Mkuu acha blah blah THIBITISHA kwa namna utakayoona bora kabisa kwako kwa mtu kukuelewa
Mkuu acha blah blah THIBITISHA kwa namna utakayoona bora kabisa kwako kwa mtu kukuelewa
Mimi sitaki KUAMINI
Mimi nataka KUJUA yupo sio kuamini yupo
Baada ya hapo itabaki kati yangu na “MUNGU” wangu
Umeamua kuzifunga fikra zako au ndipo upeo wako ulipokomea?Sayansi haishunguliki na vitu ambavyo HAVIPO..... period
Sayansi haishunguliki na vitu ambavyo HAVIPO..... period
Excuse me! Yaani umethibitishaje kwamba kitu fulani hakipo, hadi ufikie uamuzi wa kutoshughulika nacho?
Umeamua kuzifunga fikra zako au ndipo upeo wako ulipokomea?
Hivi kama dhana nyepesi ya sayansi kama hiyo hujaielewa kwa usahihi wake na unadhamiria kwa dhati kubadilisha maana iliyokusudiwa, najiuliza yupo anayeweza kukuelewesha ukaelewa kweli? Kama yupo naomba m-tag anisaidie. Ni vema kutunza muda wako kwa mazuri
Jadiliana na wengine tafadhali
TSK!
Nikisema hufahamu aina na sifa za uthibitisho/ushahidi ukubalikao kielimu nitakuwa nakosea?
Nikithibisha kwa namna ambayo mimi pekee naona ni bora ndo uthibitisho unakuwa ni wenye nguvu na wenye kukubalika?
Fahamu: Thibitisho hazielezwi kwa kuzingatia uono binafsi bali hoja zenye tija zilizochipuka kielimu
Jizidishe, JF si kijiwe nongwa
Theist; Naweza kupaa angani kama ndege
Atheist; Hapana hiyo haiwezekani
Theist; Thibitisha kama siwezi kupaa angani kama ndege
[emoji23][emoji23]
Unajitekenya na kucheka mwenyeweTheist; Naweza kupaa angani kama ndege
Atheist; Hapana hiyo haiwezekani
Theist; Thibitisha kama siwezi kupaa angani kama ndege
[emoji23][emoji23]
Acha blah blah
Shusha hizo nondo
Naelewa kama ni "kitanda ambao umentandikia na kukaa na kuongeaongea kikawaida ...Labda wewe unaelewa nini kuhusu kitu ambacho HAKIPO?
Unaboa [emoji23]
Wewe ndo uliyewasilisha madai kwamba MUNGU hayupo, soma comments zangu; hamna andiko lenye madai yanayofanana na hayo
So wewe ndo unayetakiwa utoe uthibitisho wa madai yako na si mimi
We naje
Unaboa [emoji23]
Rejea post #1917 na #1924
Next time make sure you don't sound like you don't possess consciousness
Unaboa [emoji23]
Wewe ndo uliyewasilisha madai kwamba MUNGU hayupo, soma comments zangu; hamna andiko lenye madai yanayofanana na hayo
So wewe ndo unayetakiwa utoe uthibitisho wa madai yako na si mimi
We naje
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kama MUNGU hayupo ile chumvi iliyopo kwenye maji ya bahari ameweka babu yako?
Na ile sukari iliyomo kwenye nanasi kaweka mjomba wako?
Kwenye hio Quran unayoibeza Allah amezungumzia miaka 1400 iliyopita mambo haya hapa ya Kisayansi ambayo wanasayansi wa karne hii ya 21 baada ya mapinduzi makubwa ya teknolojia wamekuja kuthibitisha kua mambo yote hayo ni ukweli mtupu.
View attachment 2826737View attachment 2826738View attachment 2826739View attachment 2826740View attachment 2826741View attachment 2826742View attachment 2826743View attachment 2826744