Kitu gani ambacho sikijui nje ya Qur'aan nimekipinga ?Na wewe Acha kupinga vitu usivyo vijua nje ya Quran.
Maana nje Quran huna unachojua.
Sababu unaleta utoto ndio maana nimekujibu kwa pande zote mpaka Ile pande ambayo wewe hukuiwaza, lengo langu usije tena kudai kwamba sijakujibu.Hayo mawazo umeyatoa wapi.
1. "mzazi alikua na nia njema ya kuadhibu"
2. "Mzazi hakukusudia kumuua"
Nauliza kuhusu mzazi aliyekusudia kuua.
Si kuua tu bali kuua kwa moto.
Kuua (kwa moto) ndiyo adhabu aliyokusudia kuitoa. Nia yake ni kumuua. Lengo lake ni kumuua. Moto ni njia aliyotumia kumuua.
Kumchoma moto mpaka afe kwake ndiyo adhabu yenyewe.
Mtoto angeungua pasipo kufa, basi mzazi angeona hajatimiza kusudio lake.
Sijauliza kuhusu Mzazi aliyeamua kumchoma mtoto wake moto ikatokea akafa.
Nauliza mzazi aliyeamua kumuua mtoto wake kwa kumchoma moto.
Elewa neno kuua.
Pia, swali limeulizwa kama kitendo cha mzazi kumuua mtoto wake kwa moto ni cha upendo.
Unaposema "upendo uko palepale" unakusudia upendo wa hicho kitendo?
Kwamba hicho kitendo(cha kuua kwa moto) ni cha upendo?
Sijauliza kama mzazi ana upendo kwa mtoto. Nimeuliza kama kitendo cha kumuua kwa moto ni cha upendo.
Elewa neno kitendo.
Kitendo cha mzazi kumuua mtoto wake kwa kumchoma moto kama adhabu kitakua cha upendo?
Unasema kitendo cha mzazi kumuua mtoto wake kwa kumchoma moto kama adhabu kitakua cha huruma.
Huruma ni nini?
Kwa uelewa wangu huruma ni hali ya mtu kumtakia mwenzake wema katika shida. Yaani, ni uwezo wa kushiriki hisia za wengine, hasa taabu, huzuni au maumivu.
Kama una maana nyingine ya huruma nisaidie.
Nikisema kitendo cha mzazi kumuua mtoto wake kwa kumchoma moto kama adhabu kitakua kitendo cha kushiriki hisia za mtoto wake kama taabu na maumivu yaani kumpa maumivu mtoto akiungua na moto mpaka afe ni kumtakia mtoto wake wema katika shida na maumivu nitakua sawa?
Wewe unaweza kumuua mtoto wako kwa kumchoma moto mpake afe pale anapokosea kwa kumhurumia??
Inategemea nini?
Kwahiyo Mungu yupo ?Quote sehemu niliyosema Mungu hayupo
Shukrani.😁We can't have a convo...bye Arab pagan
Mfano ulio nipa hauendani na jambo kabisa Wala hata kukaribia jambo lenyewe. Maelezo ya kwanini hauendani nimekupa Sasa wewe ni jukumu lako kuonyesha kwa kipi mfano ulio utoa unaendana na jambo husika.Mfano nliokupa haujaendana na jambo..!? Au ni kwamba wewe tu umeshindwa kuelewa dhana nliyoiwasilisha.
Unaelewa hata nlikupa mfano kuonesha nini?
Unavyosema ulimwengu ulikuwepo tu, reference yako ni nini?Why cant u say that about the universe. Kwa Nini useme Mungu alikuwepo tu na ushindwe kusema ulimwengu ulikuwepo tu
Msaidie ndugu yako kwanza kujibu, ungejibu swali nililouliza ungekua ushapata na jibu la swali lako tayari.Unaweza thibitisha kwamba kaumbwa
Sababu unaleta utoto ndio maana nimekujibu kwa pande zote mpaka Ile pande ambayo wewe hukuiwaza, lengo langu usije tena kudai kwamba sijakujibu.
Ukisoma katika jibu langu nimekujibu kwa hali zote mpaka kwa yule mzazi ambaye amekusudia.
Kijana soma majibu niliyo kupa nimekupa jibu la mzazi aliye kusudia, hujaona hilo jibu ? Mbona unarudia rudia swali ambalo limeshajibiwa ?
Bila shaka swali lako nimekujibu.
Kuhusu kutegemea nako nimefafanua, soma nilichokiandika.
Unasema "mzazi alikua na nia njema ya kuadhibu lakini lengo lake(kama amekusudia kumuua) sio jema."Swali la kwanza liko wazi sababu mzazi amekusudia kumuua mwanae kwa adhabu ya kifo kwa njia ya kumuua, tunasema mzazi alikuwa na nia njema ya kuadhibu ila lengo (kama amekusudia kumuua) lake sio jema,
Nitakusaidia kuhusu GHADHABU.Kwa maelezo nliyokupa na ulivyoanza kujibu, no dhahiri shahiri ulikuwa ukimaanisha kwamba nmesema kifo ni adhabu.
Nlikuwa naongelea ghadhabu ya Mungu wako hadi akaua watu kwenye gharika.
Je kitendo hicho kinadefine upendo wote!?
Watu wakishashiba nyama ya punda (munsuli wa nini sijajua) huwa wanawaza kama wavuta bangi tu. Wanajidai wana hisia kali. Merde!🤔
Uchawi na dini vyote vina misingi hiyo hiyo. Hakuna uthibitisho wowote kama vina ukweli, na ndiyo maana ngao yao kubwa ni kuwa na IMANI. IMANI maana yake kukubali bila kuhoji!Mnyiramba wakwanza wa hovyo sana.
Hujui kitu na huna akili hata moja
Huamini kuhusu Mungu ila unaamini uchawi bogus wewe
illusion.Ili kitu ki-exist na ujue kipo unatumia methods zipi kugundua kama kipo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu mwenye Upendo, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na uovu wala mabaya?Nitakusaidia kuhusu GHADHABU.
UKWELI NI KWAMBA MUNGU HANA GHADHABU NA WALA HANA SABABU YA KUMGHADHABIKIA MWANADAMU!
Mungu ni UPENDO daima!
KInachotokea ni CONSEQUENCES ZA MAMBO AMBAYO MWANADAMU amekwenda kinyume na Asili yake!
Kwa Mfano hivi majuzi kijiji kizima kilifutika kwenye uso wa Dunia huko Libya-Hiyo inaweza kuitwa GHADHABU lakini UKWELI ni kwamba tunavuna tulichopanda wenyewea!
Tumechezea Nature!
Na hata hivo bado UPENDO WA MUNGU KWA WANADAMU UTAENDELEA KWA KUWA WACHACHE WALIOKUFA WATASABABISHA WENGI KUPONA!
MUNGU NI UPENDO NA DAIMA ANAENDELEA KUWA UPENDO!!
Namna nzuri ya kufikiri siyo hiyo!Mungu mwenye Upendo, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na uovu wala mabaya?
Mungu mwenye Upendo, Alishindwaje kuumba Binadamu wema tu wasio weza kutenda mabaya?
I don't know? Do u know?Jibu swali langu kwanza, Binadamu wa kwanza alitokea wapi ?
No...hizi ni illusion kwa sababu u can substitute it with any god, anything or even nothing afu bado matokeo yakawa yale Yale. That proves prayer isn't effecientMbona unajichanganya mwenyewe ? Okay umesema ukiomba kwa god shiva jibu ni ndio unafanikiwa
Swali kwako, Ina maana unaamini kwenye nguvu zisizo za kibinadamu zinazoweza kufanya kazi ?
🤣Mpaka unacheka it means umekoshwa na Hilo Chaka la "we can't understand god, cjui mysterious ways"Mungu hawezi kufanana na binadamu maana yeye ni mkuu na wakipekee 😁
Staki...I'll rather be happy than pretend to know something I don't know.Upo sahihi, kwann tuamini vitu visivyo kuwa na evidence??
Kwann tunang'ang'ania the fact kwamba tumeumbwa na mungu? Is it because we want to feel special? Maybe the answer is "YES"
Maybe we are so weak to the point that to entertain the idea that we were created by a powerful being feels good in our heads?
Maybe we want reassure ourselves that we are not alone and we have a powerful protector? Maybe ndo sababu tumeamua kujitengenezea ideology ya mungu.
Yote yanaweza kuwa majibu, because majority of humans are desperate and they want answers, niamini hata mm mwenyew nina maswali mengi tuu kuhusu dini na kuhusu huu ulimwengu lakini hamna wa kunijibu bali ni yeye tuu ninae amini kwamba katuumba.
Lakini kwa yote hayo nikushauri tuu broo, kama unataka uwe evidence za kutosha kuhusu uwepo wa mungu na historia yake, ndo uamue sasa kukubali kwamba mungu yupo, broo unapoteza tuu muda, we endelea kufamikamia hizo nguruwe na kuishi maisha unayotaka kwa sababu hutapata majibu unayotafuta ww.
Wewe unataka physical evidence, there is no physical evidence broo ndo maana ya imani, JUST TAKE A LEAP OF FAITH.
I don't know...do u knowKwahiyo Mungu yupo ?
Sayansi haijasema ipo 100% we unavyotumia Sayansi kukubali ulimwengu una mwanzo ili kusupport ur claims lakini ikisema evolution unakataa unachofanya ni kujikosha "special pleading"Unavyosema ulimwengu ulikuwepo tu, reference yako ni nini?
Maana hata sayansi inaamini ulimwengu una mwanzo na utafikia mwisho wake.
Lakini pia wewe ukiamini ulimwengu ulikuwepo tu inatosha, sio mpaka kila mtu aamini hivyo.