Zemanga zoze
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,016
- 1,722
Hahaha yesu na mtume mwamwedi walikuwa wajaluo weusi tii hata, wazungu na waarabu koko wanajua hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hujajibu swali langu, umejuaje ya kuwa Mungu hayupo ? Mpaka ukaanza kumkana ?🤣🤣🤣🤣bac sawa mkuu hayupo kwa sababu hujanipa evidence ya uwepo wake...na nanasi kuwa tamu au Tako kuwa zuri sio evidence
Thibitisha hilo, usilete hitimisho la kimantiki, hitimisho la kitoto na uvivu wa kufikiria.🤣bac na ulimwengu haujawahi kutokuwepo so hauhitaji muumba wako...thank u
Halafu unataka kujadiliana kuhusu Mungu ?🤣Kitabu gani hiko...wakati mkikanwa ndo wakwanza kuandamana kupiga watu mawe kulipua maghorofa kuuwa etc.... hata mtoto wa la Saba ambae hajazaliwa katika dini yoyote akipewa vile vitabu anasoma anacheka kabisa
Hakuna muumbaji.Ila ni nani!?
Jibu swali nililo kuuliza kijana.
Kwahiyo miungu hao ndio wameumba hii Dunia ?
HahahaThibitisha madai yako.
Kumsingizia mtu maneno bila uthibitisho ni jambo baya sana.
Kwa nini unaona kila anayehojibuwepo wa Mungu ni Kiranga wakati hizi habari zilikuwepo maelfu ya miaka kabla mimi sijazaliwa?
Yani kila anayehoji uwepo wa Mungu hapa ni Kiranga?
Huoni kwamba hapo unajionesha ujinga wako tu?
What the fvck?
Hii ni uongoUwepo wa Kiumbe Mwanadamu ambaye hata wanasayansi wamejaribu kuiga kutoa kopy yake Maabara lakini wameshindwa.
Swali la msingi liko pale pale, umejuaje ya kuwa hakipo ? Mfano rahisi sana wewe unakijuaje kitu ambacho hakipo ? Maswali marahisi yanawashinda.
Naomba tuelewane kitu.N
Ndugu tunapobishania haya na wewe hebu leta Facts zako (NB: Zisiegemee kwenye Imani) ya Kwamba hivi vitu (Dunia, Jua, Binadamu nk) vinatoka wapi? Usiishie tu kusema ni Nature!!
Mimi nimekwambia kwamba Vitu hivi chanzo chake ni Mwenyezi Mungu na ukiniuliza chanzo cha huyo Mwenyezi Mungu ntakwambia yeye alikuwepo toka enzi na enzi (reference from the holly books).
Sasa na wewe unaposema hivi vitu ni nature jaribu kuonyesha mfano inakuwaje kama binadamu chanzo chake ni Nature Kwanini binadamu huyo huyo anapojaribu kuImmitate nature hiyo ashindwe hali ya kuwa vingine aweze,, Sababu ni nini???
Kwamba watu ni wa udongoNimezaliwa kutoka kwa baba au mama ..we nionyeshe udongo uliyokuumba
Huhitaji kuthibitisha kisicho kuwepo. Ila kile ambacho kipo kinaweza kuthibitishwa uwepo wake.Bado hujajibu swali langu, umejuaje ya kuwa Mungu hayupo ? Mpaka ukaanza kumkana ?
Usikimbie swali la msingi.
Suala la nanasi kuwa tamu na Tako kuwa zuri, hiyo ni kazi ya Mola muumba aliye viumba viwili hivyo. Hili tutalijadili wakati wake ukifika.
Thibitisha kwamba miungu wao wameumba hii Dunia. Kingine utuambie kitu ili kiumbe kinatakiwa kiwe na sifa gani ?Yes,
Hii si kweli, baada ya kuzaliwa katika Uislamu, haikutosha hapo, nikaanza kumsoma na kumjua na nina endelea kumsoma, kadhalika natumia akili, mazingira kujua uwepo wake.Nimekwambia una muamuni mungu wako kwakuwa umezaliwa na kulelewa na kuwa brainwashed toka utotoni
Hapa bado hujatoa ushahidi huenda hujui maana ya ushahidi, ushahidi ili uwe ushahidi lazima udiriki kile kinachotolewa ushahidi kwacho.Ungezaliwa na wahindu uhundini ungekuwa budha na ungekomaa kumtetea mungu wa kihindi...... huu ni ushahidi tosha HAKUNA MUNGU isipokua tunarithishana zana ya Mungu
Kivipi ? Hizi falsafa tu ambazo hazina ithibati ya kiakili, uhalisia na mazingira. Nataka ulete ithibati.Kutokuwepo kwa Mungu ni ushahidi wa kutokuwepo kwa Mungu
Huu utoto mwingine. Huu mfano katika hii nukta hauingii, tunaongelea uumbaji unaleta mfano dhaifu wa meza na chakula. Wewe tuambie imekuwaje hii Dunia ikawepo na utuonyeshe kutokuwepo kwa Mungu.Kama hakuna chakula kwenye meza ni ushahidi kwamba hakuna chakula kwenye meza.... PERIOD
Hujaonyesha hilo, zaidi ya kurudia hichi ulichokiandika kwa kutoa mfano wa meza na chakula.Post yangu # 1 nimeeleza kwanini dhana ya Mungu ni uongo
Nilitarajia utapangua hoja ka hoja
Kwahiyo hili ulichokiandika unasema hoja. Sasa njoo tujadili kwa masharti haya mawili tu :Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata
Zaidi ya mara moja, katika kila mjadala tunao jadili kuhusu uwepo wa Mola, nimethibitisha juu ya uwepo.Wewe umemthibitisha huyo Mungu wako?
Kivipi ? Hizi falsafa tu ambazo hazina ithibati ya kiakili, uhalisia na mazingira. Nataka ulete ithibati.
Huu utoto mwingine. Huu mfano katika hii nukta hauingii, tunaongelea uumbaji unaleta mfano dhaifu wa meza na chakula. Wewe tuambie imekuwaje hii Dunia ikawepo na utuonyeshe kutokuwepo kwa Mungu.
Kutokuwepo kwa chakula kwenye meza kinahitaji maelezo. Kwamba je kilikuwepo hapo kabla kisha kikawa hakipo, na hakikuwepo kabisa utuambie umejuaje kama hakipo ?
Hujaonyesha hilo, zaidi ya kurudia hichi ulichokiandika kwa kutoa mfano wa meza na chakula.