Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Kwasababu wewe ndio umewasilisha hoja ya hakuna mungu,Toka utotoni nimelishwa kuna Mungu lakini HAKUNA hata mtu mmoja aliyewahi KUNITHIBITISHIA uwepo wa Mungu...... sio Askofu, shekh, mitume na manabii
Halafu mimi ninaye ambiwa kuna Mungu toka utotoni ndio natakiwa nithibitishe HAYUPO [emoji23]