Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

NAMWAMINI MUNGU,NAAMINI YUPO INGAWA SIWEZI KUTHIBITISHA ILA ACHA NIAMINI NA KUBAKI HIVO.
Atleast wewe umeelewa maana ya imani.

Lakini ukweli kuwa Mungu huyo hayupo, haumzuii mtu yeyote kuamini kuwa Mungu yupo.

Kwamaana Mungu yupo kama wazo tu kukusaidia kujibu maswali magumu kirahisi kwasababu huyaelewi katika uhalisia.

Yaani unaamini Mungu kwasababu hujui vitu tu, na unatafuta jibu moja la uongo ambalo litakufanya uwe comfortable na si vinginevyo.

Self delusion is a gift of natural selection.
 
Bac Mungu angekuwepo na ni mmoja...mbona kila mtu ana chake, kila mtu ana dhana zake na sheria zake... 😂
 
Toka nimegundua hili nishaacha kwenda kanisani nina karibia miaka 20
 
So ur point is?
 
😂😂😂Ubongo upo hai pia...sio roho ..soma Sayansi dogo acha kujikosha...hujaprove chochote hapa.. umeprove tu duniani Kuna wajinga wengi bac
 
Gesi ya oxygen ipo?

Achilia mbali kuwepo
Wahuni wakuitwa sayansi wanaitengeneza wanaijaza kwenye mitungi na inaokoa baadhi ya watu hospitali
Inatumika kwenye nyambizi chini ya maji na anga za mbali nje ya dunia
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Hao wenye miongozo si ndo wachungaji wa madhehebu na makanisa laki moja duniani... ingekuwa easy hivyo si ukristo ungekuwa mmoja...

Una hoja nzito mkuu
Uzingatiwe
 
😂Asa hapa si umeprove ni dhana coz naweza tengeneza sanamu nikaomba mvua ikanyesha so sanamu yule ndo Mungu au...na mwingine hajaomba ila mvua imemnyeshea pia...
 
Umeandika sana ila hakuna cha maana yaani wewe ni hayawani.. umekufuru Mungu na siku yako ya taabu yaja tulia hivyo hivyo dawa ya uchungu utaielewa..
😂Umetishwa na baba Ako unatutisha na sisi
 
Achilia mbali kuwepo
Mwahuni wakuitwa sayansi wanaitengeneza wanaijaza kwenye mitungi na inaokoa baadhi ya watu hospitali
Inatumika kwenye nyambizi chini ya maji na anga za mbali nje ya dunia
Swali hili lina mlengwa na limeulizwa kwa sababu. Ajibu yeye
 
Mpumbavu usema moyoni mwake kuwa hakuna MUNGU, SI maneno yangu ni bible

Kama hauamini uwepo wa Mungu Kwa sababu haumuoni basi hamini pia kutokuwepo kwa hewa au upepo kwa kuwa hauuoni wala uwezi kuushika, pumbavu.
Maneno ya biblia ni kitu gani na yana umuhimu gani wakati ni mahadithi ya uongo tu!?

Hakuna sehemu yeyote mzungumzaji amesema kwamba haamini katika Mungu kwasababu hamuoni.

That is a straw man argument

Lakini pia, Nkikuweka sehemu yenye hewa unao uwezo wa kutambua uwepo wa Upepo kupitia pua yako.

Nkikupeleka kwenye sayari nyingine kama Mercury au kwenye space, hiyo unayoiita hewa hutoihisi wala hutoivuta kwasababu haitokuwepo.

Upepo unaouwezo wa kuuhisi kwa ngozi yako.

Hivyo upepo na hewa vinathibitishika kabisa kwa milango ya fahamu.

Je kuhusu Mungu unawezaje kutambua uwepo wake?
Unaweza thibitisha uwepo wa Mungu!?
 
Baba yako unaweza kumuita mkatili kwa KUTOMTII...atakufungia bandani siku 2 bila ya kula.....kama inawezekana kwake ni kwanini isiwezekane kwa Mungu kwa KUTOTII maagizo yake na mwishowe akakuadhibu?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
Wewe hata mtoto wako akufanyaje huwezi mchoma Moto Tena milele. Imagine this mtoto wako hajawahi kukuona hajawahi kukuskia isipokuwa kwa watu afu baadae ukutane nae umchome kisa hajaamini upo si utaonekana kichaa
 
😂Soma torati na walawi na Quran afu usome hukumu zake naona unajikosha
 
...kifo na jehanum inayosadikika ndio inawafanya watu waamini na kumwogopa MUNGU... Na ni bora ukawa na imani kuliko kutoamini uwepo wa MUNGU
😂 Paschal's wager...imekuwa debunked na watu kibao...yaani ni kama unambetia Mungu ..😂haya Mungu yupi Yesu au Allah coz huwezi amini wote lazma uchague mmoja ndo usiende motoni..na ukikosea we tayari mshkaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…