emback
JF-Expert Member
- Jan 3, 2013
- 444
- 372
Kwani humjui!?Kwahyo spiderman (Buibui mtu) yupo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani humjui!?Kwahyo spiderman (Buibui mtu) yupo?
Kwanza tambua kuwa Mungu mkuu wa miungu yupo....kwa maana kuwa Mungu sio jina ila ni cheo, kama ilivyo kwa Papa, Farao, rais n.k na kila binadam anao uhuru wa kuchagua ni Mungu gani atakayemuabudu....kwenye swala la kumsikiliza yeyote hilo sio kweli! mie siamini katika dini wala dhehebu lolote....na sifungamani na sheria zao.Okay so we hujui ulimwengu umetokea wapi solutions ni kumsikiliza yoyote yule utakayekutana nae ambae atakuambia Mungu wa dini yake ndo katengeneza ila ye hajatengenezwa na anataka ufate sheria hizi or else unakaangwa Kama sato?
Naomba uonyeshe uwezekano wa kuwepo Dunia ambayo Haina Mungu ?
Tupe sababu tano tu, kwa kuanzia.
Bac u r one step closer to the truth...good boyKwanza tambua kuwa Mungu mkuu wa miungu yupo....kwa maana kuwa Mungu sio jina ila ni cheo, kama ilivyo kwa Papa, Farao, rais n.k na kila binadam anao uhuru wa kuchagua ni Mungu gani atakayemuabudu....kwenye swala la kumsikiliza yeyote hilo sio kweli mie moja siamini katika dini wala dhehebu lolote....na sifungamani na sheria zao.
Tatizo lenu ni kutaka kuthibitisha mambo ya Mungu kwa kutumia hivi vijitools vyenu mnavyoviita majina tofauti tofauti na kuviweka sehemu moja na kupaita mabara....kwa sasa bado kuna matatizo mengi tunayo...kabla ya kuanza kutafuta wa kumlaumu na kusema hayupo au yupo pambana na hayo kwanza...adui kwa kwanza kabisa ni kifo....tukimshinda huyo then njoo hapa tamka vyovyote utakavyo hata useme Mungu ni boya au sijui nini nitakuamini!😂😂😂maswali ya kijinga Kama haya tushakataaga, Rudi form 2 nenda maabara wakakuonyeshe evidence ya oxygen...afu ukitoka hapo type evidence ya dini kuwa kweli...
Masahihisho hewa sio upepo......kwenye sayari nyingine upepo upo ndio maana tunashudia vimbunga kwenye sayari kama mars, jupiter lakini sio hewa ile... ufafanuzi zaidi next time.Lakini pia, Nkikuweka sehemu yenye hewa unao uwezo wa kutambua uwepo wa Upepo kupitia pua yako.
Nkikupeleka kwenye sayari nyingine kama Mercury au kwenye space, hiyo unayoiita hewa hutoihisi wala hutoivuta kwasababu haitokuwepo.
Upepo unaouwezo wa kuuhisi kwa ngozi yako.
Hivyo upepo na hewa vinathibitishika kabisa kwa milango ya fahamu.
Ukituliza panick, utamwelewa mwandishiMnyiramba wakwanza wa hovyo sana.
Hujui kitu na huna akili hata moja
Huamini kuhusu Mungu ila unaamini uchawi bogus wewe
Ongeza umakini, soma niliyo yaandika huko nyuma nilipo ku quote utaonaajibu.Wapi umejibu
Uwe unajibu kwanza maswali unayo ulizwa, kisha unaulizia. Hii tabia wakana Mungu mtaiacha lini ?Kwahiyo kuna mungu wasioisha (infinity) nyuma ya Mungu aliyeumba kila kitu?
Huko hatuwezi kwenda sababu si swali la msingi.😂Muulize na nanasi linakuwaje tamu bila Mungu ..na mkuksi unakuwaje mnato...😂maana ndo maswali yenu yanapoelekea asa sijui mnataka mjibiwaje
Sasa umeona unavyo jichanganya ? Mnatakiwa mjifunze kanuni za mijadala. Hapo umeonyesha ya kuwa anaye kanusha ndio anatakiwa athibitishe juu ya kile anacho kikanusha.Skia, mi Ninakuambia Nina mpira mzuri...kitu Cha kwanza utaniambia nikuonyeshe...nikianza kusema hoo unajua, wewe inabidi uprove Sina, unajuaje Sina mpira blah blah nyingi...si utanipotezea na kuniona kichaa...same as u ..tunavyokuona
Kujiumba ni sifa ya udhaifu Mola wetu ni mkamilifu yupo hajawahi kutokuwepo.Huyo Mungu kajiumba?
Sababu vina chain na hakuna mwanadamu anaye weza kuandika mfano wa vitabu hivyo, na challenge walipewa wale walio kana hayo.Kwanza unathibitishaje kwamba vitabu hivyo ni vya Mungu?
Swali la msingi liko pale pale, umejuaje ya kuwa hakipo ? Mfano rahisi sana wewe unakijuaje kitu ambacho hakipo ? Maswali marahisi yanawashinda.Umejibiwa kwamba kischokuwepo hakipo
Naam Mimi naweza, na hili kwangu rahisi sana.Wewe unaweza kuthibitisha kwamba hakuna Mungu Thor au Zeus au nani sijui?
Naam naweza.Unaweza kuthibitisha hakuna Valhala? unaweza kuthibitisha hakuna Aliens? Hakuna spiderman?
Unaulizia swali la uongo, ungekuwa Malaika no nani, bila shaka usongeuliza swali hili, eti "Unaweza kuthibitisha hakuna Malaika wa ki-Hindu", mkiambiwa nyinyi vichwa mchunga mnasema tunawatukana. Malaika ni kiumbe maalumu kwacho hakipatikani kwa wengine ila Mola muumba wa mbingu na ardhi na vilivyomo.Unaweza kuthibitisha hakuna Malaika wa ki hindu au Mungu wa bahati wa kikorea?
Kwahiyo miungu hao ndio wameumba hii Dunia ?Kuna zaidi ya Miungu milioni dunia nzima unaweza kuthibitisha hawapo?