Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Uongo mkubwa zaidi kutokea dunia - The biggest scam in the world

Hili wazo lako haliongezei chochote zaidi ya kuwapotosha wanadamu kuendelea kufanya mabaya
Ukikaribia kufa futa huu uzi mkuu maana utakuhukumu sku ya mwisho
Hii kitu inaishi unajua
Acha mahubiri,

Acha tricks za kidini za kutengeneza hofu ili kuibia watu

Hii inafanya kazi kwa waamini Mungu tu.

Mjibu maswali yake.
 
Sijui Mungu huyo anashindwa vipi kujitetea?

Kama Mungu huyo ni muweza wa yote, Anashindwaje kujitetea?

[emoji1][emoji1][emoji1]
Chukua kamba funga shingon yaani tia kitanzi halafu ita watu wawili wawe karibu na kisu kikali kwelkwel na kamera ya kurekodi, jitundike wategue kigoda cha kusimamia, wahesabu mpaka 10 kama zilivyo amri alizopewa Musa milimani..then wakate kamba udondoke..kaa nusu saa akili ikae sawa, fanya review ya video...usipokuta mahali umemtaja Mungu aliekuumba basi uje utoe ushuhuda hapa hakuna Mungu.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mungu ni kitu ama Si kitu?

Kama Mungu huyo ni "Kitu" kilichopo na Yupo, lazima awe na chanzo chake, Maana na yeye ana sifa ya kuwa "Kitu"

Maana umesema, Kila kitu kina chanzo. Basi hata huyo Mungu kwa vile ni kitu kilichopo lazima kiwe na chanzo chake.

Kama Mungu huyo Si kitu, Basi HAYUPO maana kanuni ni kwamba, Kila kitu lazima kiwe na chanzo chake.
Huyo Mungu ni roho, ile inayomtoka mtu pindi akitoka uhai..ile ndio portion ya roho yake Mungu..kama ukiweza kuinasa kwa macho basi jitahidi utamnasa Mungu "live"
 
Huyo Mungu ni roho, ile inayomtoka mtu pindi akitoka uhai..ile ndio portion ya roho yake Mungu..kama ukiweza kuinasa kwa macho basi jitahidi utamnasa Mungu "live"
Unathibitishaje hiyo roho ipo?

Ulisha wahi kuiona?

Au kuna aliyewahi kuku onesha?

Umejuaje mtu akifa anatoka roho?

Na unasema roho hiyo haiwezi kunaswa na macho.

Kama roho hiyo haiwezi kunaswa na macho, Wewe uli tambua vipi kwamba roho ipo na si mawazo yako ya kufikirika tu?
 
[emoji1787]Why nani... why kila kitu kiwe na mtu...yaani kuna mtu anamiliki oxygen...mbona tunaota ndoto za watoto jamani
Hamna mtu anamiliki oxygen, bali Mungu aliekuumba akakupa respiratory unayoitajataja unapumua...mtu au kibaka akubane kabari usipomtaja mwenyewe, maana karibia unakata moto utamuomba msaada ww binafsi maana roho yako inaonana na "roho Mungu"
 
Why muweza wa yote anatumia kitabu....? Wewe Leo ukitaka kujua kitu unatafuta kitabu au si unaingia mtandaoni unatafuta credible unbiased source, halafu hizi story za kutokeana kwa Nini asingesubiria tupate technology ya anga na ya internet na camera tuweze record Musa akivuka bahari, Muhammad akigawa mwezi, afu why no archaeological evidence au shetani ndo kaficha ili Mungu atutest...[emoji42]all of this doesn't make sense yo
Imeandikwa Maarifa yataongezeka....unahisi kama hii tech ingekuepo enzi hizo sasa hivi tech ingekua imefikiaje?

BTW unaamini kuna wachawi?
 
[emoji23] Haya tufanye mi mtu wa hali ya chini. Twende kwenye hoja Sasa taratibu.

Hatumuhitaji mungu kujua kwamba madawa na kudhulumu ni tabia mbaya. Umeuliza kwa sheria zipi sheria za nchi zimekataza. Sisi wanadamu tuna uwezo wa kusema hichi hakifai na tukatoa na sababu kwanini hakifai. Tunazo sababu za kueleweka kwanini usambazaji wa madawa haufai ndio maana hiyo sheria ipo.

Kutokuamini mungu sio kosa kwasababu hakuna maelezo wala ushahidi wowote logical unaosadifu uwepo wake. Kama upo utoe hapa. Na dhana ya mungu haina hoja ya msingi inayoibeba zaidi ya vitisho. Kama tunaweza kuhoji vitu vingine kwanini tusihoji hii dhana?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
Nataman ungelazwa hopspital hata mwaka mmoja au gerezani mwaka mmoja...hii dhana yako ingebadilika...ungekua na upeo wa kureason hata umbali wa mita moja nje ya mwili ulio nao...
Kiufupi huna uwezo wa ku-reason nje ya mwili wa kushikika..siku ukiwa na huo uwezo bas utajua ulikua hujui km Mungu ni "Creator spirit"
 
Hili wazo lako haliongezei chochote zaidi ya kuwapotosha wanadamu kuendelea kufanya mabaya
Ukikaribia kufa futa huu uzi mkuu maana utakuhukumu sku ya mwisho
Hii kitu inaishi unajua
🤣🤣🤣🤣Acha kutishia watu moto aliyekudanganya mama yako
 
Chukua kamba funga shingon yaani tia kitanzi halafu ita watu wawili wawe karibu na kisu kikali kwelkwel na kamera ya kurekodi, jitundike wategue kigoda cha kusimamia, wahesabu mpaka 10 kama zilivyo amri alizopewa Musa milimani..then wakate kamba udondoke..kaa nusu saa akili ikae sawa, fanya review ya video...usipokuta mahali umemtaja Mungu aliekuumba basi uje utoe ushuhuda hapa hakuna Mungu.[emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wewe, what the f is this...so kuprove religion unabidi ufanye hivi...asa Kuna proof Gani hapa
 
Huyo Mungu ni roho, ile inayomtoka mtu pindi akitoka uhai..ile ndio portion ya roho yake Mungu..kama ukiweza kuinasa kwa macho basi jitahidi utamnasa Mungu "live"
🤣🤣🤣🤣 bas Kama ni mmoja wote tungekuwa na Imani sawa...,🤣so roho yangu ndo imeumba ulimwengu...hii analogy mbona inaanza kuvunjika yenyewe umedanganywa na mchungaji gani
 
Imeandikwa Maarifa yataongezeka....unahisi kama hii tech ingekuepo enzi hizo sasa hivi tech ingekua imefikiaje?

BTW unaamini kuna wachawi?
Uchawi haupo pia... yaani huu haihitaji kusema sijui, uchawi haupo haupo haupo and no evidence, na hamuwezi kimbilia cjui utama wa nanasi
 
Hamna mtu anamiliki oxygen, bali Mungu aliekuumba akakupa respiratory unayoitajataja unapumua...mtu au kibaka akubane kabari usipomtaja mwenyewe, maana karibia unakata moto utamuomba msaada ww binafsi maana roho yako inaonana na "roho Mungu"
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mi namwona batman....🤣we mbona unawaza kufa kufa we gaidi Nini... ulimwona akiniumba?
 
Nataman ungelazwa hopspital hata mwaka mmoja au gerezani mwaka mmoja...hii dhana yako ingebadilika...ungekua na upeo wa kureason hata umbali wa mita moja nje ya mwili ulio nao...
Kiufupi huna uwezo wa ku-reason nje ya mwili wa kushikika..siku ukiwa na huo uwezo bas utajua ulikua hujui km Mungu ni "Creator spirit"
Kwanini nihitaji kulazwa hospitali ndio nijue mungu yupo?

Unasema hivi kwasababu watu wengi wakiwa kwenye matatizo ambayo wanajitahidi kuyatafutia solution lakini hawapati wanakimbilia kwenye kuomba/uganga wakitegemea kuna supernatural power nje ya physical world ambayo itakuja kuwasaidia ila haipo ndo maana hata uombe vipi hata upige ramli vipi ukifika advanced stages za cancer kama stage IV madaktari kwenye physical world wakishindwa kukutibu utakufa tu.

Kwenye saikolojia ndo tunaita "magical thinking".

"Magical thinking can be a coping mechanism (njia ya kujitia moyo, kujipooza na ugumu wa matatizo walio nayo) when people face situations or problems they can't easily explain or control. It provides a sense of agency or control in otherwise uncertain or challenging circumstances. It's important to recognize that magical thinking is a natural human tendency and can be observed across different cultures and belief systems".

Kuhusu reasoning unayoongelea ya nje ya mwili mwangu hebu ielezee kidogo ni reasoning ipi hiyo kwa sababu reasoning inafanywa na ubongo ndani ya miili yetu external factors ambazo zinaweza ku influence reasoning kama information na experience tunaweza kuzi perceive kwenye physical world inayoshikika. Hiyo reasoning beyond mwili wa kushikika ikoje?

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom