Upo sahihi, kwann tuamini vitu visivyo kuwa na evidence??
Kwann tunang'ang'ania the fact kwamba tumeumbwa na mungu? Is it because we want to feel special? Maybe the answer is "YES"
Maybe we are so weak to the point that to entertain the idea that we were created by a powerful being feels good in our heads?
Maybe we want reassure ourselves that we are not alone and we have a powerful protector? Maybe ndo sababu tumeamua kujitengenezea ideology ya mungu.
Yote yanaweza kuwa majibu, because majority of humans are desperate and they want answers, niamini hata mm mwenyew nina maswali mengi tuu kuhusu dini na kuhusu huu ulimwengu lakini hamna wa kunijibu bali ni yeye tuu ninae amini kwamba katuumba.
Lakini kwa yote hayo nikushauri tuu broo, kama unataka uwe evidence za kutosha kuhusu uwepo wa mungu na historia yake, ndo uamue sasa kukubali kwamba mungu yupo, broo unapoteza tuu muda, we endelea kufamikamia hizo nguruwe na kuishi maisha unayotaka kwa sababu hutapata majibu unayotafuta ww.
Wewe unataka physical evidence, there is no physical evidence broo ndo maana ya imani, JUST TAKE A LEAP OF FAITH.