Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Na wewe Acha kupinga vitu usivyo vijua nje ya Quran.

Maana nje Quran huna unachojua.
Kitu gani ambacho sikijui nje ya Qur'aan nimekipinga ?

Mimi kitu ambacho sikijui huwa nakiri ya kuwa sikijui, sababu sishindani na mtu.

Onyesha kitu hicho ambacho sikijui nje ya Qur'an, katika mjadala huu ?
 
Hayo mawazo umeyatoa wapi.
1. "mzazi alikua na nia njema ya kuadhibu"
2. "Mzazi hakukusudia kumuua"

Nauliza kuhusu mzazi aliyekusudia kuua.
Si kuua tu bali kuua kwa moto.
Kuua (kwa moto) ndiyo adhabu aliyokusudia kuitoa. Nia yake ni kumuua. Lengo lake ni kumuua. Moto ni njia aliyotumia kumuua.
Kumchoma moto mpaka afe kwake ndiyo adhabu yenyewe.

Mtoto angeungua pasipo kufa, basi mzazi angeona hajatimiza kusudio lake.

Sijauliza kuhusu Mzazi aliyeamua kumchoma mtoto wake moto ikatokea akafa.
Nauliza mzazi aliyeamua kumuua mtoto wake kwa kumchoma moto.
Elewa neno kuua.


Pia, swali limeulizwa kama  kitendo cha mzazi kumuua mtoto wake kwa moto ni cha upendo.
Unaposema "upendo uko palepale" unakusudia upendo wa hicho kitendo?
Kwamba hicho kitendo(cha kuua kwa moto) ni cha upendo?

Sijauliza kama mzazi ana upendo kwa mtoto. Nimeuliza kama  kitendo cha kumuua kwa moto ni cha upendo.
Elewa neno kitendo.
Kitendo cha mzazi kumuua mtoto wake kwa kumchoma moto kama adhabu kitakua cha upendo?




Unasema kitendo cha mzazi kumuua mtoto wake kwa kumchoma moto kama adhabu kitakua cha huruma.
Huruma ni nini?
Kwa uelewa wangu huruma ni hali ya mtu kumtakia mwenzake wema katika shida. Yaani, ni uwezo wa kushiriki hisia za wengine, hasa taabu, huzuni au maumivu.
Kama una maana nyingine ya huruma nisaidie.

Nikisema kitendo cha mzazi kumuua mtoto wake kwa kumchoma moto kama adhabu kitakua kitendo cha kushiriki hisia za mtoto wake kama taabu na maumivu yaani kumpa maumivu mtoto akiungua na moto mpaka afe ni kumtakia mtoto wake wema katika shida na maumivu nitakua sawa?

Wewe unaweza kumuua mtoto wako kwa kumchoma moto mpake afe pale anapokosea kwa kumhurumia??


Inategemea nini?
Sababu unaleta utoto ndio maana nimekujibu kwa pande zote mpaka Ile pande ambayo wewe hukuiwaza, lengo langu usije tena kudai kwamba sijakujibu.

Ukisoma katika jibu langu nimekujibu kwa hali zote mpaka kwa yule mzazi ambaye amekusudia.

Kijana soma majibu niliyo kupa nimekupa jibu la mzazi aliye kusudia, hujaona hilo jibu ? Mbona unarudia rudia swali ambalo limeshajibiwa ?

Bila shaka swali lako nimekujibu.

Kuhusu kutegemea nako nimefafanua, soma nilichokiandika.
 
Mfano nliokupa haujaendana na jambo..!? Au ni kwamba wewe tu umeshindwa kuelewa dhana nliyoiwasilisha.

Unaelewa hata nlikupa mfano kuonesha nini?
Mfano ulio nipa hauendani na jambo kabisa Wala hata kukaribia jambo lenyewe. Maelezo ya kwanini hauendani nimekupa Sasa wewe ni jukumu lako kuonyesha kwa kipi mfano ulio utoa unaendana na jambo husika.

Ili ujue kama nimeelewa au sijaelewa soma maelezo niliyo kupa kisha uje kukosoa nilicho kiandika.

Vijana weupe sana, unataka kuhamisha goli sio ?
 
Why cant u say that about the universe. Kwa Nini useme Mungu alikuwepo tu na ushindwe kusema ulimwengu ulikuwepo tu
Unavyosema ulimwengu ulikuwepo tu, reference yako ni nini?

Maana hata sayansi inaamini ulimwengu una mwanzo na utafikia mwisho wake.

Lakini pia wewe ukiamini ulimwengu ulikuwepo tu inatosha, sio mpaka kila mtu aamini hivyo.
 
Sababu unaleta utoto ndio maana nimekujibu kwa pande zote mpaka Ile pande ambayo wewe hukuiwaza, lengo langu usije tena kudai kwamba sijakujibu.

Ukisoma katika jibu langu nimekujibu kwa hali zote mpaka kwa yule mzazi ambaye amekusudia.

Kijana soma majibu niliyo kupa nimekupa jibu la mzazi aliye kusudia, hujaona hilo jibu ? Mbona unarudia rudia swali ambalo limeshajibiwa ?

Bila shaka swali lako nimekujibu.

Kuhusu kutegemea nako nimefafanua, soma nilichokiandika.

Hujajaribu hata kidogo kujibu.
Swali la kwanza liko wazi sababu mzazi amekusudia kumuua mwanae kwa adhabu ya kifo kwa njia ya kumuua, tunasema mzazi alikuwa na nia njema ya kuadhibu ila lengo (kama amekusudia kumuua) lake sio jema,
Unasema "mzazi alikua na nia njema ya kuadhibu lakini lengo lake(kama amekusudia kumuua) sio jema."

Nikakueleza kwenye post yangu iliyopita, Kuua (kwa moto) ndiyo adhabu aliyokusudia kuitoa. Nia yake ni kumuua.
Sasa ukisema "mzazi alikua na nia njema" unamaana gani? Au nia njema ya kuua?

Mtu atakuwaje amekusudia kuua alafu hapohapo hana nia ya kuua?
Hivi unajua kiwashili kweli?

swali hili hujajibu.
Wewe unaweza kumuua mtoto wako kwa kumchoma moto mpake afe pale anapokosea kwa kumhurumia??

Ulisema kitendo hicho cha kuua kwa moto huenda kikawa na furaha au kikawahuzunisha, inategemea.

Hujaniambia popote inategemea na nini.
Quote sehemu ulipojibu ua sema namba ya post kama nadanganya.
Inategemea nini?

Tukitofautiana kwenye mazungumzo haina haja ya kutumia kejeli na lugha mbovu. Huna sababu za kuonesha hulka yako kwenye mijadala.
Acha kujivua nguo mbele ya watu wengi namna hii. Jaribu kutumia lugha ya kistaarabu.
 
Kwa maelezo nliyokupa na ulivyoanza kujibu, no dhahiri shahiri ulikuwa ukimaanisha kwamba nmesema kifo ni adhabu.

Nlikuwa naongelea ghadhabu ya Mungu wako hadi akaua watu kwenye gharika.
Je kitendo hicho kinadefine upendo wote!?
Nitakusaidia kuhusu GHADHABU.

UKWELI NI KWAMBA MUNGU HANA GHADHABU NA WALA HANA SABABU YA KUMGHADHABIKIA MWANADAMU!

Mungu ni UPENDO daima!

KInachotokea ni CONSEQUENCES ZA MAMBO AMBAYO MWANADAMU amekwenda kinyume na Asili yake!

Kwa Mfano hivi majuzi kijiji kizima kilifutika kwenye uso wa Dunia huko Libya-Hiyo inaweza kuitwa GHADHABU lakini UKWELI ni kwamba tunavuna tulichopanda wenyewea!

Tumechezea Nature!

Na hata hivo bado UPENDO WA MUNGU KWA WANADAMU UTAENDELEA KWA KUWA WACHACHE WALIOKUFA WATASABABISHA WENGI KUPONA!

MUNGU NI UPENDO NA DAIMA ANAENDELEA KUWA UPENDO!!
 
Watu wakishashiba nyama ya punda (munsuli wa nini sijajua) huwa wanawaza kama wavuta bangi tu. Wanajidai wana hisia kali. Merde!🤔

Mwandishi katoa mawazo tena mazuri tu. Sioni kwa nini umwambie kavuta bangi. Hakuna mtu aliyewahi kuthibitisha uwepo wa Mungu. Siri kubwa ya dini ni IMANI. Wafuasi wote wanafuata bila kuhoji wala kudai uthibitisho. Na hii ni kwa dini au IMANI zote. Iwe dini ya Kikristu, Kiislamu, Kihindu, au ile ya Kikabila kila kitu chake kimejikita kwenye siri. Yaani kukubali bila kuwa na uhakika au uthibitisho. Mara nyingi utaona waumini hulazimishwa kwa vitisho, hasa wakiogopa kwenda motoni (dini za kigeni) au kulipwa kwa adhabu na mateso makali (dini za kienyeji) hapahapa duniani. Mimi sina hakikaki na ukweli, maana sina vikokotoo vya kunisadia kuona kama dini hizi ni za kweli au siyo. Hakuna vikokotoo vya kutosha kuthibitisha kama Mungu yupo au hayupo. Hapa duniani tunasukumwa tu na uoga.
 
Mnyiramba wakwanza wa hovyo sana.
Hujui kitu na huna akili hata moja

Huamini kuhusu Mungu ila unaamini uchawi bogus wewe
Uchawi na dini vyote vina misingi hiyo hiyo. Hakuna uthibitisho wowote kama vina ukweli, na ndiyo maana ngao yao kubwa ni kuwa na IMANI. IMANI maana yake kukubali bila kuhoji!
 
Nitakusaidia kuhusu GHADHABU.

UKWELI NI KWAMBA MUNGU HANA GHADHABU NA WALA HANA SABABU YA KUMGHADHABIKIA MWANADAMU!

Mungu ni UPENDO daima!

KInachotokea ni CONSEQUENCES ZA MAMBO AMBAYO MWANADAMU amekwenda kinyume na Asili yake!

Kwa Mfano hivi majuzi kijiji kizima kilifutika kwenye uso wa Dunia huko Libya-Hiyo inaweza kuitwa GHADHABU lakini UKWELI ni kwamba tunavuna tulichopanda wenyewea!

Tumechezea Nature!

Na hata hivo bado UPENDO WA MUNGU KWA WANADAMU UTAENDELEA KWA KUWA WACHACHE WALIOKUFA WATASABABISHA WENGI KUPONA!

MUNGU NI UPENDO NA DAIMA ANAENDELEA KUWA UPENDO!!
Mungu mwenye Upendo, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na uovu wala mabaya?

Mungu mwenye Upendo, Alishindwaje kuumba Binadamu wema tu wasio weza kutenda mabaya?
 
Mungu mwenye Upendo, Alishindwaje kuumba Dunia isiyo na uovu wala mabaya?

Mungu mwenye Upendo, Alishindwaje kuumba Binadamu wema tu wasio weza kutenda mabaya?
Namna nzuri ya kufikiri siyo hiyo!

Chukua mfano wa wewe na Mkeo au Mumeo!

Kwanini Msiishi kwa furaha ile ile mliyoanza nayo tangu Mwanzo?

Au kwa nini kuna nyakati unamchapa Mwanao mpendwa viboko?

Inamaana humpendi?

So ndivyo ilivyo kwenye Maisha ya Mwanadamu na Mungu wake!

Passing through turbulence...makes quite an experience...!
 
Mbona unajichanganya mwenyewe ? Okay umesema ukiomba kwa god shiva jibu ni ndio unafanikiwa

Swali kwako, Ina maana unaamini kwenye nguvu zisizo za kibinadamu zinazoweza kufanya kazi ?
No...hizi ni illusion kwa sababu u can substitute it with any god, anything or even nothing afu bado matokeo yakawa yale Yale. That proves prayer isn't effecient
 
Upo sahihi, kwann tuamini vitu visivyo kuwa na evidence??
Kwann tunang'ang'ania the fact kwamba tumeumbwa na mungu? Is it because we want to feel special? Maybe the answer is "YES"
Maybe we are so weak to the point that to entertain the idea that we were created by a powerful being feels good in our heads?
Maybe we want reassure ourselves that we are not alone and we have a powerful protector? Maybe ndo sababu tumeamua kujitengenezea ideology ya mungu.
Yote yanaweza kuwa majibu, because majority of humans are desperate and they want answers, niamini hata mm mwenyew nina maswali mengi tuu kuhusu dini na kuhusu huu ulimwengu lakini hamna wa kunijibu bali ni yeye tuu ninae amini kwamba katuumba.

Lakini kwa yote hayo nikushauri tuu broo, kama unataka uwe evidence za kutosha kuhusu uwepo wa mungu na historia yake, ndo uamue sasa kukubali kwamba mungu yupo, broo unapoteza tuu muda, we endelea kufamikamia hizo nguruwe na kuishi maisha unayotaka kwa sababu hutapata majibu unayotafuta ww.
Wewe unataka physical evidence, there is no physical evidence broo ndo maana ya imani, JUST TAKE A LEAP OF FAITH.
Staki...I'll rather be happy than pretend to know something I don't know.
 
Unavyosema ulimwengu ulikuwepo tu, reference yako ni nini?

Maana hata sayansi inaamini ulimwengu una mwanzo na utafikia mwisho wake.

Lakini pia wewe ukiamini ulimwengu ulikuwepo tu inatosha, sio mpaka kila mtu aamini hivyo.
Sayansi haijasema ipo 100% we unavyotumia Sayansi kukubali ulimwengu una mwanzo ili kusupport ur claims lakini ikisema evolution unakataa unachofanya ni kujikosha "special pleading"
 
Back
Top Bottom