1.Radi
2.Kutokea kwa Usiku na mchana
3.Mechanism za mwili (ikiwemo sperm zinapotoka)
4.Tetemeko la ardhi
5. Sayari kuzunguka jua
We bro unachekesha sana Yani hayo ndio mamba ambayo binadamu ameweza kuyafahamu na kuyaelezea pasipo dhana ya uwezo wangu ? Nani aliyekudanganya? Wewe Wala haujasoma Sayansi hayo mambo uliyoyataja hapo yote wanasayansi wamechemka
Mpumbavu ukimchekecha kichwa anacheka na kicheko chake kiko chakachaka.
Tatzo hapa ni illusion of knowledge
Kwanza hujaweza kuthibitisha Mungu yupo!!
KUTOKEA USIKU NA MCHANA
Usiku na mchana unatokea Kwa sababu Dunia inajizungusha yenyewe
Wanasayansi wanasema Ili kitu kimuvu lazima kuwe na external force
External force inayoifanya Dunia uzunguke ni ipi Hadi Leo wanasayansi hawana majibu na kwanini rotation speed ya Dunia ipo constant pia wanasayansi hawana majibu
Zamani si ilikuwa usiku na mchana ni kwamba jua linaenda kwa Mungu kusujudu!?
Vitabu vyako vya dini vinajua jua lilipokuwa linaenda usiku?
Si ilikuwa fix za kwamba kuna li Mungu!?
Nkuulize tena, Je unauhakika sayansi haina majibu ya madai yako!?
3) MECHANISM ZA MWILI
Mechanism zote za mwili zinatumia umeme Hadi Leo hii wanasayansi hawajui source ya huo umeme Nini
Unafahamu kuwa elements zilizo ndani ya miili yetu kama sodium, potassium, calcium, na magnesium, zina electrical charge?
4) TETEMEKO LA ARIDHI
Hadi Sasa wanachujua wanasayansi ni kupima ukubwa wa tetemeko yaliyobakia yote wanabahatisha na ndio maana nchi kama Uturuki Wana wanasayansi wengi lakini walishindwa kujua tetemeko litatokea LIni , saa ngapi na Lina ukubwa gani
Lakini wanaweza kuelezea nini kinasababisha tetemeko pasipo kuweka kisingizio kuwa ni Mungu au.. !?
5) SAYARI KUZUNGUKA JUA
Ingia katika website ya NASA Kila siku wanagundua vitu vipya maana yake ni kwamba hawana majibu sahihi kuhusu mfumo wa ulimwengu
Logical non sequitur
Yani kama Kuna mtu amekuambia wanasayansi wanajua Kila kitu kuhusu huu ulimwengu na viumbe wake basi amekudanganya
We endelea tu kukaa na ujinga wako kuwa hakuna Mungu
Mbona hazizuki Sayari nyingine na viumbe vingine vipya kama Kila kitu kimezuka
Hakuna sehemu sayansi imesema inajua kila kitu
Mpumbavu ni yule ambae analazimisha kuwa kuna Mungu na kashindwa kuthibitisha!!
Unaweza kuniambia kwanini ulimwengu unatanuka kabla haujathibitisha kuwa Mungu yupo!?
1) RADI
Radi inatokana na mvutano wa electron zenye chaji zinazofana either zote ni +ve au zote ni -ve
Nani aliyetengeneza hizo electron wanasayansi hawana majibu
Nani amezifanya hizo electron zibebe change wanasayansi hawana majibu
Umeme wa radi wanasayansi wameshindwa kuuchukua na kutumia pia Wanashangaa jinsi ulivyo na mamilioni ya voltage
Katika hili Mungu amebaki kuwa Mungu
Umeeleza hapo nlipobold vizuri Sana, na hapo ndiyo ulikuwa kwenye sayansi, sehemu ambapo nmekwambia kuwa radi inaelezeka pasipo haja ya kuweka limungu hapo
Huko ulipoanza kuuliza ni nani anaweka hzo electron unakuwa unaingia kwenye upotofu.
Who told you kuwa hzo electron ziliwekwa na kitu/mtu/jitu.
Ni nini msingi wa kuuliza "
nani" kwenye uwepo wa electron na si kuuliza "
nini"!!???
Unafahamu kuwa maada yeyote ina sub atomic hzo!!?
Halafu na ulivyo huna unachojua unakuja na madai kuwa wameshindwa kuvuna umeme wa radi,
kama wameshindwa inahusiana vipi na Mungu hapo?
Kumbe usipoelewa kitu unatia limungu hapo!?
Umeweza kuthibitisha uwepo wa Mungu!?