Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Wewe umemfanyia nini Mungu aliyekuumba, akakujaalia uhai, chakula, malazi, afya, pumzi and all you have!??? Zaidi ya kukufuru tu na kukithirisha UASI!!!!!
Mimi nakuonesha contradiction kwenye hyo imani yenu, wewe umeshindwa hata kunielewa.

Wewe umejua vipi kuwa kuna aliyeniumba zaidi ya kwamba nlizaliwa tu!?

Umejuaje kama Mungu yupo zaidi ya kwamba ni hadithi za uongo tu zilizotungwa na watu wa zamani.?
 
Nasubiri mazingira na akili mkuu
Mazingira yako wazi sana. Uwepo wa usiku na mchana unathibitisha ya kuwa yupo aliye uweka tena mwenye ujuzi na mpangiliaji wa mambo.

Jua kuzama Magharibi na kuchomoza Mashariki, uwepo wa Mwezi kadhalika, mabadiliko ya majira hivi haviwezi kuwepo pasi na kupangiliwa. Hii tunaita "Self evident Truth".

Akili iliyo salama, inakataa ya kuwa Dunia Haina mwenyewe, akili iliyo salama ina hoji kwanini tupo duniani ? Je tupo ili tuoshi tu kisha iwe basi ? Akili iliyo salama inakusukuma wewe kujua lengo la kuishi kwako, hapo lazima utakiri ya kuwa yupo aliye tuumba tena kwa malengo.

Akili iliyo salama, inatafuta lengo la maisha, inakataa ya kuwa, iweje muovu adhulumu halafu iwe basi tu, au fisadi afisidi halafu iwe basi. Lazima kutakuwa na ukomo na siku ya malipo.

Mambo yako mengi sana yanayo onyesha uwepo wa Mungu.
 
Kwahiyo wewe unakubaliana kwamba kuna kibuyu cha kinyiramba kinazunguka kwenye orbit ya jua?

By default huwezi kuamini hadi uthibitishiwe

Siamini Mungu by default hadi nithibitishiwe

Kwanini unalazimisha uwepo wake kwasababu siwezi kuthibitisha uwepo wake?

MIMI SIWEZI KUTHIBITISHA KUTU AMBACHO HAKIONEKANI, HAKIHISIKI, HAKITHIBITIKI, HAKINUSIKI yaani HAKIPO
Kinasemwa tu kwenye vitabu kuna Mungu
Sasa kwanini unasema hakipo na umekiri ya kuwa huwezi kuthibitisha ? Unatumia nini kufikiri ?

Mimi nimeshakuthibitishia, nataka uje ukosoe ithibati zangu.

Kwanini unalazimisha kutokuwepo kwake na unashindwa kuthibitisha hilo ? Huu ni upumbavu wa hali ya juu.

Swali, yanayosemwa kwenye vitabu ni ya uongo ? Mfano nimeweka aya hapa lakini hakuna aliye jadili kilicho andikwa kwenye aya mnaruka ruka. Aya inauliza kwamba je hii Dunia imetokana pasi na chochote au imejiumba ? Ukootafakari hii aya kwa umakini no sahihi, Sasa mje mseme ya aidha imejiumba au imetokana pasi na chochote, kisha mthibitishe hilo.
 
Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu

Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea

Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata

Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje

Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake

Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair

Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu

Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously [emoji15]?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani[emoji15]
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk

Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi

Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa

This is the biggest scam ever
WEWE NI BIGGEST LOSER IN THE HISTORY OF LOSERS!!!
 
@Kisai nakuuliza hivi,[emoji116]

Kwa nini Mungu wenu huyo "Allah" ana Zungumza kwa kiarabu tu?

Duniani kuna Lugha nyingi sana kijapani,kichina, kijerumani, kiingereza,kifilipino, kigiriki, kiswahili, n.k

Kuna lugha mbalimbali za makabila mengi sana ulimwenguni kote.

Sasa kwa nini Mungu wenu huyo "Allah" ana eleweka kwa kiarabu tu?

Na unadai Mungu wenu huyo "Allah" wa ninyi waislamu ndio Mungu wa kweli duniani kote.

Kama Mungu wenu Allah ndio wa ukweli kwa nini aeleweke kwa lugha moja tu ya kiarabu?

Yani kumjua Mungu huyo lazima umjue kwa kiarabu?

Mungu wenu huyo Allah, Alishindwaje kujidhihirisha kwa binadamu wote wa Lugha zote duniani aka eleweka?

Fafanua kinaga ubaga [emoji3516][emoji3516]
Kwanza Allah ndio ameumba ndimi za watu, katika surat al Insaan amegusia hilo, ya kuwa ameumba mataifa na makabila mbali mbali lengo tupate kujuana.

Kwahiyo Allah ndie ameumba lugha na mataifa, na haongei Kiarabu, bali Allah akituma mjumbe sehemu anampa ujumbe kwa lugha yakez ndio maana Ibrahim aliongea kwa lugha yao, Musa, Yesu na kadhalika Mtume aliongea au kupewa ujumbe kwa lugha ya Kiarabu sababu alianza kuzungumza na watu wake kwa lugha hiyo, vipi Mtume awe Muarabu halafu apewe ujumbe kwa Kisukuma na watu wake wanaongea Kiarabu ?

Allah anaeleweka kwa lugha zote, ndio maana tunamuomba na kumsoma. Lakini lugha sio kikwazo kama ukiamua kujifunza, na ukianalgalia lugha ya Kiarabu ni tofauti na lugha nyinginezo bali husemwa lugha hii ni ya watu wote na ushahidi uko wazi, ukisoma Historia ya fani za Kiarabu utakuta wasomi wa kubwa wa lugha hii Ulimwenguni kote si Waarabu kiasalia, lakini tafuta lugha nyingine hilo hulikuti. Tukiongelea katika mlango huo hakuna lugha kuishinda Kiarabu.

Kujua Kiarabu ni lazima kama ukitaka kujua Dini hii, sababu imekuja kwa lugha ya Kiarabu. Lakini hakuna aliye zaliwa anajua, hata wewe Leo hii umezaliwa hujui kusoma Wala kuandika lakini umesomeshwa na ukajua. Sasa kwanini hili hulisemi ? Leo hii ulienda Saudia utakuta Waafrika wanawasomesha Waarabu Kiarabu,maana yake nini ? Hii ni elimu Haina wenyewe ukitaka kujua unajua ukizembea ni wewe na uzembe wako.

Hajashindwa kufanya hivyo, bali angetaka sote tumuamini tunge kumaini kama ilivyo nukuliwa hivyo katika Qur'aan, ila amefanya haya na kuweka hali wezekano za kujua ambayo wewe unayadai ukitaka. Mola wetu hapendi watu wazembe.
 
Yamekuwa hayo tena....roho mbaya...umejuajae kuwa binadam ana roho mbaya au nzuri wakati sayansi imeshindwa kuthibitisha uwepo wa roho.
..kutumia vifaa vya kisayansi na kuvikubali sio sababu ya kuviabudu na kuwa mjinga hadi nijitoe ufaham kuwa hakuna Mungu....

Kufahamik kwa kitu sio kugundua ....unapoenda shuleni ukafundisha kusoma ukazijua herufi hakukufanyi uwe mgunduzi wa herufi ila kunakufanya uzifahamu herufi....madini yaliyotengeneza hizi simu yalikuwepo before hujakuwepo hukuyatengeneza umeyakuta....ubongo uliotumika kufikiri na kuchanganya madini haya haya hata ukasema leo hakuna Mungu hukuutengeneza umejikuta unao na aliyekupa ndio huyo unasema hayupo....
Nini maana ya neno Gundua
 
Kwani humjui!?
Namjua kama mhusika wa kutungwa wa kwenye tamthilia ambae ni sawa na Mungu ambae ni mhusika wa vitabu vya hadithi.

Nje ya hadithi au mawazo ya watu, huyo Mungu hayupo!!!

Njibu nawe, spiderman yupo ama hayupo kwenye uhalisia, nje ya hadithi
 
Masahihisho hewa sio upepo......kwenye sayari nyingine upepo upo ndio maana tunashudia vimbunga kwenye sayari kama mars, jupiter lakini sio hewa ile... ufafanuzi zaidi next time.
Wapi nimesema hewa ni upepo!?
Unaweza kunionesha!?

Mbona nimeeleza kabisa kwa kuvitofautisha kulingana na maelezo ya muulizaji niliyem-quote 👇🏾

Kama hauamini uwepo wa Mungu Kwa sababu haumuoni basi hamini pia kutokuwepo kwa hewa au upepo kwa kuwa hauuoni wala uwezi kuushika, pumbavu.
Lakini unaelewa kuwa ukiongea upepo unakuwa unaelezea hewa (Air) !?
 
Prove kama ni uongo
Unahangaika na Kisai ambae hata hajui logic ni kitu gani?

Kama kaitukana logic unadhani hata ataelewa kuwa Mungu wake hayupo!?

Chochote unachokifanya bila kuwa na logic, ni kama ukichaa tu.
 
Hakuna Sayansi inayosema binadamu ni nyani au alitokana na nyani

Rudi tena kahakiki ulichokisoma kwanza
Unavyosema sayansi je unajua ina maana gani au unajua sayansi ni biology, chemistry na physics.
 
Mazingira yako wazi sana. Uwepo wa usiku na mchana unathibitisha ya kuwa yupo aliye uweka tena mwenye ujuzi na mpangiliaji wa mambo.

Jua kuzama Magharibi na kuchomoza Mashariki, uwepo wa Mwezi kadhalika, mabadiliko ya majira hivi haviwezi kuwepo pasi na kupangiliwa. Hii tunaita "Self evident Truth".

Akili iliyo salama, inakataa ya kuwa Dunia Haina mwenyewe, akili iliyo salama ina hoji kwanini tupo duniani ? Je tupo ili tuoshi tu kisha iwe basi ? Akili iliyo salama inakusukuma wewe kujua lengo la kuishi kwako, hapo lazima utakiri ya kuwa yupo aliye tuumba tena kwa malengo.

Akili iliyo salama, inatafuta lengo la maisha, inakataa ya kuwa, iweje muovu adhulumu halafu iwe basi tu, au fisadi afisidi halafu iwe basi. Lazima kutakuwa na ukomo na siku ya malipo.

Mambo yako mengi sana yanayo onyesha uwepo wa Mungu.

Ushahidi wa uwepo wamungu kwa mujibu wako ni

UFUNUO
KWAMBA MUNGU KAJIFUNUA KWENYE QUR’AN

Nasema hakuna Mungu halafu bado unaniambia Mungu kasema kwenye kitabu chake
Hoja ya kitabu cha Mungu itakuja baada ya kuthihirisha uwepo wa huyo Mungu kwanza

MAZINGIRA
KWAMBA UWEPO WA USIKU/MCHANA, JUA KUCHWA NA KUCHWEA NI MPANGILIO AMBAO LAZIMA KUNA ALIYE UWEKA

Kuna mambo mengi sana ambayo binadamu hayajui Lakini hiyo sio sababu ya kumfichia Allah kwenye vitu binadamu hajui na kuhalalisha ndio uwepo wa Allah
Allah muweza na muumba wa yote haitaji chaka la kujificha anatakiwa kuwa wazi kama 1+1 kumuelewa ili awaepushe waje wake na moto wa jehanamu

AKILI
kwamba akili salama inakataa dunia haina mwenyewe
Hii ni nadharia yenu kujifariji kuna Allah
Ina maana akili yangu sio salama na kwanini iumbwe sio salama?

(Tu assume Allah yupo kweli)
Kama huu ndio ushahidi wa uwepo wa Allah basi huyu Allah alikusudia kwa makusudi mazima kuwa changanya binaadam ili apate sababu ya kuwachoma moto alio uumba kabla hata hajaatuumba wanaadam
Allah ni jitu katili
 
Unahangaika na Kisai ambae hata hajui logic ni kitu gani?

Kama kaitukana logic unadhani hata ataelewa kuwa Mungu wake hayupo!?

Chochote unachokifanya bila kuwa na logic, ni kama ukichaa tu.

Upo sahihi mkuu
Huyu mfia dini ananichosha bure
 
Unavyosema sayansi je unajua ina maana gani au unajua sayansi ni biology, chemistry na physics.
Sijui ina maana gani

Ila najua haijawahi kutoa madai yeyote kuwa binadamu alitokana na nyani au alikuwa nyani
 
Sijui ina maana gani

Ila najua haijawahi kutoa madai yeyote kuwa binadamu alitokana na nyani au alikuwa nyani
Kweny historia tumesona na pale waliofanya uchunguzi za hatua za ukuaji ni sehemu ya kisayansi ..

Carbon 14 zilizotumika na pamoja uchunguzi wa fuvu ni sehemu ya sayansi.

Kama hukusoma hiyo syllabus sawa..
 
Kweny historia tumesona na pale waliofanya uchunguzi za hatua za ukuaji ni sehemu ya kisayansi ..

Carbon 14 zilizotumika na pamoja uchunguzi wa fuvu ni sehemu ya sayansi.

Kama hukusoma hiyo syllabus sawa..
Historia hiyo ya uchunguzi ndio ilileta majibu kuwa binadamu alitokana na nyani?
 
Kwanin
Unahangaika na Kisai ambae hata hajui logic ni kitu gani?

Kama kaitukana logic unadhani hata ataelewa kuwa Mungu wake hayupo!?

Chochote unachokif ER by bd do my.. Umm xxx cc GG v fun zzz zzz bbanya bila kuwa na logic, ni kama ukichaa tu.
Kwanini unaandika uongo ? Mara ngapi nimewakosoa kuhusu logic na mkashindwa kutetea utoto wenu ?

Nakupa kazi hapa, kati ya maneno na logic kipi kilianza ?

Kingine njoo uthibitishe ukweli wa logic katika kuthibitisha kutokuwepo kwa Mungu, zaidi ya kucheza na maneno na kuikimbia hoja.

Msingi wa logic ni akili, akili ambayo ni dhaifu na ina ukomo vipi utumie akili pekee kukufokisha katika ukweli ?

Shida yenu hizi elimu mlizichukua kiushabiki ndio maana zinawafanya muwe wajinga na msio weza kufikiria nje ya mawazo ya waasisi wa logic zenu.
 
(Tu assume Allah yupo kweli)
Kama huu ndio ushahidi wa uwepo wa Allah basi huyu Allah alikusudia kwa makusudi mazima kuwa changanya binaadam ili apate sababu ya kuwachoma moto alio uumba kabla hata hajaatuumba wanaadam
Allah ni jitu katili
Una Assume vipi kwa jambo ambalo lipo tayari ?

Badilisha namna ya ujengaji hoja.

Ukisoma vitabu kila kitu ameandika na amefafanua, shida yenu hamsomi hivi vitabu, hasa Qur'aan. Jaribuni kutenga muda msome haya mambo.

Shida nyingine ni kuwa hamsomi.
 
Nakuja kwenye kuumba Moto, Mola wetu ametuumba kwa malengo, na akaweka utaratibu ya kuwa watakao faulu watalipwa pepo na watakao feli wataingizwa motoni, hili alilijua na anajua fulani wa motoni na fulani wa peponi.
Haya maelezo hayana mantiki.

Kwamba utaratibu, watakaofeli wataenda motoni(tyari hapo Mungu si mwenye upendo wote).

Na kama kaumba kiumbe halafu akakipa mtihani means anataka kukipima/kukijaribu kufeli ama kufaulu (maana yake Mungu si mjuzi wa yote).

Halafu hapo hapo unasema kwamba anajua nani atafaulu na yupi atafeli...

Huoni jinsi maelezo yako yanakosa mantiki.
 
Una Assume vipi kwa jambo ambalo lipo tayari ?

Badilisha namna ya ujengaji hoja.

Ukisoma vitabu kila kitu ameandika na amefafanua, shida yenu hamsomi hivi vitabu, hasa Qur'aan. Jaribuni kutenga muda msome haya mambo.

Shida nyingine ni kuwa hamsomi.


Nime challenge hoja zako za ushahidi wa uwepo wa Mungu
Badala ya kutetea umekimbilia ku quote mengineyo
 
Back
Top Bottom