DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
🤣🤣🤣🤣And ur name is Isack
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣And ur name is Isack
Hii kanuni huwezi kuikosoa ndio maana hata hapa umeshindwa pia. Kanuni imemtoa Allah Japo na yeye ni kitu.Kanuni yako hii ni ya UONGO na mimi nai prove wrong hapa.
Ukishasema kila kitu na Allah pia anabeba sifa za "kitu" ana jumlishwa huko kwenye vitu vyote. Na kanuni ni hivi 👇
Kama kila kitu kilichopo na Allah huyo unakiri yupo kwa sababu ni kitu kilichopo kwamba Lazima kiwe na chanzo, Basi hata huyo "Allah" Lazima awe na chanzo, Na chanzo chake Allah kiwe na chanzo chake, Na chanzo chake Allah chanzo chake Lazima kiwe na chanzo chake.
Ili muundo wa Kanuni hii ya kwamba "Lazima kuwepo chanzo cha kila kitu kilichopo" uwe na muundo ule ule wa kuonesha ulazima huo, to infinity (Endless)
Poa.Dah so sad
Hii si Contradictions sababu yeye ni muweza wa yote. Hivi hiki mnachokoandika huwa mnakofikiria ?Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote kuumba ulimwengu wenye kuruhusu mabaya(uovu+Majanga n. K)
Ni contradiction ama siyo contradiction?
Aibu ya dini yako hii ambayo bado inafundisha jua linazama kwenye matope. (Quran 18:86)Nataka ukosoe hayo kwa elimu na hoja.
Jua linatembea au halitembei ?
Suala la kuzama matopeni hili limeshaelezwa zaidi ya mara moja humu ndani.
Naam jua linaomba ruhusu, sababu ni kiumbe.
Hivyo vitu huvijui wewe, na hakuna zaidi ya Allah.
Nitakuuliza hivyo vitu vinaweza kuwa na sifa gani ?
Nani alikwambia kila kilichopo lazima kiwe kimeumbwa ?Ameweza vipi kuwepo bila kuumbwa?
Nkikwambia dunia na watu hawajaumbwa bali wapo utasemaje!?
Kwanini unaongea as if tushakubaliana kuwa yupo kweli!?
Umethibitisha uwepo wa huyo Allah!?
Naam. Haswaa.Kwahyo quran yako ndiyo ya Mungu?
Kumbe Mungu wako kaweka nyota kama mapambo!?
Kumbe vimondo vinakazi ya kupiga mashetani?
Uweza wake wote ungemfanya aumbe ulimwengu usio na mabaya.Hii si Contradictions sababu yeye ni muweza wa yote. Hivi hiki mnachokoandika huwa mnakofikiria ?
Yaani anafanya Yale ambayo akili yako haiwezi kuyadiriki.
Onyesha Contradictions Iko wapi hapo ?
Sasa kosoa hayo ili tukuone wewe ni mkweli ?Aibu ya dini yako hii ambayo bado inafundisha jua linazama kwenye matope. (Quran 18:86)
Mara sperm zinatoka kwenye uti wa mgongo.
Kwamba jua linaenda kusujudu, mara mpaka liruhusiwe na Allah ndo lichomoze.
Kwamba milima imewekwa ili kufanya dunia iliyoflat isiyumbe yumbe.(21:31)
Kwamba kuna sehemu jua huwa linachomoza na huko Mungu hajawawekea hata pazia la kuwakinga nalo (18:90)
Katika karne hii, kung'ang'ania haya ni Upumbavu na si ujinga
Huo ni udhaifu, sababu anakuwa na uwezo wenye ukomo.Uweza wake wote ungemfanya aumbe ulimwengu usio na mabaya.
Kama Mungu ni mwenye upendo wote kwanini anaruhusu tetemeko liue watu!?
Sasa kama huwezi huna sifa za kujadili hizi mada zaidi ukae kimya.Mimi siwezi kuthibitisha kama ni UONGO ingawaje sitaamini
Hili nimeshalielezea Jana rejea nilicho kiandika. Nilimaliza kila kitu kuhusu hili.Tunarudi pale pale kwenye concept ya Russle
Nikikwambia Kuna kibuyu cha kinyiramba kinazunguka kwenye orbt ya jua utaamini?
Ofcoz hutaamini lakini pia huwezi kuprove kama sio kweli
Ni wajibu wangu kujuthibitishia
Sasa kazi kwako kuthibitisha ukweli huu
Hii Ni ukweli ambao ni mchungu kwa Watu kuupokea Wakasome problem of evilUweza wake wote ungemfanya aumbe ulimwengu usio na mabaya.
Kama Mungu ni mwenye upendo wote kwanini anaruhusu tetemeko liue watu!?
Kuna ambae ni chanzo cha kila kitu!?Nani alikwambia kila kilichopo lazima kiwe kimeumbwa ?
Nilikuuliza swali, nipe sababu tatu au mbili zinazo onyesha ulazima wa kuumbwa yule ambaye ni chanzo Cha kila kitu ?
Sasa unashindwa nini kuthibitisha ya kuwa hayupo ?
😂😂Yanatokea majanga wengine wanakufa ni njia tu ya kifo ,ila hata ukiumwa utakufa hata bila ya majnga na magonjwa utakufa.Wewe ni mbinafsi sana, na inaonyesha Mungu huyo pia ni mbinafsi sana na mwenye upendeleo kwa kutoa Afya na uzima kwa upendeleo.
Maelfu ya watu wamekufa kwa tetemeko la ardhi huko Morocco, ila Mungu huyo mtoa Afya na uzima sijui alikuwa amesinzia wakati wa tetemeko hilo akashindwa kuwa okoa watu hao wasi angamie?
Kama ni Mungu mwema, Alishindwaje kuzuia tetemeko hilo lisitokee?
Haya, Yani hata Vilio vya watu wa Morocco havijaisha kwa tetemeko baya sana, Lililo shindwa kuzuiliwa na Mungu huyo,👇
Jana nchi ya Libya ikapigwa na Mafuriko yaliyo Ua tena maelfu ya watu, Mungu huyo nadhani ana jisahau sana....!!!
Yani juzi tu Mungu kashindwa kudhibiti tetemeko la Morocco, jana tena mafuriko yakaja aka sahau kuyadhibiti yasitokee...!!!!
Halafu unasema Mungu huyo ni mwema sana anatoa Afya na uzima?
Yani kashindwa kudhibiti tetemeko la ardhi na mafuriko yasitokee na kuua watu, Wewe unakuja kumtetea eti, ana toa Afya...!!!
Nakwambia hivi 👇
Mungu huyo ni mkatili sana.View attachment 2747686
Kwahyo hata jua (Solar) ni pambo?Naam. Haswaa.
Je unapenda kumuona mwanao unayempenda sana akiwa anataabika na magonjwa, akiwa anapatwa na ajali hadi kuwa kilema,😂😂Yanatokea majanga wengine wanakufa ni njia tu ya kifo ,ila hata ukiumwa utakufa hata bila ya majnga na magonjwa utakufa.
Mungu huyo kapendelea Tanzania isipate hayo majanga makubwa mbona husemi kwamba kapendelea.
Mungu sio kwamb hawezi kuzuia ila yeye ndio kapanga hta katika hayo mafuriko sio wote wamekufa ni baadhi, majanha kama hayo yapo nje ya uwezo wetu hakuna anayependa yatokeee ila ni Mungu muweza na hakuna jinsi unaweza kuzuia.
Mungu huyo kakupendelea wewe usiwe mlemavu na kakupa akili ni neema jaribu kushuruku ,huwezi kuonq neema mpaka yakufike..
Huoni hapo umeona umuhimu wa uhai basi unapumua bure mpaka uumwe ukapewe mtungi wa oxygen uanze kulipia ndio utajua kwambq kupumua tu ni upendeleo.
Neema za Mungu ni countless na huwezi kuzijua mpaka ziondoke na ni nyingi kuliko mjanga.
Wewe ulitaka apate mtoto wa jirani tu sio wako.!!Je unapenda kumuona mwanao unayempenda sana akiwa anataabika na magonjwa, akiwa anapatwa na ajali hadi kuwa kilema,
Unapenda wale uwapendao wafe!?
1.RadiUnaweza kuwa bingwa wa kutukana,
Lakini ukweli ni kwamba definition ya ujinga ni kutokufahamu mambo kwa usahihi.
Ni kheri kuwa mjinga kuliko mpumbavu.
Hekima imekuwa ikikufuata lakini wewe umekuwa na kasi kubwa.
Hasira hazitokusaidia
Relax
Mambo mazito yaliyosumbua watu na yalielezewa kwa dhana ya miungu ni kama yafuatayo
1.Radi
2.Kutokea kwa Usiku na mchana
3.Mechanism za mwili (ikiwemo sperm zinapotoka)
4.Tetemeko la ardhi
5. Sayari kuzunguka jua
Je wewe waweza thibitisha Mungu yupo nje ya kwamba unaamini tu.!?
Kwenye dhana tu ya kuwepo huyo Mungu, msingi wake ni tata sana kiasi cha dhana hiyo kuanguka vibaya.
Can you refute those contradiction!!?
Kapendelea Tanzania isipate majanga au sio [emoji23][emoji23] maana yake nifurahi majanga yamepelekwa nchi zingine kwa wanadamu wengine ambao sio mimi si ndio?[emoji23][emoji23]Yanatokea majanga wengine wanakufa ni njia tu ya kifo ,ila hata ukiumwa utakufa hata bila ya majnga na magonjwa utakufa.
Mungu huyo kapendelea Tanzania isipate hayo majanga makubwa mbona husemi kwamba kapendelea.
Mungu sio kwamb hawezi kuzuia ila yeye ndio kapanga hta katika hayo mafuriko sio wote wamekufa ni baadhi, majanha kama hayo yapo nje ya uwezo wetu hakuna anayependa yatokeee ila ni Mungu muweza na hakuna jinsi unaweza kuzuia.
Mungu huyo kakupendelea wewe usiwe mlemavu na kakupa akili ni neema jaribu kushuruku ,huwezi kuonq neema mpaka yakufike..
Huoni hapo umeona umuhimu wa uhai basi unapumua bure mpaka uumwe ukapewe mtungi wa oxygen uanze kulipia ndio utajua kwambq kupumua tu ni upendeleo.
Neema za Mungu ni countless na huwezi kuzijua mpaka ziondoke na ni nyingi kuliko mjanga.