Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Toka utotoni nimelishwa kuna Mungu lakini HAKUNA hata mtu mmoja aliyewahi KUNITHIBITISHIA uwepo wa Mungu...... sio Askofu, shekh, mitume na manabii

Halafu mimi ninaye ambiwa kuna Mungu toka utotoni ndio natakiwa nithibitishe HAYUPO [emoji23]
Kwasababu wewe ndio umewasilisha hoja ya hakuna mungu,
 
Nimekuuliza tokea umezaliwa ushawahi kuiona kwa macho yako hewa ya Oxygen?
Oxygen ni colorless Kwa macho ya kawaida ya binadamu, Ila kama ukitumia vifaa maalumu cha kielektroniki ambacho hutumia mwanga wa ultraviolet ili kugundua uwepo wa oksijeni .

Umenielewa?
 
Oxygen ni colorless Kwa macho ya kawaida ya binadamu, Ila kama ukitumia vifaa maalumu cha kielektroniki ambacho hutumia mwanga wa ultraviolet ili kugundua uwepo wa oksijeni .

Umenielewa?
Hivi wewe una akili kweli?
 
Kwasababu wewe ndio umewasilisha hoja ya hakuna mungu,

Mkuu nimeandika kwamba nimeanza kuaminishwa uwepo wa Mungu na wazazi wangu ikaja jamii kisha viongozi wangu wa dini...... hawa wote walianzisha wao kuniambia na kuniaminisha kuna Mungu lakini walishindwa kunithibitishia uwepo wake

Labda wewe unao, naomba nisaidie basi [emoji120]
 
Wewe unaamini ili uishi ni lazima uvute hewa safi ya Oxygen.
Kwa macho yako ushawahi kuiona hewa ya Oxygen?

Mkuu kwani uthibitisho wa uwepo wa kitu ni lazima UONEKANE KWA MACHO TU?

Hatuoni Sauti, harufu nk nk lakini tunao uthibitisho kuwa vitu hivyo vipo

Achana na simulizi za Mudi na Fundi kapenta wa Galilaya
THIBITISHA uwepo wa Mungu
 
Haya majibu uswazi zaidi kwa hoja ngumu.
 
Pole ila kama unachosema hakitokani na kiburi cha moyo wako ila ni ufahamu hafifu unaopelekea imani ndogo kwa Mungu nakuombea wewe na mimi pia Mungu atuguse kwa namna ya kipekee ile tuweze kumfahamu japo katika mipaka hii hi ya uelewa wetu... Mungu na akubariki
 
Kwasababu mimi ni muumini wa SAYANSI na nikikwambia nithibitishie kisayansi utaanza porojo zingine [emoji23]

Unachojinasibu nacho hakikusadifu hakikupendi wala hukifahamu kwa kina, unatuharibia kaa chonjo
 
Toka utotoni nimelishwa kuna Mungu lakini HAKUNA hata mtu mmoja aliyewahi KUNITHIBITISHIA uwepo wa Mungu...... sio Askofu, shekh, mitume na manabii

Halafu mimi ninaye ambiwa kuna Mungu toka utotoni ndio natakiwa nithibitishe HAYUPO [emoji23]

Waliokuaminisha ndo waliyoanzisha hii mada JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…