Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu

Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea

Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata

Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje

Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake

Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair

Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu

Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously [emoji15]?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani[emoji15]
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk

Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi

Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa

This is the biggest scam ever
Mkuu hata kapicha hakuna?[emoji848]
 
Umeumbwa na kupewa akili timamu kuliko viumbe wengine wote

Akakuletea manabii na vitabu Ili vikupe muongozo jinsi gani uishi Dunia na Baada ya kuondoka duniani

Sasa wewe kama umesoma vitu vyote Yani
TAURATI
ZABURI
INJILI
QURANI

Kisha bado usijue au kuamini kama Mungu yupo basi kupelekwa Jahannam kuchomwa moto ni halali yako

Broo Jahannam inakusubiri
Jehanamu (bonde la Hinom/Gehenna) ni eneo lililo nje kidogo ya Jerusalem ambalo hapo zamani lilitumika kuchoma miili ya wafu.

Jehanamu was a metaphor.

Kwanini Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote kaumba ulimwengu huu wenye kuruhusu mabaya!?
 
Akakuletea manabii na vitabu Ili vikupe muongozo jinsi gani uishi Dunia na Baada ya kuondoka duniani

Sasa wewe kama umesoma vitu vyote Yani
TAURATI
ZABURI
INJILI
QURANI
Kwanini Mungu huyo kwa uwezo wote alionao anatuma watu kuhubiri na sio malaika?

Nlitegemea huko makanisani na miskitini wangekuwa wanahubiri malaika.

Sisi ni binadamu na hatutegemei uwepo wa mungu ili tuwepo.

Lakini Mungu hawezi kuwepo bila binadamu. Mungu huyo anategemea uwepo wa watu kwamaana tumemuumba sisi aishi kama wazo, ili atusaidie kujibu maswali magumu yaliyotukabili hapo awali.

kwasasa mambo mengi tumeweza kuyaelewa na kuyaelezea bila haja ya kuweka dhana ya Miungu.

Wewe uliyeshikilia mambo ya miungu, ni kwamba umeshikwa kwenye uzamani tu na hutaki kubadilika.

Yaani kama ni nguo umevalia fashion ya mwaka 1653.

Kwa miaka yote hyo kwanini Mungu huyo kajificha!?

Kwanini tunahitaji vitabu hivyo ulivyovitaja ama wahubiri na manabii kumhubiri na asijihubiri mwenyewe!?

Ukweli kwamba Mungu hawezi kufanya jambo hili yeye mwenyewe ni ushahidi mzuri ambao unakuonesha Mungu huyo hayupo.
 
Kisichokuwepo hakipo...!! hata kukitamka au kukifikiria haiwezekani maana hakipo...huwezi ukasema Mungu halafu ukasema hayupo....umejuaje Hayupo halafu ukamtamka....!
Kwahyo spiderman (Buibui mtu) yupo?
 
Dini ni UHUNI kama UHUNI mwingine.
Ndio maana wachungaji wanajikusanyia Utajiri WA duniani na waumini wanasubiri ufalme WA mbinguni.
DINI IMETENGENEZWA NA BINADAMU, (WAZUNGU NA WAARABU aka MABINAMU) KWA FAIDA ZAO BINAFSI. ndio maana mzungu wakatwambia TUMELAANIWA mwarabu akatuita KAFIRI.
Si kila maji ni ya kunywa na si kila dini ni ya kihuni, usipite kwenye njia za mkato katika kuhukumu kitu, kwanza pata maarifa ya kina kuhusu jambo halafu ndiyo uweze kutetea msimamo wako. Tofautisha kati ya dini na wafuasi wa dini. Wazungu walitudharau waafrika kutokana na mafundisho ya Biblia kuwa Ham mtoto wa Noah alilaaniwa na baba yake kwa kuwa alimcheka pindi alipolewa na kuwa uchi (soma Genesis 9:20-27), na Ham ndiyo baba wa waafrika, na ndiyo miongoni mwa sababu waliyoipata hao wazungu kutufanya watumwa na kututawala. Waarabu wamesambaza dini si kwa ajili ya kiuchumi bali ni kwa ajili ya kuwalingania wanadamu katika kumuabudu Mungu Mmoja. Hakuna hata nchi moja ya kiarabu yenye kutegemea uchumi wake kutoka nchi za Afrika. Na hakuna imamu mwenye msikiti wake, misikiti si mali ya watu, mtu anaweza akajenga msikiti na akauendesha kwa pesa zake au kwa michango ya waumini. Dini ni neno lenye tafsiri pana sana, itabidi ufanye utafiti ili kujua kwanza nini maana ya dini.
 
😂Basi toa ubongo wako tuone Kama utaishi...si una roho..mbona mnakuwa Kama mmeishia la pili
Kwa nni mtu ajidhuru mwenyewe ?

hata ukikatwa kichwa hautoishi kila kiumbe kina nafsi chenye kuhisi maumivu .. Ukizungumzia nadharia ya Mungu mpaka mimea na wanyama sasa kaangalie kama viumbe wote wana ubongo.
 
Bro sio lazma hata usome Sana hivi ushawahi kukaa vizuri ukasoma bible sio verse mbili unazopewa na mchungaji sijui Jesus loves u...yaani usome story story za Bible vizuri kwa utulivu afu try to make sense...😂utaishia kucheka sometimes lyk nimeaminishwaje hivi
Tunazungumzia uwepo wa Mungu kiakili sio vitabu vilivyoandikwa na wanadamu.
 
😂Nilitaka mtu aanze kujikosha na chain message za Whatsapp za share to 20 ppo... fact check hio story ndo uje useme siku zingine utaaibika. 😂We owner wa titanic unamjua...mbona hamna media yoyote iliyosema kasema hivyo...story zingine mfuatilie...😂
😂😂😂Wewe unamjua na aliyetengeneza aliambiwa je ina usalama kiasi gani je alijibu vip?

Yule zombie wenu stephen hawking na uongo wake mbona kateseka kama zombie na alikuwa mzima mpaka akafa😂😂😂.

Yaani tatizo lake la kuparalyse kalishindwa mpaka kawa kama zombie ,wew unamuamini kwa kusema hamna Mungu.
 
1.Umeongea point ukamtaja Muhammad sijui uneharibu kila kitu...
2. Hiyo hiyo dini ya uislamu ndo inaleta machafuko dunia nzima na unyanyasaji wa wanawake na watu wasioamini dini hio
3. Kama wewe Leo hii unahitaji kitabu kukuambia usiue ndo utaenda mbinguni afu wewe ndo hauui..kitabu hicho hicho kimekuambia ua wasioamini, ua wazinzi, ua mashoga...si utafata...so tayari we sio mtu mwema unaendeshwa na sheria za muarabu mmoja tu...
4. Nchi zipo kibao Including Tanzania ambayo haiendeshwi kwa misingi ya dini na watu wanaishi vizuri tu asa sijui unataka tuwe Taliban usiruhusiwe kunywa hata Serengeti lite
Machafuko hayawezi yakaletwa na uislamu hata kidogo, waislamu hawawezi kufanya machafuko kwani si katika mafundisho yao. Mungu ametukataza kutoa uhai usiyokuwa na hatia, lakini ikiwa nafsi itatenda maovu yapasayo kufa basi sheria itafuata mkondo wake. Hakuna kulazimashana katika dini ya kiislamu ikiwa huiamini basi ni wewe mwenyewe unaweza usiifuate, lakini usije ukaleta fitina kwa kufanya propaganda za kuihujumu dini na wenye dini, hapo hutoeleweka. Nchi zinazofuata dini za kiislamu tunaziona zilivyo na nchi zinazofuata ukristo na dini zao tunaziona jinsi ustawi wa jamii zao. Billy Graham alipata kuandika "Ikiwa Mungu hataiadhibu Amerika, basi itabidi awaombe radhi watu wa Sodoma na Gomora" Billy Graham: 'My Heart Aches for America'
Tanzania haiendeshwi na dini lakini raia zake wana dini zao na ni kweli tunaishi vizuri tu, ila wakati mwingine wanasiasa wanawapoteza hawa waumini maboya. Taliban ni zao la amerika
View: https://www.youtube.com/watch?v=AwpR6ngoSjQ
 
Huwa nashangaa sana wanaoshupaza shingo kukataa nguvu ya uponyoji huku wakiitetea nguvu ya uharibifu kiimani,kwanini msizikatae imani zote?
 
😂😂😂😂Lakini mbona unaongea Kama biology hujasoma kabisa... mwili ni system na lyf ni process sio substance. Bac hio roho imeanza kuwepo wapi...kwenye sperm au kwenye ovum coz nazo ni living zinamove na ni cells zinakula zinaexcrete kila kitu so cell zote Zina roho? Viruses na mimea Ina roho? Mbona unakuwa na akili za muarabu wa 1000 CE
Unaelewa roho ni nn? 😂😂 Wewe sayansi uliyosoma ni ile iliyoandikwa sio uhalisia ...Kiumbe kilichokuww hai kina roho na ndip inafanya kihisia maumivu na mambo mengine .

Kweny sayansi unaambiwa kwa binadamu ubongo ndio unatafsiri kila kitu ila bado utaambiwa ubongo ndio kila kitu ila kuna kitu kinaitwa kupumua(pumzi) 😂😂
 
Bro sio lazma hata usome Sana hivi ushawahi kukaa vizuri ukasoma bible sio verse mbili unazopewa na mchungaji sijui Jesus loves u...yaani usome story story za Bible vizuri kwa utulivu afu try to make sense...😂utaishia kucheka sometimes lyk nimeaminishwaje hivi
Screenshot_20230910-132021.png



Huyu alikuwa mzima😂😂na alisema hamna Mungu ,hajui kesho yake hatimae kawa zombie mpaka anakufa😂.

Mungu yupo hata wewe hujui kesho yako ..Hujafa hajaumbika.
 
Back
Top Bottom