Smotor
JF-Expert Member
- Jan 3, 2021
- 2,461
- 2,058
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu swali, nlitegemea unapoquote unatoa jibu.Sasa ndio uonyeshe kisha tujadili nukta Moja baada ya nyingine.
Acha mahubiri,Hili wazo lako haliongezei chochote zaidi ya kuwapotosha wanadamu kuendelea kufanya mabaya
Ukikaribia kufa futa huu uzi mkuu maana utakuhukumu sku ya mwisho
Hii kitu inaishi unajua
Chukua kamba funga shingon yaani tia kitanzi halafu ita watu wawili wawe karibu na kisu kikali kwelkwel na kamera ya kurekodi, jitundike wategue kigoda cha kusimamia, wahesabu mpaka 10 kama zilivyo amri alizopewa Musa milimani..then wakate kamba udondoke..kaa nusu saa akili ikae sawa, fanya review ya video...usipokuta mahali umemtaja Mungu aliekuumba basi uje utoe ushuhuda hapa hakuna Mungu.[emoji23][emoji23][emoji23]Sijui Mungu huyo anashindwa vipi kujitetea?
Kama Mungu huyo ni muweza wa yote, Anashindwaje kujitetea?
[emoji1][emoji1][emoji1]
Huyo Mungu ni roho, ile inayomtoka mtu pindi akitoka uhai..ile ndio portion ya roho yake Mungu..kama ukiweza kuinasa kwa macho basi jitahidi utamnasa Mungu "live"Mungu ni kitu ama Si kitu?
Kama Mungu huyo ni "Kitu" kilichopo na Yupo, lazima awe na chanzo chake, Maana na yeye ana sifa ya kuwa "Kitu"
Maana umesema, Kila kitu kina chanzo. Basi hata huyo Mungu kwa vile ni kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo chake.
Kama Mungu huyo Si kitu, Basi HAYUPO maana kanuni ni kwamba, Kila kitu lazima kiwe na chanzo chake.
Yaani unamaanish Hakujua kusoma na kuandika!!!?Anatumia kitabu alafu aliye mpa kitabu afikishie waumini wake alikuwa illeterate
Unathibitishaje hiyo roho ipo?Huyo Mungu ni roho, ile inayomtoka mtu pindi akitoka uhai..ile ndio portion ya roho yake Mungu..kama ukiweza kuinasa kwa macho basi jitahidi utamnasa Mungu "live"
Hamna mtu anamiliki oxygen, bali Mungu aliekuumba akakupa respiratory unayoitajataja unapumua...mtu au kibaka akubane kabari usipomtaja mwenyewe, maana karibia unakata moto utamuomba msaada ww binafsi maana roho yako inaonana na "roho Mungu"[emoji1787]Why nani... why kila kitu kiwe na mtu...yaani kuna mtu anamiliki oxygen...mbona tunaota ndoto za watoto jamani
Imeandikwa Maarifa yataongezeka....unahisi kama hii tech ingekuepo enzi hizo sasa hivi tech ingekua imefikiaje?Why muweza wa yote anatumia kitabu....? Wewe Leo ukitaka kujua kitu unatafuta kitabu au si unaingia mtandaoni unatafuta credible unbiased source, halafu hizi story za kutokeana kwa Nini asingesubiria tupate technology ya anga na ya internet na camera tuweze record Musa akivuka bahari, Muhammad akigawa mwezi, afu why no archaeological evidence au shetani ndo kaficha ili Mungu atutest...[emoji42]all of this doesn't make sense yo
Nataman ungelazwa hopspital hata mwaka mmoja au gerezani mwaka mmoja...hii dhana yako ingebadilika...ungekua na upeo wa kureason hata umbali wa mita moja nje ya mwili ulio nao...[emoji23] Haya tufanye mi mtu wa hali ya chini. Twende kwenye hoja Sasa taratibu.
Hatumuhitaji mungu kujua kwamba madawa na kudhulumu ni tabia mbaya. Umeuliza kwa sheria zipi sheria za nchi zimekataza. Sisi wanadamu tuna uwezo wa kusema hichi hakifai na tukatoa na sababu kwanini hakifai. Tunazo sababu za kueleweka kwanini usambazaji wa madawa haufai ndio maana hiyo sheria ipo.
Kutokuamini mungu sio kosa kwasababu hakuna maelezo wala ushahidi wowote logical unaosadifu uwepo wake. Kama upo utoe hapa. Na dhana ya mungu haina hoja ya msingi inayoibeba zaidi ya vitisho. Kama tunaweza kuhoji vitu vingine kwanini tusihoji hii dhana?
Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Yaani nimemcheki tuKajifunga kiaina fulani hvi
🤣Ndo ujingaAnatumia kitabu alafu aliye mpa kitabu afikishie waumini wake alikuwa illeterate
🤣🤣🤣🤣Acha kutishia watu moto aliyekudanganya mama yakoHili wazo lako haliongezei chochote zaidi ya kuwapotosha wanadamu kuendelea kufanya mabaya
Ukikaribia kufa futa huu uzi mkuu maana utakuhukumu sku ya mwisho
Hii kitu inaishi unajua
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe, what the f is this...so kuprove religion unabidi ufanye hivi...asa Kuna proof Gani hapaChukua kamba funga shingon yaani tia kitanzi halafu ita watu wawili wawe karibu na kisu kikali kwelkwel na kamera ya kurekodi, jitundike wategue kigoda cha kusimamia, wahesabu mpaka 10 kama zilivyo amri alizopewa Musa milimani..then wakate kamba udondoke..kaa nusu saa akili ikae sawa, fanya review ya video...usipokuta mahali umemtaja Mungu aliekuumba basi uje utoe ushuhuda hapa hakuna Mungu.[emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣 bas Kama ni mmoja wote tungekuwa na Imani sawa...,🤣so roho yangu ndo imeumba ulimwengu...hii analogy mbona inaanza kuvunjika yenyewe umedanganywa na mchungaji ganiHuyo Mungu ni roho, ile inayomtoka mtu pindi akitoka uhai..ile ndio portion ya roho yake Mungu..kama ukiweza kuinasa kwa macho basi jitahidi utamnasa Mungu "live"
Uchawi haupo pia... yaani huu haihitaji kusema sijui, uchawi haupo haupo haupo and no evidence, na hamuwezi kimbilia cjui utama wa nanasiImeandikwa Maarifa yataongezeka....unahisi kama hii tech ingekuepo enzi hizo sasa hivi tech ingekua imefikiaje?
BTW unaamini kuna wachawi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hamna mtu anamiliki oxygen, bali Mungu aliekuumba akakupa respiratory unayoitajataja unapumua...mtu au kibaka akubane kabari usipomtaja mwenyewe, maana karibia unakata moto utamuomba msaada ww binafsi maana roho yako inaonana na "roho Mungu"
Kwanini nihitaji kulazwa hospitali ndio nijue mungu yupo?Nataman ungelazwa hopspital hata mwaka mmoja au gerezani mwaka mmoja...hii dhana yako ingebadilika...ungekua na upeo wa kureason hata umbali wa mita moja nje ya mwili ulio nao...
Kiufupi huna uwezo wa ku-reason nje ya mwili wa kushikika..siku ukiwa na huo uwezo bas utajua ulikua hujui km Mungu ni "Creator spirit"