Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Haya mambo ya imani ni ya kuwaachia waliiamini tu, we imagine kuna binaadamu wanajua story za mbinguni , wanajua hata ukifa utafikia wapi 🤣🤣🤣
Mbingu haipo, watu husema mbinguni kuna maisha mazuri lakini huomba waishi maisha marefu duniani.
Haya mambo ya imani ni ya kuwaachia waliiamini tu, we imagine kuna binaadamu wanajua story za mbinguni , wanajua hata ukifa utafikia wapi 🤣🤣🤣
Mtu akishindwa kuishi Duniani, Maisha ya mbinguni ni dhana ya kufikirika.

You cannot wish for a house of gold in heaven while you have never touched gold right here on Earth.

If someone fails to live on Earth, Heaven is an illusion.
 
N
Naomba tuelewane kitu.

Usipokielewa kitu haimaanishi ni Mungu.

Usipoelewa jua limetoka wapi huo ni uthibitisho tu kuwa huelewi jua limetoka wapi, na kushindwa kuelezea jua limetoka wapi haimaanishi kuwa limetengenezwa na Mungu.!
Inawezekana ikawa sababu/chanzo ni kitu kingine kabisa ambacho wewe hukijui.

Watu wameamua kuamini tu hivyo hivyo ili kuwa comfortable na majibu wapewayo, Hawakubali kuwa weupe kichwani kwa kukubali kuwa hawana maarifa.
Na hiyo ni dhana ya Mungu wa kufukia mashimo ya ujuzi (God of gaps)

Kama unadai jibu lako la kwamba jua limetoka kwa Mungu bhasi thibitisha Mungu yupo ili jibu lako liwe halali.!!
Na wewe kabla ya yote leta Unachokijua kuhusu 'JUA' limetoka wapi na siyo Mungu aliyelileta?
 
🤣🤣🤣So ukiumwa ndo unafurahi dhambi zinapungua...duu mpo serious, yaani dini ni watu wengi kuwa machizi
In short ktk uislam dhambi, haram, najis. Maneno haya yana maana DHARA. Kwa maana kitu dhambi kufanya manake kitakuletea madhara, kitu haram manake kina madhara. Tofauti yake ni kiwango tu cha madhara.

Kwa hiyo unapoambiwa ugonjwa kupunguziwa madhambi ina maana unaumwa na kupata tiba. Tiba hupunguza madhara.
 
Kwahiyo unaona watu wote tuna amini Mungu tuna mawazo madogo?

Unapata faida gani kutumia nguvu kumpiga Mungu
Bora utumie muda huo kuzidi kumtafuta na hakika utamjua
Kwani umtafute ...hivi imagine we umezaliwa unaambiwa wazazi wote wapo ila huwaoni umeachiwa vikaratasi, kila moja Ina description yake afu vyote vinasema wazazi wako wapo inabidi uwatafute usipowapata ukiwa mkubwa watakuja kukuchoma moto. How is that fair....mbona kama ni hide and seek fulani ya kijinga.. yaani nimtafute Tena.
 
Unapata faida gani kukomaa kumpinga Mungu?

Nakushauri tumia muda wako kuzidi kumtafuta na utamjua bila shaka
Mimi I don't have a problem with mtu kuja kuniambia hoo sijui maziwa yamekuwaje matamu sijui mwezi umetoka wapi...even if there is a creator Mimi Sina shida. Shida yangu ni mijitu throughout history kujiita chosen prophet sijui Nini kutunga sheria zao na kutishia watu after they die watachomwa for not following...Kama Kuna muumba mwache awepo I don't care lakini hicho sio Kigezo Cha people making whatever rules they want and attribute them to him afu wanitishie Mimi...mi sijaongea nae, sijamwona so siwezi amini tu kima mmoja na ndoto zake
 
Mna mawazo madogo sana kwa vile mna amini kisicho kuwepo.

Mungu huyo kama yupo anacho jifichia ni nini?

Kwani ange jitokeza tumjue, inge badilisha nini yeye kuwa Mungu?

Kama yeye ni muweza wa yote, Anaogopa nini kuonekana hadharani?
🤣Watasema cjui angeogopesha watu...afu alitokea Kama yesu...🤣au wengine wanasema wataona kawaida so hawatakua na "personal relationship" nae
 
Dunia hii imepitia uongo/utapeli/propaganda kubwa sana na zikapita lakini uongo pekee ulio dumu kwa muda mrefu ni huu

Hebu fikiri unaambiwa kuna MUNGU muweza wa yote yupo sahihi na hajawahi kukosea

Ameumba dunia kwaajili yetu na ataiangamiza dunia kwaajili yetu
Alijua ataiangamiza dunia kabla hata hajaiumba lakini aliiumba hivyo hivyo ili aje kuiangamiza,
Ameumba moto wa jehanamu kwakuwa ametuumba tukosee ili atuchome moto japo alikua na UWEZO wakutuumba tusiwe wakosefu ili atuumbie Pepo tu tukale bata

Anajua tunacho hitaji lakini lazima tumuombe ili atupe, lakini hata tukimuomba hatupi tunavyo taka sisi maana tayari amekwisha tupangia kila mtu atampa nini, ataishije na atakufaje

Ndio muumba wa kila kitu(magonjwa, bangi, majini, ulabu nk) na anaweza kudhibiti chochote lakini anamlaumu msaidizi wake muasi(Shetani) kuleta mambo hayo mabaya duniani(magonjwa nk) kwa watu wake aliyewaumba wakati yeye ndiye aliye mtupa msaidizi wake huyo huku duniani
Yaani yeye kashindwana naye huko mbinguni kaja kumtupa kwetu sisi viumbe dhaifu tupambane naye na tukishindwa tutachomwa moto milele, lakini anasisitiza anatupenda sana kama mtu anavyopenda na kujali mboni ya jicho lake

Hebu tafakari hili, kawaumba Adam na Hawa na wakati bado wageni duniani akawatupia Nyoka(Shetani) ili awarubuni, na kwa ugeni wao wakarubunika matokeo yake katupa adhabu ya shuruba watu wote hata ambao tulikua hatupo na hata ambao hawajazaliwa chamoto watakiona...... Not fair

Mungu muweza wa yote hayupo WAZI PASI NA SHAKA kwa watu wote kujua huyu ndio MUNGU badala yake Mungu ndio amekua sehemu kubwa ya mgawanyiko wa watu na kusababisha kuwa na imani za MIUNGU zaidi ya milioni dunia nzima
Na kibaya zaidi unatakiwa to blindly believe him, usihoji wala kuwa na shaka juu ya uwepo wake(ni laana na kufuru) vinginevyo moto wa milele unakuhusu

Yaani kuna Fundi Kapenta mmoja huko Galilaya eti kafa kwaajili ya dhambi za watu wote duniani.... seriously [emoji15]?
Akaitwa Mungu lakini Mungu huyu akajaribiwa na shetani[emoji15]
Fundi kampenta huyu hakuandika kitabu chochote ila wahuni walio kuwa wanampinga ndio wakaja kuandika vitabu kuhusu fundi huyu na vinaitwa “Bibilia Neno la Mungu takatifu”
Mabilioni ya watu dunia kote wanakesha makanisani wakimlilia na kumuomba awape uponyaji, mali, waume/wake nk

Hebu fikiria huko Arabia kuna Maamuma mmoja hajui kusoma wala kuandika alidai anashushiwa maagizo na Mungu kukata vichwa watu wote watakao pinga na kutokutii maagizo yake, “akashushiwa” aya za vitisho na neema kwa watakao tii, yaani ukifa unampigania Mungu unakwenda kupewa mbikra 72 kazi yako ni kuzagamua tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabilioni ya watu duniani wanasujudu mara 5 kwa siku na kushinda njaa mwezi kila mwaka ili wakale naye bata Peponi

Kwamba maisha yako hapa duniani ni ya mpito tu maisha yako yapo baada ya kufa
Unachotakiwa kufanya ni kumuamini na kufanya aliyoa agiza ili ukale bata sana baada ya kufa

This is the biggest scam ever
Aahaaaaaa
 
In short ktk uislam dhambi, haram, najis. Maneno haya yana maana DHARA. Kwa maana kitu dhambi kufanya manake kitakuletea madhara, kitu haram manake kina madhara. Tofauti yake ni kiwango tu cha madhara.

Kwa hiyo unapoambiwa ugonjwa kupunguziwa madhambi ina maana unaumwa na kupata tiba. Tiba hupunguza madhara.
Aaah freshi..nimekuelewa on that part
 
Mna mawazo madogo sana kwa vile mna amini kisicho kuwepo.

Mungu huyo kama yupo anacho jifichia ni nini?

Kwani ange jitokeza tumjue, inge badilisha nini yeye kuwa Mungu?

Kama yeye ni muweza wa yote, Anaogopa nini kuonekana hadharani?
Hiyo ni Kwa sababu hayupo
 
Je unaweza kuwa na upendo wote na ukamchoma mwanao kwenye moto hata kama kaua!?
Swali lako la uongo. Kwa mujibu wa Imani yangu Mola pekee ndio anaadhibu kwa kuchoma na hayo kwa kuchoma. Kingine Mola wangu Hana mtoto Wala watoto, kama unamkusudia Mola.

Kama unamaanisha mwanadamu, kwa Imani yangu mwanadamu haruhusiwi kuwa kwa kuchoma moto. Kwahiyo kwangu Mimi siwezi kuua mwanangu au kuadhibu kwa kuchoma moto, sababu ni haramu jambo hili.
 
Haijalishi kwamba kakosea nini.

Kwasifa za Mungu huyo zinazotajwa inaonesha kabisa jinsi alivyo na upendo wa hali ya juu.

Kitendo cha kiumbe wake kukosea haimfanyi Mungu mwenye upendo wote kumuadhibu kwa kumchoma moto.
Mambo hayako hivi kijana, ndio hapa utaona madhaifu ya hizo logic. Lazima ijalishe sababu uzito wa makosa unatofautiana na namna ya ufanyaji wa makosa kadhalika.

Yaani ana upendo ulio kamili.

Nani amekwambia hivyo ya kuwa haimfanyi kumuadhibu ? Upendo kwako wewe ni kukalia kimya mambo na kuacha yaende hata kama ni mabaya ? Huu sio upendo huu ni ubwege. Shida yenu hamtumii akili na kuangalia uhalisia. Wewe mwenyewe Leo hii kama una mtoto, akifanya makosa ukamuonya akaendelea sana kufanya vile vile lazima utamuadhibu, na hii haimaanishi kwamba humpendi bali una mtengeneza, Sasa kwa Mola wetu ndio ana upendo ulio kamili Sasa anakuonya, anakupa muongozo, ana samehe na ni mkali wa kuadhibu.
 
Psychology ya theist sku zote ilijengwa ili kusifu,

yani ni kwamba unahisi kuwa huyo Mungu anafuatilia hata unavyopost hapa JF

Kwaakili yako kwakuwa unadhani hivyo, unajaribu kupambana kwa hali na mali ili upate nafasi ya kuhesabiwa haki mbinguni.

Hilo ni tatzo la psychology tu, ndiyo maana unakataa contradiction za wazi kabisa.
Sio kweli kusifu kupo, kufanya kipo, kukemea kupo, kwa ufupi uzembe hautakiwi na kufikiria kitoto kadhalika.

Sio kwamba nahisi, bali ametaka mpaka hii jf iwepo ndio maana ipo na wewe unaandika. Bali anajua hata jani la mti gani limeanguka, kadhalika anajua hata kile ambacho hakipo kingekuwepo kingekuwaje.

Unaposema nadhani unakosea, yaani Mimi nina uhakika usio na shaka kabisa, na sio nadhani.

Unaposema contradictions za wazi ulitakiwa uzionyeshe hizo contradictions za wazi, Sasa unalo sema bila kuzionyesha huu ni upunguani wa hali ya juu.

Kadhalika hizo unazo dai ni Contradictions unaziona wewe sababu ya ujinga wako na kutoyafatilia mambo kiundani na kuyafikiria.
 
Swali lako la uongo. Kwa mujibu wa Imani yangu Mola pekee ndio anaadhibu kwa kuchoma na hayo kwa kuchoma. Kingine Mola wangu Hana mtoto Wala watoto, kama unamkusudia Mola.

Kama unamaanisha mwanadamu, kwa Imani yangu mwanadamu haruhusiwi kuwa kwa kuchoma moto. Kwahiyo kwangu Mimi siwezi kuua mwanangu au kuadhibu kwa kuchoma moto, sababu ni haramu jambo hili.
Ila kumpiga mtu mawe unaweza coz Imani yako Ina ruhusu...u see, this is wat religions do to ppo... matokeo yake watu wanalipua majengo na kuuwa watu...
 
🤣🤣🤣🤣Acha uwongo ...Quran inasema all non Muslims wanaendaw hell forever ..afu waislamu ndo wanachaguliwa according to behavior...so automatically Mungu ameumba watu billions ambao hawajazaliwa waislamu ili awachome
Mpaka nashangaa hili kimetoka wapi ? Nakuuliza swali wapi Allah Amesema amewaumba watu ili awachome ? Jibu kwanza hili swali, sababu nimekuonyesha hilo.

Hata hao ambao sio Waislamu hawachomwi mpaka ujumbe wa haki na kweli uwafikie na endapo watakufa hawakufikiwa ujumbe ipo namna ya wao kuhukumiwa.

Sasa leta hoja yako.
 
🤣Quran inayosema nyota zipo anga ya karibu ili ziwapige mashetani wasikaribie kitu Cha Allah
Wapi Qur'aan imesema hivyo ? Jaribu ukiwa unaandika mambo uwe una uhakika nayo.

Mnatupa kazi mara mbili, kwanza kukosoa nukuu zenu na mengine.

Anga imepambwa na nyota, vimondo ndio huwa vinawapiga Mashetani. Sasa unaposema nyota inabidi utuwekee nukuu huko ulipo itoa.
 
Mambo hayako hivi kijana, ndio hapa utaona madhaifu ya hizo logic. Lazima ijalishe sababu uzito wa makosa unatofautiana na namna ya ufanyaji wa makosa kadhalika.

Yaani ana upendo ulio kamili.

Nani amekwambia hivyo ya kuwa haimfanyi kumuadhibu ? Upendo kwako wewe ni kukalia kimya mambo na kuacha yaende hata kama ni mabaya ? Huu sio upendo huu ni ubwege. Shida yenu hamtumii akili na kuangalia uhalisia. Wewe mwenyewe Leo hii kama una mtoto, akifanya makosa ukamuonya akaendelea sana kufanya vile vile lazima utamuadhibu, na hii haimaanishi kwamba humpendi bali una mtengeneza, Sasa kwa Mola wetu ndio ana upendo ulio kamili Sasa anakuonya, anakupa muongozo, ana samehe na ni mkali wa kuadhibu.
Okay ila kumadhibu milele, adhabu gani hiyo, kumchoma moto milele kisa hajaamini story za muarabu...we unaona ni fair, imagine umefika huko ukaambiwa Jesus ndo Mungu na wewe umeamini false god so umekufuru na unachomwa milele, hivi hautalalamika...utaona ni fair kabisa unastahili and that's love...sometimes fikiri nje ya box
 
Back
Top Bottom