Mungu?
Huko aliko anzia kuliumbwa na nani?

Zaidi ya mawazo ya kufikirika tu, kwamba yupo.
Okay.
 
Halafu how do u know God did it...huoni ni jau kusuggest kwamba tunafanya wema because of god na kufanya mabaya kwa sababu yetu wenyewe au shetani ambae Mungu kamuumba. Yaani unampa sifa nzuri Mungu afu mbaya unajipa mwenyewe. Don't u think that's a dangerous way of thinking
 
Chenga tupu, Hauna point kabisa.

Uwe na mchana mwema chief.
Wewe mwenye point,

Thibitisha Mungu yupo kwa namna gani?

Eleza, Mungu huyo aliwezaje kuwepo bila chanzo?

Kama huwezi, wewe ndio "chenga" unaye amini Mungu usiyemjua Hana chanzo ila una lazimisha Dunia na Binadamu viwe na chanzo.
 
Mi naweza interpret mbingu Kama sky na nchi Kama land as they who wrote it meant. Kila mtu anaweza kutunga interpretation zake za Bible so at this point usiquote hiki kitabu Kama utamake ur own interpretation kujikosha
 
Wewe mwenye point,

Thibitisha Mungu yupo kwa namna gani?

Eleza, Mungu huyo aliwezaje kuwepo bila chanzo?

Kama huwezi, wewe ndio "chenga" unaye amini Mungu usiyemjua Hana chanzo ila una lazimisha Dunia na Binadamu viwe na chanzo.
Duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…