Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Okay so we hujui ulimwengu umetokea wapi solutions ni kumsikiliza yoyote yule utakayekutana nae ambae atakuambia Mungu wa dini yake ndo katengeneza ila ye hajatengenezwa na anataka ufate sheria hizi or else unakaangwa Kama sato?
Kwanza tambua kuwa Mungu mkuu wa miungu yupo....kwa maana kuwa Mungu sio jina ila ni cheo, kama ilivyo kwa Papa, Farao, rais n.k na kila binadam anao uhuru wa kuchagua ni Mungu gani atakayemuabudu....kwenye swala la kumsikiliza yeyote hilo sio kweli! mie siamini katika dini wala dhehebu lolote....na sifungamani na sheria zao.
 
Naomba uonyeshe uwezekano wa kuwepo Dunia ambayo Haina Mungu ?

Tupe sababu tano tu, kwa kuanzia.

IMG_2791.jpg

Mkuu hii dunia ina imani ya Miungu zaidi ya unayemuamini wewe na kila mtu anaamini Mungu wake ndio anaiendesha dunia

Wewe ni muislam kwasababu umezaliwa kulelewa na kuwa brainwashed kuwa Allah ndio Mungu wa kweli..... huu ni ukweli ambao huwezi kuukwepa

Ungezaliwa Israel kwa wazazi Jew ungekuwa Jew
Ungezaliwa India kwa wahindu ungekuwa Hindu nk nk

95% wapo kwenye imani zao kwasababu wamezaliwa na kulelewa na kuaminishwa wanacho amini.

Kuna msemo unasema

“There’s almost 1M Gods worshipped by humanity, But don’t worry only your is right”

Kimantiki anamaanisha Mungu ni dhana tu na itakua “sahihi” huko upande wako ulikoaminishwa
 
Kwanza tambua kuwa Mungu mkuu wa miungu yupo....kwa maana kuwa Mungu sio jina ila ni cheo, kama ilivyo kwa Papa, Farao, rais n.k na kila binadam anao uhuru wa kuchagua ni Mungu gani atakayemuabudu....kwenye swala la kumsikiliza yeyote hilo sio kweli mie moja siamini katika dini wala dhehebu lolote....na sifungamani na sheria zao.
Bac u r one step closer to the truth...good boy
 
Dahh! Kweli wazazi wanazaa.... 😄😄🙌🏾

Sass huyu si CHIZI huyu jaman?! 😳😥😰

Cheo cha uselamavi naombeni mnivue HOHEHAE, mumpe huyu mleta mada 😅

dronedrake
 
😂😂😂maswali ya kijinga Kama haya tushakataaga, Rudi form 2 nenda maabara wakakuonyeshe evidence ya oxygen...afu ukitoka hapo type evidence ya dini kuwa kweli...
Tatizo lenu ni kutaka kuthibitisha mambo ya Mungu kwa kutumia hivi vijitools vyenu mnavyoviita majina tofauti tofauti na kuviweka sehemu moja na kupaita mabara....kwa sasa bado kuna matatizo mengi tunayo...kabla ya kuanza kutafuta wa kumlaumu na kusema hayupo au yupo pambana na hayo kwanza...adui kwa kwanza kabisa ni kifo....tukimshinda huyo then njoo hapa tamka vyovyote utakavyo hata useme Mungu ni boya au sijui nini nitakuamini!
Wa pili ni muda....huyu nae anaumiza kichwa...lakini niamini ukimshinda huyo wa kwanza huyu wa pili hana maajabu.
 
Lakini pia, Nkikuweka sehemu yenye hewa unao uwezo wa kutambua uwepo wa Upepo kupitia pua yako.

Nkikupeleka kwenye sayari nyingine kama Mercury au kwenye space, hiyo unayoiita hewa hutoihisi wala hutoivuta kwasababu haitokuwepo.

Upepo unaouwezo wa kuuhisi kwa ngozi yako.

Hivyo upepo na hewa vinathibitishika kabisa kwa milango ya fahamu.
Masahihisho hewa sio upepo......kwenye sayari nyingine upepo upo ndio maana tunashudia vimbunga kwenye sayari kama mars, jupiter lakini sio hewa ile... ufafanuzi zaidi next time.
 
Kwahiyo kuna mungu wasioisha (infinity) nyuma ya Mungu aliyeumba kila kitu?
Uwe unajibu kwanza maswali unayo ulizwa, kisha unaulizia. Hii tabia wakana Mungu mtaiacha lini ?
 
😂Muulize na nanasi linakuwaje tamu bila Mungu ..na mkuksi unakuwaje mnato...😂maana ndo maswali yenu yanapoelekea asa sijui mnataka mjibiwaje
Huko hatuwezi kwenda sababu si swali la msingi.

Tuko makini sana kuliko unavyo fikiria, jibu swali nililo uliza, kama huna jibu tulia usome tunaya yaandika.
 
Skia, mi Ninakuambia Nina mpira mzuri...kitu Cha kwanza utaniambia nikuonyeshe...nikianza kusema hoo unajua, wewe inabidi uprove Sina, unajuaje Sina mpira blah blah nyingi...si utanipotezea na kuniona kichaa...same as u ..tunavyokuona
Sasa umeona unavyo jichanganya ? Mnatakiwa mjifunze kanuni za mijadala. Hapo umeonyesha ya kuwa anaye kanusha ndio anatakiwa athibitishe juu ya kile anacho kikanusha.

Naposema Mungu yupo, na wewe unae dai hayupo, nani anatakiwa amthibitishie mwenzie ?
 
Kwanza unathibitishaje kwamba vitabu hivyo ni vya Mungu?
Sababu vina chain na hakuna mwanadamu anaye weza kuandika mfano wa vitabu hivyo, na challenge walipewa wale walio kana hayo.

Ukanaji hamjaanza nyie, wapo walio watangulia na wale walio watangulia nyinyi walikuwa na hoja na wenye maarifa lakini walishindwa kufanya hivyo.
 
Unaweza kuthibitisha hakuna Valhala? unaweza kuthibitisha hakuna Aliens? Hakuna spiderman?
Naam naweza.

Nilicho kiona kwako ni kuwa, unaandika mambo usiyo kuwa na elimu nayo. Huu ujinga mtaiacha lini ?

Yaani unaulizia maswali marahisi sana, kiasi amcho yanathibitisha ya kuwa humjui Mungu ambaye unasema hayupo, hii inaonyesha una akili ndogo na ufikiriaji wako wa kitoto.

Yaani ukimjua Mola hao wengine kuonyesha kutokuwepo kwao ni rahisi sana.
 
Unaweza kuthibitisha hakuna Malaika wa ki hindu au Mungu wa bahati wa kikorea?
Unaulizia swali la uongo, ungekuwa Malaika no nani, bila shaka usongeuliza swali hili, eti "Unaweza kuthibitisha hakuna Malaika wa ki-Hindu", mkiambiwa nyinyi vichwa mchunga mnasema tunawatukana. Malaika ni kiumbe maalumu kwacho hakipatikani kwa wengine ila Mola muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo.
 
Back
Top Bottom