Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Mungu
Shetani

Science deals with the natural NOT THE SUPERNATURAL (MUNGU, SHETANI, ...) ... hichi ndio kitu ATHEISTS wanakisimamia na ndio sayansi yenyewe

Soma nukuu juu [emoji3595]

Umeona unavyojikoroga?

Sayansi haidili na nini? Sasa, ni sayansi gani mnayoisimamia nyinyi inayodili na hayo uliyoyataja yenye hitimisho la kutokuwepo kwa DEITY?

[emoji848]
 

It is what it is
 
[emoji3]

Ishi na nyuzi za Rakims na Mshana Jr
 
Bro, sentensi ikiishia na alama ya kuuliza au mshangao neno linalofuata lazima lianze na herufi kubwa. Usione jamaa mkosefu sana kwenye kuandika wakati wewe pia ni walewale tu.
Ahsante kwa kunikosoa, si kwamba sifahamu hizo kanuni au nakosea kwa bahati mbaya, nakusudia kuandika hivyo kutokana na aina ya font nayotumia kwenye kimeo changu, kuna muonekano fulani unajitengeneza unaonipa motisha ya kupenda kuandika, fahamu: kuandika ni moja kati ya mambo nisiyopendelea, chunguza uandishi wangu utagundua kuna herufi kubwa sipendi kuzitumia mwanzoni mwa sentensi mfano; E, K nakadhalika.
 

"May be MUNGU yupo au hayupo", hili ni hitimisho la kisayansi lililotokana na msingi wa kutokujua uhalisia wa mambo yaliyo nje ya uwanda wake

Therefore it is scientifically inconclusively conclusively
 
so far Atheist wanafuata misingi ya sayansi ambayo haitambui UWEPO WA MUNGU

Irrational claim!

Do GOD exist? This is beyond the realm of what can be studied by science. As you wrote, such question is unscientifically and empirically untestable, so science gotta nothing more to say about it. Science cannot reach a conclusion about an explanation, claim or question that can't be tested empirically. In this case, GOD may or may not exist; science simply cannot know, it is methodoligically NEUTRAL (cannot SUPPORT or CONTRADICT).

So such claim you have made is baseless and illogical, it's not even atheistically, IDK where did you get that from.


[emoji4]
 
Watu wengine wakishiba kande huandika mambo yanayopita ufahamu wao.
 
Mkuu unafikirisha!
 
Huu ujasiri unautoa wapi ndugu yangu?

Mungu yupo na hakika wakati ukifika utajutia haya uliondika

Walikuwepo wengi waliompinga lakini sasa wako wapi?
Hata wewe utapita lakini Neno la MUNGU litasimama daima hadi ukamilifu wa dahari
Kwani Hao walioamini hawajapita?
 
Soma nukuu juu [emoji3595]

Umeona unavyojikoroga?

Sayansi haidili na nini? Sasa, ni sayansi gani mnayoisimamia nyinyi inayodili na hayo uliyoyataja yenye hitimisho la kutokuwepo kwa DEITY?

[emoji848]

Science doesn’t deal with something that not exist
 
"May be MUNGU yupo au hayupo", hili ni hitimisho la kisayansi lililotokana na msingi wa kutokujua uhalisia wa mambo yaliyo nje ya uwanda wake

Therefore it is scientifically inconclusively conclusively
Kwani we Mzee unatakaje?
 
[emoji23]

Poa, ahsante kwa majadiliano

[emoji4]

Ilikua vyema kujadili na wewe pia

Ila tambua kitu kimoja kuhusu Atheist
Wanafanya mambo yote logically based on science kama ambavyo Theist mnafanya kasoro IMANI za supernatural tu

Ulipotokea mlipuko wa town, kipindupindu nk Sayansi ilihangaika kupata majibu

Sayansi ikitoa majibu tutakubaliana wote Atheist na Theist

We both applying science almost kwenye kila tunachofanya....
tunajadilina hapa kisayansi zaidi

So kama sayansi haitambui supernatural hata Atheist hatambui..... simple as that mkuu


Mwisho
Naomba unisaidie kuthibitisha uwepo wa MUNGU kama utaweza lakini [emoji120][emoji120]
 
Kama umeshindwa kunielewa nini namaanisha haswa, Huwezi kuelewa mambo magumu..

Niache hayo ila nkurekebishe hapa,

Fikra huru zinatumika KUCHAGUA[emoji777]

Fikra huru zinatumika kukuonyesha ukweli dhahiri[emoji736]

Mkuu FIKRA HURU sio FACT

Ni hali ya kuwa huru kudadafua jambo bila influence ya jambo lolote kisha ukaamua

Mtoto anakuwa brainwashed toka utotoni kwamba kuna Mungu
Anakua na kuamini hivyo..... ni ngumu sana kuwa na FIKRA HURU kujua na kuamua kama Mungu yupo au ni ngonjera tu

Watu walioaminishwa kuwa kuna Mungu HAWANA FIKRA HURU
Fikra zao zimefungwa na uoga wa kufanya dhambi na kuchomwa moto milele kwasababu ni KOSA kuhoji uhalali wa Mungu(fikra zimefungwa kwenye scriptures zao tu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…