Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Nani amekwambia haya ?
 
Kosoa maandiko Yako , Mimi nausikaje na maandiko ya waislamu
Nakufundisha uwe makini katika kunukuu, Sasa sikosoi mpaka ukasome tena, sababu hii tabia unayo na huwa inatupa kazi mara mbili, kwanza tukosoe nukuu na pili tujibu hoja.

Sababu nyinyi huwa hamuangalii wapi mnachukua dini yenu, sisi Iko tofauti. Fanya nilivyo kwambia.
 
Anza kwa kukosoa maandiko yenu wabusu jiwe

Nipo nasubiri
 
Anza kwa kukosoa maandiko yenu wabusu jiwe

Nipo nasubiri
Endelea kupoteza muda, natumia njia hii sababu una hila katika kuweka maandiko.

Nimeshakwambia ulichokiweka si sahihi, Sasa kama wewe ni mtafuta ukweli ungekuwa ushaujua huo ukweli, sababu unapenda kupotezea watu muda endelea kupoteza muda. Mimi nasubiri ujikosoe mwenyewe.
 
 
Wanasema lugha itakayotumika siku ya Kiama ni kiarabu, wanasema Hata kama hujui kiarabu siku hiyo watu wote watajikuta wanaongea kiarabu
 
Kwetu sisi Jua ni jua na nyota ni nyota, ila kwa Wanasayansi na watu wa Astronomy wanasema Jua ni nyota.
Fungua akili yako.

Wewe umejiandaa kubisha tu, huna shida na kuelewa mambo.

Ulichokisema ni sawa na useme kwamba kwako chungwa ni chungwa na tunda ni tunda na kwa wana_bayolojia chungwa ni tunda

Poor you
 
Eleza mfano ni nini,

Then Leta mfano nliokupa na uoneshe makosa ya mfano huo kwa kuweka dhana niliyokuwa najaribu kukuelezea.

Hapo ntaongeza kitu katika kutambua kiwango chako cha uelewa.
 
Eleza mfano ni nini,

Then Leta mfano nliokupa na uoneshe makosa ya mfano huo kwa kuweka dhana niliyokuwa najaribu kukuelezea.

Hapo ntaongeza kitu katika kutambua kiwango chako cha uelewa.
Sasa si wewe ndio umesema sijaelewa mfano wako, nikakupa maelezo. Ni jukumu lako kuonyesha wapi sijaelewa, usikimbie swali.
 
Sasa nawewe unataka tuamini kwamba huamini ktkt haya sababu hukupata msingi thabiti katika kujifunza si ndio??

Kama ungeaminishwa vyema usingekuja na tantalila za aina hii,ungekuja na hizo unazoona ni za ajabu.
 
Kama mungu angekuwepo Hata hi post isingekuwepo kabisa,

Mpaka ss bado hatujaona ushahidi wa uwepo wa mungu.

Japo watu wanamtetea Kwa nguvu Sana bila ushahidi wenyewe mashiko. Ni Kwa sababu wanaogopa kusema ukweli Tu kwamba mungu hayupo .

Ukisema ukweli Kuwa mungu hayupo hakuna kitu chochote kitakacho kutokea coz hakuna mungu

Mungu ni nadharia Tu.


Kuwa huru ni kuukubali ukweli
 
Nkuulize swali chief ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…