Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 7,621
- 12,505
- Thread starter
- #1,881
Unaposema SUPERNATURAL unamaanisha nini? Unaweza kutupa mifano miwili ya SUPERNATURAL?
Sent from my SM-G935L using JamiiForums mobile app
Mungu
Shetani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaposema SUPERNATURAL unamaanisha nini? Unaweza kutupa mifano miwili ya SUPERNATURAL?
Sent from my SM-G935L using JamiiForums mobile app
Mungu
Shetani
Science deals with the natural NOT THE SUPERNATURAL (MUNGU, SHETANI, ...) ... hichi ndio kitu ATHEISTS wanakisimamia na ndio sayansi yenyewe
Sayansi doesn’t ... about the supernatural, including God, Angels, heaven, rohoni, shetani, mapepo, uchawi ... etc
Science deals with the natural world NOT supernatural becoz it is untestable and unscientific.
God existence is not science’s problem
... habari ya Mungu? Not science’s problem.
[emoji3]Majini(mapepo) ni kitu Gan? Naomba kujua jini ni Nini na anatoka wapi? Kupandisha mapepo ndio kufanyaje? Je, hayo majini yanahusiana nini na watu? Na kwanini 'mtu' halafu apandishe mapepo, kwanini mapepo yasijipandishe yenyewe Hadi yamtegee mtu huko kupanda?
Ahsante kwa kunikosoa, si kwamba sifahamu hizo kanuni au nakosea kwa bahati mbaya, nakusudia kuandika hivyo kutokana na aina ya font nayotumia kwenye kimeo changu, kuna muonekano fulani unajitengeneza unaonipa motisha ya kupenda kuandika, fahamu: kuandika ni moja kati ya mambo nisiyopendelea, chunguza uandishi wangu utagundua kuna herufi kubwa sipendi kuzitumia mwanzoni mwa sentensi mfano; E, K nakadhalika.Bro, sentensi ikiishia na alama ya kuuliza au mshangao neno linalofuata lazima lianze na herufi kubwa. Usione jamaa mkosefu sana kwenye kuandika wakati wewe pia ni walewale tu.
Je, nini maana ya SUPERNATURAL?Mungu
Shetani
Sayansi doesn’t ... about the supernatural, including God Angels haven rohoni shetani mapepo uchawi ... etc
Science deals with the natural world NOT supernatural becoz it is untestable and unscientific.
God existence is not science’s problem.
Lakini habari ya Mungu? Not science’s problem.
Maybe Mungu yupo.....
What he gonna do, huh?@karanga
so far Atheist wanafuata misingi ya sayansi ambayo haitambui UWEPO WA MUNGU
Tumaini we ni mfuasi mpya, bila shaka hufahamu chimbuko la mrongo wako, endelea kutafitiAtheist wanafuata misingi ya kisayansi tu
Watu wengine wakishiba kande huandika mambo yanayopita ufahamu wao.Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu
Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea
Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata
Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje
Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake
Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair
Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu
Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously [emoji15]?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani[emoji15]
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk
Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi
Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa
This is the biggest scam ever
Mkuu unafikirisha!Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu

Kwani Hao walioamini hawajapita?Huu ujasiri unautoa wapi ndugu yangu?
Mungu yupo na hakika wakati ukifika utajutia haya uliondika
Walikuwepo wengi waliompinga lakini sasa wako wapi?
Hata wewe utapita lakini Neno la MUNGU litasimama daima hadi ukamilifu wa dahari
Soma nukuu juu [emoji3595]
Umeona unavyojikoroga?
Sayansi haidili na nini? Sasa, ni sayansi gani mnayoisimamia nyinyi inayodili na hayo uliyoyataja yenye hitimisho la kutokuwepo kwa DEITY?
[emoji848]
[emoji23]Science doesn’t deal with something that not exist
Kwani we Mzee unatakaje?"May be MUNGU yupo au hayupo", hili ni hitimisho la kisayansi lililotokana na msingi wa kutokujua uhalisia wa mambo yaliyo nje ya uwanda wake
Therefore it is scientifically inconclusively conclusively
Utakavyo wewe MzeeKwani we Mzee unatakaje?
[emoji23]
Poa, ahsante kwa majadiliano
[emoji4]
Kama umeshindwa kunielewa nini namaanisha haswa, Huwezi kuelewa mambo magumu..
Niache hayo ila nkurekebishe hapa,
Fikra huru zinatumika KUCHAGUA[emoji777]
Fikra huru zinatumika kukuonyesha ukweli dhahiri[emoji736]