Mkuu acha blah blah THIBITISHA kwa namna utakayoona bora kabisa kwako kwa mtu kukuelewa
TSK!
Nikisema hufahamu aina na sifa za uthibitisho/ushahidi ukubalikao kielimu nitakuwa nakosea?
Nikithibisha kwa namna ambayo mimi pekee naona ni bora ndo uthibitisho unakuwa ni wenye nguvu na wenye kukubalika?
Fahamu: Thibitisho hazielezwi kwa kuzingatia uono binafsi bali hoja zenye tija zilizochipuka kielimu
Jizidishe, JF si kijiwe nongwa