Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Swali zuri.

Mungu ambaye tupelo lazima awe amejielezea yeye mwenyewe kupitiwa vitabu vyake
Kwanza unathibitishaje kwamba vitabu hivyo ni vya Mungu?
na mitume kwa maana wale wajumbe wake alio wateua katika wanadamu ambao ni mitume na manabii, sio Hawa wa uongo.
Ni vigezo gani vinatumika kujua nabii wa ukweli na wa uongo?

Ulifanya uchunguzi gani na utafiti upi kubaini kwamba manabii wako na mitume wako waliteuliwa na huyo Mungu?

Mungu wetu sisi Waislamu,
Kwamba Mungu ni wa kwenu tu, waislamu?

Je binadamu wengine wa dini zingine si watu wa Mungu?
amejielezea ya kuwa ana Mikono miwili yote ipo upande wa kuumeni, anacheka, ana unyayo, anachukia, ana hasira, mpole, mwenye kusamehe, na yuko juu ya kiti chake Cha enzi. Hizi ni baadhi ya sifa zake chache katika nyingi ambazo amejielezea yeye.

Nimeweza kujua yupo, kupitia njia zifuatazo :

1. Akili
2. Mazingira
3. Ufunuo
Inakuwaje Mungu huyo huzungumza kwa kiarabu tu?

Na duniani kuna Lugha nyingi sana.

Mungu huyo yupo kweli?
 
Ila akili iliyo salama inakiri uwepo wa Mungu. Ukiona unakana uwepo wa Mungu ujue akili yako ina shida au unafikiria mambo kitoto sana au juu juu sana.

Mimi nataka utuambie umejuaje kama Mungu hayupo ?

Umejibiwa kwamba kischokuwepo hakipo

Wewe unaweza kuthibitisha kwamba hakuna Mungu Thor au Zeus au nani sijui?
Unaweza kuthibitisha hakuna Valhala? unaweza kuthibitisha hakuna Aliens? Hakuna spiderman?
Unaweza kuthibitisha hakuna Malaika wa ki hindu au Mungu wa bahati wa kikorea?
Unaweza kuthibitisha miungu ya mapango ya Amboni haipo au Mungu wanaomtambikia wa hadzabe hayupo?
Kuna zaidi ya Miungu milioni dunia nzima unaweza kuthibitisha hawapo?

Kwamba ukishindwa kuthibitisha basi hao Mungu wote wapo?

Mbona mnatumia logic za kitoto sana ku prove uwepo Mungu?
 
Kwahiyo kama hivi Morocco inaonekana walizidi sana dhambi Allah akaamua kuwaadhibu na tetemeko?
Kwamba wale watoto wachanga pale hospitali ya kansa Muhimbili wamemkosea sana Mungu kwa kutofuata manual ya Allah?

Swali lako ni zuri sana nitakujibu. Lkn kabla sijakujibu nikuulize swali dogo huenda ktk kunijibu utapata jibu lako pia.

Nikuulize; hivi kwa M. Mungu hayupo sawa na mnavyoamini ndio maana mambo hayo kama natural disaster kama volcano au vitu kama kansa kutokea.
 
Je Mungu huyo atabaki kuwa ni wa upendo wote!?

Hana mbinu nyingine ya kumfanya ajulikane yupo kama vile kujionesha kupitia milango ya fahamu aliyotuwekea. Akijionesha shida iko wapi!?

Kwasababu mbinu hiyo ya matetemeko imewaonesha waliowengi kuwa hayupo.

Hulioni hili wewe au umeamua kukubali tu ili ubishanie ujinga!?
Wewe umemfanyia nini Mungu aliyekuumba, akakujaalia uhai, chakula, malazi, afya, pumzi and all you have!??? Zaidi ya kukufuru tu na kukithirisha UASI!!!!!
 
😂Si Muhammad

Sisi hatuabudu watu kama wenzetu wa upande wa pili.

Moja ya somo muhimu unaposoma mtaala wa kislam unaulizwa, taja sifa ya dini ya kweli/ sahihi.

Swali hili majibu yake yapo ktk orodha ya majibu zaidi ya 10.

Moja ya majibu hayo ni:

Dini ya kweli haitokani na jina la mtu, kitu, eneo, siku.
 
Swali lako ni zuri sana nitakujibu. Lkn kabla sijakujibu nikuulize swali dogo huenda ktk kunijibu utapata jibu lako pia.

Nikuulize; hivi kwa M. Mungu hayupo sawa na mnavyoamini ndio maana mambo hayo kama natural disaster kama volcano au vitu kama kansa kutokea.

Kitu cha muhimu unachotakiwa kujua ni kwamba BINADAMU HAJUI KILA KITU

Majanga yanayotokea duniani sio kwasababu hakuna Mungu au kuna Mungu

Watu wanahoji kuhusu uwepo wa Mungu na kuruhusu majanga kutokea na kutesa viumbe wake tena vitoto vichanga wakati tuna ambiwa anawapenda kama mboni ya jicho lako
 
Sisi hatuabudu watu kama wenzetu wa upande wa pili.

Moja ya somo muhimu unaposoma mtaala wa kislam unaulizwa, taja sifa ya dini ya kweli/ sahihi.

Swali hili majibu yake yapo ktk orodha ya majibu zaidi ya 10.

Moja ya majibu hayo ni:

Dini ya kweli haitokani na jina la mtu, kitu, eneo, siku.
🤣🤣🤣Ila mnaenda mecca kuzunguka jiwe la waarabu na kitabu chenu ni Cha kiarabu...huyu muumba wa ulimwengu wenye galaxies billion aliona kota pa kijinga akaamua mji fulani jangwani Arabia ndo uwe mtakatifu...sawa mwanangu Allah wakbar
 
In imaginary way we are insignificant pearl in infinity palm of our lord , he has left us to find out our own purpose of life, the greatest meaning of our existence

In either way either we choose to believe in his mighty or not it will not change the fact that God exists

Choose wise.

Either

God doesn't care that life is shit for so many people.

God cares, but is powerless to intervene.

God is evil and enjoys watching people suffer.

GOD DOESN’T EXIST

Those are the options to choose.
 
Either

God doesn't care that life is shit for so many people.

God cares, but is powerless to intervene.

God is evil and enjoys watching people suffer.

GOD DOESN’T EXIST

Those are the options to choose.

Mbona hujatuwekea jina la hicho kitabu chako kinachosema hivyo?
 
Ndivyo ulivyofundishwa Shuleni? Kuuliza swali na swali?

Kwani wewe ni Mzenji?
Wewe mbona uliponiita mwarabu koko hivyo ndivyo ulivyofundishwa shuleni? Zenji ndio nini ?
 
Mbona hujatuwekea jina la hicho kitabu chako kinachosema hivyo?

Kitabu cha nini tena mkuu?

Siamini katika “Vitabu vya Mungu”
Natumia tu common sense au sayansi
 
Wewe mbona uliponiita mwarabu koko hivyo ndivyo ulivyofundishwa shuleni? Zenji ndio nini ?
Ndiyo. Nilivyofundishwa.
Wapi hapo nilipokuita wewe ni Mwarabu coco Jagina?

Zanzibar ilivamiwa na nani?

Sasa kaweke domo lako kama chu chunge uone itakusaidia nini.
 
Ndiyo. Nilivyofundishwa.
Wapi hapo nilipokuita wewe ni Mwarabu coco Jagina?

Zanzibar ilivamiwa na nani?

Sasa kaweke domo lako kama chu chunge uone itakusaidia nini.

Soma ulichokiandika post ya #500

Zanzibar ilivamiwa na Nyerere na kuuliwa maelfu ya watu
 
Kitabu cha nini tena mkuu?

Siamini katika “Vitabu vya Mungu”
Natumia tu common sense au sayansi
Kama unatumia akili yako , una hakika gani ya unavyosema kuwa ni sawasawa?
 
Wewe ni mtu mwenye roho mbaya sana.

Umeshindwa kuapreciate yote haya yaliyofanywa na sayansi,

Unaidharau science hii ambayo unatumia device (computer) kuwasiliana hapa JF!?

Then unasema hakuna jipya imetengeneza!?

Unaposem haijagundua lakini imefanya yasiyofahamika vyema yakafahamika huo si ugunduzi?


Unauhakika haina majibu au wewe ndo hujayasoma tu!?
Yamekuwa hayo tena....roho mbaya...umejuajae kuwa binadam ana roho mbaya au nzuri wakati sayansi imeshindwa kuthibitisha uwepo wa roho.
..kutumia vifaa vya kisayansi na kuvikubali sio sababu ya kuviabudu na kuwa mjinga hadi nijitoe ufaham kuwa hakuna Mungu....

Kufahamik kwa kitu sio kugundua ....unapoenda shuleni ukafundisha kusoma ukazijua herufi hakukufanyi uwe mgunduzi wa herufi ila kunakufanya uzifahamu herufi....madini yaliyotengeneza hizi simu yalikuwepo before hujakuwepo hukuyatengeneza umeyakuta....ubongo uliotumika kufikiri na kuchanganya madini haya haya hata ukasema leo hakuna Mungu hukuutengeneza umejikuta unao na aliyekupa ndio huyo unasema hayupo....
 
Back
Top Bottom