Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Gesi ya oxygen ipo?
 
Hivi,huwa unasoma biblia Kama wewe ni mkristo?Umewahi kupata miongozo ya namna ya kuisoma?Huwa unauliza unapotatizika au huwa unakimbilia kulalama tu?Unaamini katika lipi hadi sasa?
😂😂😂Hao wenye miongozo si ndo wachungaji wa madhehebu na makanisa laki moja duniani... ingekuwa easy hivyo si ukristo ungekuwa mmoja...
 
Kinachosikitisha zaidi

Hao Waliotuletea hizi dini ndo hao hao

1.walowatesa Babu zetu kwa vipigo Kisha kuwauza utumwani Kama bidhaa[emoji26]

2. wanaosema sisi waafrika chimbuko letu Ni nyani
😂Bible na Quran zote zinaruhusu utumwa...asa utasema ni vitabu vya Mungu kweli
 
Huu ujasiri unautoa wapi ndugu yangu?

Mungu yupo na hakika wakati ukifika utajutia haya uliondika

Walikuwepo wengi waliompinga lakini sasa wako wapi?
Hata wewe utapita lakini Neno la MUNGU litasimama daima hadi ukamilifu wa dahari
😂😂😂Hata wewe utapita pia...kwani anayempinga Mungu ndo Hafi au...😂mbona unaongea utoto
 
May Allah Almighty guide you!!!
 
Imani za kidini ni shambulio la akili.
 
😂😂😂maswali ya kijinga Kama haya tushakataaga, Rudi form 2 nenda maabara wakakuonyeshe evidence ya oxygen...afu ukitoka hapo type evidence ya dini kuwa kweli...
Acha kiherehere sikukuuliza wewe.
 
Hivi,huwa unasoma biblia Kama wewe ni mkristo?Umewahi kupata miongozo ya namna ya kuisoma?Huwa unauliza unapotatizika au huwa unakimbilia kulalama tu?Unaamini katika lipi hadi sasa?
Kwanini biblia ya Mungu huyo inahitaji miongozi mingine?

Jibu ni kwamba haijitoshelezi tu.

Na ndiyo maana inajipinga yenyewe.

Yani ni kitabu hata Geography kuhusu ulimwengu tu ni imeandika uongo lakini cha ajabu ni kwamba watu wameyang'ang'ania.

Kama unabisha Prove me wrong.
 
Huu ujasiri unautoa wapi ndugu yangu?

Mungu yupo na hakika wakati ukifika utajutia haya uliondika

Walikuwepo wengi waliompinga lakini sasa wako wapi?
Hata wewe utapita lakini Neno la MUNGU litasimama daima hadi ukamilifu wa dahari
Neno Mungu litabaki kwenye historia kuelezea zama za giza na ujinga na si vinginevyo.

Ni sawa na Mungu Thor, Pseudo n. K
Wote hawa wamebaki kuwa historia tu.

Saizi radi inaelezeka kirahisi tu si Mungu Thor tena ambaye alikuwa ndiye mhusika.
 
Mpumbavu usema moyoni mwake kuwa hakuna MUNGU, SI maneno yangu ni bible

Kama hauamini uwepo wa Mungu Kwa sababu haumuoni basi hamini pia kutokuwepo kwa hewa au upepo kwa kuwa hauuoni wala uwezi kuushika, pumbavu.
😂Nenda beach rusha karatasi itapepea..huo ni upepo unaopeperesha...haya jibu dini Zina ukweli gani
 
Kwahiyo msingida point yako niipi au baada ya kuandika hivi nini kifanyike. Kumbuka huu ubaya wote uliopo duniani ungekuwa mara dufu bila dini kwahiyo unataka kufumbia watu macho ili uhalifu oungezeke sio???
😂Watu wanakesha club jumapili wanaamkia kwa mwamposa...😂vita kibao zimepigana kisa dini . Watu wameteswa wameuliwa kisa dini..utumwa umekubaliwa na dini zote . Na nchi ambazo wadini wachache ndo wanaongoza kwa human rights na maisha Bora...cjui unajikosha Nini sasa
 
unaonekana umesoma soma lkn kumkichwa bado kumejaa viazi mbatata
 
Kisichokuwepo hakipo...!! hata kukitamka au kukifikiria haiwezekani maana hakipo...huwezi ukasema Mungu halafu ukasema hayupo....umejuaje Hayupo halafu ukamtamka....!

Hoja dhaifu sana hii mkuu

Nimezaliwa nikabatizwa hata sijapata ufahamu kamili
Toka akili yangu ipo empty imekua ikijazwa nadharia hii ya Mungu akilini mwangu

Niliaminishwa kuhusu Mungu toka utotoni
Fanya hivi Mungu anataka
Usifanye hivi mungu hapendi la sivyo ni dhambi na utachomwa moto siku ya mwisho
Na asiye ogopa kuchomwa moto milele? Nikaamini

Nikahudhuria Sanday school nikalishwa sana matangopori kuhusu Mungu
Nikahudhuria Kipaimara nikalishwa sana matangopori
Nikahudhuria sana ibadani kila jumapili nikalishwa sana matangopori

Binadamu wote walio nizunguka wanamuongelea Mungu

Halafu leo unaniuliza nimemjuaje ?
Sio nimemjuaje tu, nimejaribu kumuishi lakini nikabaini ni UONGO MTUPU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…