Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Kwanza unathibitishaje kwamba vitabu hivyo ni vya Mungu?Swali zuri.
Mungu ambaye tupelo lazima awe amejielezea yeye mwenyewe kupitiwa vitabu vyake
Ni vigezo gani vinatumika kujua nabii wa ukweli na wa uongo?na mitume kwa maana wale wajumbe wake alio wateua katika wanadamu ambao ni mitume na manabii, sio Hawa wa uongo.
Ulifanya uchunguzi gani na utafiti upi kubaini kwamba manabii wako na mitume wako waliteuliwa na huyo Mungu?
Kwamba Mungu ni wa kwenu tu, waislamu?Mungu wetu sisi Waislamu,
Je binadamu wengine wa dini zingine si watu wa Mungu?
Inakuwaje Mungu huyo huzungumza kwa kiarabu tu?amejielezea ya kuwa ana Mikono miwili yote ipo upande wa kuumeni, anacheka, ana unyayo, anachukia, ana hasira, mpole, mwenye kusamehe, na yuko juu ya kiti chake Cha enzi. Hizi ni baadhi ya sifa zake chache katika nyingi ambazo amejielezea yeye.
Nimeweza kujua yupo, kupitia njia zifuatazo :
1. Akili
2. Mazingira
3. Ufunuo
Na duniani kuna Lugha nyingi sana.
Mungu huyo yupo kweli?